upinzani

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa upinzani akina Zitto, Mbatia, Mbowe nk hawahudhurii shughuli za kitaifa?

    Kwa sasa imekuwa ni vigumu sana kuwaona na hata kuwasikia viongozi wetu wakuu wa upinzani katika matukio muhimu. Kwa mfano katika shughuli muhimu kama msiba wa balozi Kijazi au katika tukio la kuapishwa Katibu mkuu kiongozi mpya balozi Bashiru walipaswa kuwepo lakini hawajaonekana. Ni Prof...
  2. JamiiForums Tanzania Georgia: Waziri Mkuu ajiuzulu akipinga kukamatwa kwa Kiongozi Mkuu wa Upinzani

    Waziri Mkuu wa Georgia amejiuzulu leo kufuatia mpango wa kumkamata kiongozi mmoja mkuu wa upinzani. Giorgi Gakharia amesema kukamatwa kwa kiongozi huyo Nika Melia, huenda kukauzidisha mzozo wa kisiasa katika nchi hiyo ya zamani ya Sovieti. Hapo jana mahakama moja ya Georgia ilitoa uamuzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kilichofanya upinzani ukatoswa Oktoba 2020 mmekisahau? Mbona mnarudia makosa?

    Mwaka jana wakati Covid 19 imepamba moto wabunge wa Chadema na ACT Wazalendo walitoka bungeni na kuamua kuji-quarantine kihuni huku wakiwa tayari wamevuta mkwanja aka posho za kulia bata. Kitendo hiki kilimuuzi kila mtanzania na kwa uhakika ndio sababu kubwa ya kuwaadhibu wapinzani kwenye...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka CHADEMA walivyowapigania Halima, Bulaya na Matiko kuwatoa jela nauona Upinzani ni Ubatili mtupu!

    Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama. Lakini nilivutiwa zaidi na busara ya CHADEMA kwamba tuwatoe kwanza hawa akina mama wa Bawacha halafu Mbowe na wanaume wengine wafuate. Tena Mbowe akasema yeye...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ukimjulia Rais Magufuli utajua kwanini lazima Upinzani utoweke nchini

    Wadau, wengi wanauliza ni kwa nini Rais Magufuli anachukia Upinzani kiasi cha kufanikisha Bunge kugeuka kuwa Halmashauri Kuu ya CCM, NEC. Ukweli ni kwamba Magufuli si rafiki na watu weupe na product yoyote inayotoka huko. Mengine anakubali tu kwa kuwa hakuna alternative. Lakini angetamani kila...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nimekubali Bunge la sasa ni kikao cha CCM. Hesabu hazidanganyi; wabunge wa Upinzani ni 6% tu!

    Baada ya kuliangalia kwa makini bunge katika kikao chao cha jana nakiri kusema kuna tofauti ndogo sana kati ya kikao hicho na kile cha Halmashauri kuu ya CCM (NEC) Upinzani una wabunge 25 kati ya wabunge zaidi ya 390! Tofauti niliyoiona ni uwepo wa Siwa na Posho ya kukaa. Kwa idadi yao...
  7. JamiiForums Tanzania Congo, Brazaville: Chama Kikuu cha upinzani kususia Uchaguzi wa Machi 21

    Chama kikuu cha upinzani katika Jamhuri ya Congo kimesema kitasusia uchaguzi uliopangwa kufanyika Machi 21. Kwenye uchaguzi huo Rais Denis Sassou Nguesso aliyepo madarakani kwa miongo kadhaa anawania kuchaguliwa tena. Nguesso mwenye umri wa miaka 77 ameshikilia madaraka kwa miaka 36 sasa na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa Upinzani walikuwa na uwezo wa kuchanganua mambo tofauti na wale wa CCM ambao husaka tenda!

    Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara. Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote yamejaa kijani. Tujiandae kusikia tozo na ushuru za kila dizaini kama alivyosema rip Komba pale...
  9. JamiiForums Tanzania Tujitafakari kwa kina: Vikwazo vya Mmarekani vina manufaa kwa siasa za Upinzani?

