upinzani

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini hotuba za Wanasiasa wa Tanzania (wa Upinzani na Chama Tawala) ni za kiwango cha chini mno? Nimewawekea mifano ili wajiongeze

    Hivi tatizo ni nini? Hatuna waandishi wazuri wa hotuba? Au viongozi wetu wamepungukiwa kiuwezo? Hebu angalieni hotuba hii hapa chini jinsi ilivyotulia.
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uteuzi wa Wagombea Ubunge CCM ni tishio na funzo kubwa kwa Upinzani

    Siku ya Jana CCM ilitangaza majina ya Watu watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya ubunge kwenye majimbo yote, Bara na Visiwani, katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. Uteuzi huo unaweza kutazamwa kwa sura mbili, yaani sura ya kwanza kuwa ni tishio na ile pili...
  3. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Nchini Urusi, Alexei Navalny akimbizwa Hospitali baada ya kuwekewa sumu kwenye chai

    Alexei Navalny ambaye amekuwa mstari wa mbele wa kuipinga Serikali ya Urusi inayoongozwa na Vladimir Putin ameripotiwa kupewa sumu na kukimbizwa Hospitali akiwa hajitambui. Inaelezwa kuwa Alexei ambaye amejipambanua kama mwanaharakati wa kupinga rushwa amewekewa sumu hiyo kwenye chai yake...
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Vyama vya upinzani nchini Tanzania subirini dawa aliyonayo Kiiza Besigye katika kumtoa Rais Museveni, ili nanyi pia muiige na mumtoe Rais Magufuli

    Kiongozi mkongwe wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kizza Besigye ametangaza kwamba atatumia mbinu tofauti kumuondoa madarakani Rais wa sasa Yoweri Museveni na sio kupitia uchaguzi kwa madai mazingira ya sasa hayawezi kuhakikisha uchaguzi ulio huru na haki. ITV Tanzania Mpaka Dkt. Kiiza Besigye...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Ikiwa Dkt. Magufuli atafanikiwa kushinda, aachane na agenda za kuminya Upinzani

    Mimi kama mwana CCM moja ya matamanio yangu ni kuona CCM ikiendelea kushika dola ya Tanzania. Ila kati ya jambo ninalotamani litokee kwenye muhula wa pili wa Rais Magufuli endapo akifanikiwa kushinda, ni kuacha kabisa kuwachokonoa wapinzani. Wapinzani waachwe na kuishi maisha yao na ku play...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni ukomavu wa kisiasa m-CCM kuwatia shime upinzani

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Inavutia Colin Powell a staunch republican 'kum' endorse Joe Biden a staunch Democrat kwenye uchaguzi ujao: Colin Powell: 'Biden will be a president we will all be proud to salute' Jamani eeh upinzani si ugomvi. Hata huko CCM kutoa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani Umekufa? Upinzani Umebaki mtandaoni, hali halisi ni ipi?

    Hili i swali na madai kwa baadhi ya watu wakudai kuwa upinzani umekufa , Umebaki Mtandaoni , mbona mapokezi ya Lissu yanaonyesha hali tofauti.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani nao watumia vitisho

    Ukisiliza Hotuba za viongozi wa Upinzani, utaona wanalalamika sana kuwa wanaishi maisha ya vitusho kutoka serekalini na vyombo vyake. La kushangaza hao hao Upinzani ndio Vinara wa kutumia Vitisho kwa Utawala na wananchi, Naona wamechukua ukurasa kutoka siasa za Republicans wa USA, Build FEAR in...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

    Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020. UPDATES!! Iringa muda huu kinawaka. Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli. Lissu CHUMA...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

    MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anapohubiri amani wakati Jimboni kwake Wagombea wa Upinzani wakifanyiwa vitendo vya kinyama

    Leo nimemsikiliza waziri mkuu ndugu Majaliwa akiwa kwenye kongamano la viongozi wa dini la kuisifu serikali. Waziri Mkuu ameutangazia umma wa Watanzania kuwa serikali italinda Amani wakati wote hata kipindi cha uchaguzi mkuu, na akataka siasa za kistaarabu. Wakati akiyasema hayo, viongozi wa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ila upinzani mnazingua, hebu angalia hii video

    Marehemu Ruge alipata kusema "Ogopa Mungu na teknolojia"
  13. JamiiForums Tanzania Ili mamlaka iwe na uhalali wa kuwakemea wanasiasa wa upinzani wasitumie lugha zinazoitwa za "kashfa", ifanye haya kwanza..