    Wanabodi wa JF hili ni bandiko linalohitaji majibu chanya kwa mustakabali wa taifa letu. Maana kila kukicha wanasiasa wa upinzani wamekuwa na munkari wa kutaka nchi yetu iwekewe vikwazo hasa na taifa la marekani kwa kile wao wanafikiri kuwa ni msaada wa kwao ili kupata manufaaa ya kisiasa...
  10. JamiiForums Tanzania Kuliombea mabaya Taifa letu haisaidii Upinzani kukubalika hapa Tanzania

    Kuna kasumba mbaya sana imejengeka ndani ya wafuasi na Wanachama wa Vyama vya Upinzani kuwa na akili mbovu ya kuwa wanalitakia mabaya taifa letu, kisa tu wao wamepoteza mvuto wa kisiasa hapa Tanzania. Ikumbukwe kuwa kama Upinzani ungekuwa unakubalika hapa Tanzania na upo ndani ya mioyo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kuelekea kuapishwa Biden kuwa Rais wa Marekani raia na askari hawatambuliki wote wamebeba silaha

    Vikosi vya usalama viko nje ya majengo mbalimbali ya serikali Vikundi vidogo vya waandamanaji - baadhi yao wakiwa na silaha - wamekusanyika nje ya majengo ya serikali ya Marekani, ambapo kuna mvutano mkubwa baada ya jengo la Capitol Hill kuvamiwa huko Washington. Maandamano yanafanyika katika...
  12. JamiiForums Tanzania Upinzani ndani ya CCM waweza kuwa mgumu kuliko vyama vya upinzani

    Tumefika mahali sasa CCM tuongoze nchi bila figisu. Si tulishinda uchaguzi, shehmu nyingine tena bila kupingwa. Tuna Bunge sasa CCM ndio tupo wengi Bungeni toka kuanza siasa za vyama vingi. Lakini sasa tujihadhari mambo mawili au matatu. Maoni ya wananchi kuhusiana kero hayategemei chama...
  13. JamiiForums Tanzania Wale wakeleketwa wa Upinzani emu tuelimisheni sera zenu kwenye vipengele vifuatavyo kwani huwa siwaelewi kwani huwa mna-contradiction nyingi

    Edit: Inaonekana wapinzani wenyewe dont know direction ya kisiasa ya vyama vyao kwani: 1. wanasahihisha lugha kwa typos za mwandishi (michapio) midogo midogo bila sababu 2. wanatukana mwandishi hii ni sign tosha ya mtu asiejua jibu jamii forum (personal attacks or ad hominem nawapa pole in...
  14. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Upinzani kwa ujumla tumpongeze Bobi Wine kwa hatua ya mafanikio aliyofikia!

    Kama Wapinzani wa Afrika Mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu. Hadi sasa Bobi Wine amepata 34% ya kura zilizohesabiwa dhidi ya 58% ya Yoweri...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe wale wanaofanya siasa za upinzani mitandaoni ni wengine na Wapinzani Wanasiasa halisi ni wengine!

    Kuna vitu hapo awali nilikuwa sielewi kabisa, kuna wakati wanasiasa halisia walikuwa wanakosea kabisa na hata mtoto ukimuuliza anakwambia kuwa hilo ni kosa lakini wanasiasa wa mtandao walikuwa wanalipongeza sana. Wakati mwingine uliweza kuona hali ya siasa za upinzani zinapita katika shida na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani acheni kukimbilia Vyombo vya Habari

    Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida, moja tu. Siasa sio kwenye vyombo vya habari kama hamuwezi kufanya siasa acheni kuwajingisha Wananchi. Kama kuna faida basi wakulima wangalienda...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wito: Wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wadau wengine, anzeni kampeni ya kupinga sheria hii ya Bodi ya Mikopo ndani na nje ya nchi

    Tukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya asilimia 6 kama retention fee, ni sheria katili, mbaya na haistahili kuwepo katika nchi ya watu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila Upinzani, tuko sahihi au tumepotea? Tujadili

    Happy New Year Brothers and Sisters. NDUGU zangu, Katiba yetu inaweka bayana kuwa nchi yetu itaongozwa na mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa. Kama Taifa tulikubaliana kwa pamoja juu ya hili na mwaka 1992 tulianzisha mfumo huo ambapo mwaka 1995 tulifanya Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa...
  19. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Mwanasiasa bora wa upinzani

    Habari wapendwa. Leo tena nimeamua nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni bila kuvunja sheria. Ingawa bado hakuna chama mbadala wa CCM hadi sasa lakini tukiri kuna baadhi ya wapinzani wana siasa nzuri zinazofaa kimaendeleo. Mfano mzuri ni mwanasiasa Yericko Nyerere ambaye pia ni...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Tunaingia 2021 tukiwa tumebaki na vyama viwili vya upinzani wa kweli Chadema na Chauma!

    Na huo ndio ukweli mchungu. Pamoja na tofauti za kiitikadi bado naiona Chadema ikiwa imara hata kama ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa. Kimsingi mbunge mmoja wa kuchaguliwa ni bora kuliko wabunge 100 waliopita bila kupingwa, na hii ni kanuni ya kiisrael kwamba kiongozi mmoja wa kuchaguliwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…