    Hii kitu inaitwa trade-off. Ukifuatilia kwa makini utagundua kuwa kauli nyingi anazotoa Tundu Lissu kila anapopata hadhira, they are retaliatory in nature - yaani ni huwa anajibu mabaya yaliyosemwa juu yake au yaliyotendwa dhidi yake. Nimuoanavyo Tundu Lissu ni mwanasiana mwenye akili nyingi...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri wangu kwa vijana na wazee wetu, tuchagueni upinzani tuone watafanya nini

    Kuna Mambo yanaumiza Sana hasa unapoona kijana au mzee akipinga wazi wazi upinzani usishinde uchaguzi. Ni haki yao, lakini hebu fikiria, ukiondoa utawala wa awamu ya kwanza na wa pili, CCM imetuongoza kwa awamu tatu tangu kuanza kwa vyama vingi vya siasa, tumeona madhaifu yao, tumeona mazuri...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe akikataa kumpisha Tundu Lissu kuwa mgombea pekee wa upinzani, ACT Wazalendo watamfanya nini?

    Nauliza tu endapo mgombea urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe atakataa kumwachia Tundu Lissu nafasi ya kugombea Urais kwa niaba ya upinzani ACT Wazalendo watamchukulia hatua gani? Je, atakuwa amevunja sheria ya ACT wazalendo? Je, sheria ya uchaguzi inaruhusu kuachiana nafasi baada ya uteuzi...
  16. JamiiForums Tanzania Kikibaki chama kimoja ndio Upinzani wa kweli utaposhika hatamu

    Sasa hivi ili uwe mwana CCM wa kweli na mzalendo basi ni lazima ukitetee chama chako cha CCM dhidi ya Wapinzani na kuwapinga katika hoja zao. Jambo hili linafanya wapinzani wahangaike katika kukosoa mambo ya maendeleo kweli wakati huo chama tawala wanahangaika katika kusifia tu na kuwajibu...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Kosa watalolifanya wagombea wa upinzani kwenye kampeni za 2020

    Inafahamika kuwa nchi yetu imekuwa chini ya CCM tangu ipate Uhuru takilibani miaka 60 Sasa. Hivyo Kama Kuna mabaya au mazuri pongezi au lawama zozote Ni kwa CCM na sio kwa kiongozi wa awamu fulani. Kama wapinzani watajikita kumlaumu kiongozi badala ya CCM kwa ujumla wake tangu Uhuru hadi Leo...
  18. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna dalili CCM itawakata wengi walioongoza na hawataweza kwenda upinzani

    Inawezekana kabisa majina ya wateule wa CCM yakawa ya mwisho kabisa kufikishwa Tume ya Uchaguzi ili kuepusha wale ambao hawatakiwi wakishakata wasihamie upinzani. Kuna nijadala inaendelea kuwa hao watakaokosa na huku wameongoza upinzani wameshajiwekea mazingira mazuri ya kuhamia upinzani na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyama vya upinzani juu ya vyombo vya habari

    Kutokana na figisu figisu na yanayoendelea na yanayotegemewa kutokea kuhusu wapinzani kunyimwa airtime kwa maagizo toka juu ili wananchi wasipate kusikia sera za upinzani baada ya wao kutamba miaka 5 pekee yao wakiongelea vitu vilivozoeleka kwa wananchi huku wakiwa hawana kipya cha kuwaeleza...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Hata kama upinzani hautapewa jimbo na wakurugenzi wasimamizi wa uchaguzi, bado lipo jukumu la CCM kujitafakari

    Kinafanywa na Wananchi kwa sasa hasa vijana ni ishara mbaya kwa Chama cha Mapinduzi. Labda CCM haijafanya tafiti kujua wananchi wanataka nini au wanajua ila hawataki kutimiza. Kwa nguvu aliyotumia Rais na timu yake awamu ya tano na namna wale aliodhani wanamfurahisha wanavyofanya mitahani ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…