Kama mada inavyojieleza hapo juu na kama waswahili wasemavyo wa kushiba huonekana mezani, awamu hii tofauti sana na hali ilivyokuwa kuelekea uchaguzi wa mwaka 2015, sijaona viashiria vingi muhimu vinavyotoa matumaini ya ccm kuanguka katika uchaguzi unaokuja.
Mwaka 2015 kulikuwa na vuguvugu...
Kiongozi cha Chama Kikuu cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change (CCC), kimetangaza kuchuka hatua hiyo kwa maelezo kuwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa Ushindi Rais Emmerson Mnangagwa ni Batili.
Maandamano hayo yatafanyika katika Majimbo 10 huku CCC ikiwaomba Wanaharakati kusambaza...
Disclaimer: Hizi ni Tetesi
Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa.
Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM.
Wana CCM...
Kufuatia mabadiliko makubwa yaliyofanywa CCM na Mwenyekiti wa tano wa CCM na ambayo yanaendelea kufanywa na Mwenyekiti wa Sasa wa CCM, sioni kabisa wa kuweza kuishinda CCM iwe ni chama na mgombea binafsi kama utaratibu huo ukiruhusiwa na kuanza kutumika kwa nusu Karne ijayo kuanzia 2025 mpaka...
Rais amemfukuza kazi mkuu wa wilaya na Mkurugenzi kwa kile kinachodaiwa wana CCM wamerejesha kadi na kujiunga upinzani; amesema hatoweza kuvumilia kuona wanaccm wanahama chama.
Kauli hii ni nzuri kisiasa ila ngumu kwa wakuu wa wilaya na mkoa kwa sababu sababu za kuhama chama ni sababu binafsi...
Uchaguzi wa karibuni kwenye mazingira kama yetu, ni huu wa juzi Zimbabwe.
Waangalizi mbali mbali mbali wakiwamo SADC, Carter Center na wengine, wamelazimika kuuita kwa majina yake. Yaani kwa ufupi, wameuona siyo uchaguzi bali ni wizi wa mchana kweupe.
Hapa chini ni sampuli za yale matokeo...
Wakati mwingine tuongee ukweli. Mimi ni muumini wa demokrasia. Kuna mtu nchi hii asiyeeleweka. Ni Mwandishi Bollen Ngetti. 2010 huyu Dk. Slaa alimtuhumu kutumiwa na TISS na kuhadharisha viongozi wa Chadema wasimpe ushirikiano.
Wiki tatu zilizopita alisambaza clipu ya video akiliomba Jeshi la...
Kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia juujuu bila kufungua mlango wa sita wa fahamu kuyafahamu zaidi, unaweza kuhisi ndivyo yalivyo.
Moja ya mambo hayo ni siasa zetu huku mitandaoni na mitaani. Kwa mara ya kwanza kama hujawahi kabisa kufuatilia siasa na ukaanza kuzifuatilia mitandaoni, utagundua...
President William Ruto alikiwa mbishi zaidi ya watangulizi wake,but naona mwishowe amenyanyua mikono na ameamua kwenda kwenye mazungumzo.
Mwezi wa 7 mwishoni katika maandamano yaliyoongozwa na mzee Odinga,Walifariki zaidi ya 30 na watu zaidi ya 300 walishirikiwa na polisi.lakini jitihada zao...
Baadhi ya viongozi vya siasa vya upinzani wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kulea vyama vyao na kuleta maridhiano mazuri nchini huku akihakikishia dunia kuwa wanawake Tanzania wanaweza.
Walisema maridhiano hayo yameleta tija katika vyama vyao kwa kuwa na mahusiano mazuri na serikali...
Nina amini kwamba
CCM hii imechoka
Imechokwa
CCM hii na Ile ya awamu ya nne ni baba mmoja mama mmoja.
kila kona ya nchi wananchi wanalalamika bidhaa kupanda bei. Hakuna mtu wa kuwatetea.
kiongozi mkuu ndo kabisa kachokwa ni vile nidhamu inawaongoza Watanzania. Lakini wanatamani hata kumpigia...
Senegal imezuia upatikanaji wa Huduma za Intaneti kwa kile kilichodaiwa na Waziri wa Mawasiliano kuwa ni kutokana na kuenea kwa "ujumbe wa chuki" kwenye Mitandao ya Kijamii.
Hatua hii inakuja baada ya Kiongozi wa Upinzani, Ousmane Sonko kukamatwa Wiki iliyopita na kushtakiwa tena Jumamosi...
Kuna vyama havina misingi aidha havijatengeneza intellijensia Yao wenyewe na kupelekea kiwahiwa.
Mzee Nyerere marehemu alipata kusema...." Rais asipotoka sisiem atatokea upinzani, maana take..." Hays ndani ya sisiem kina upinzani. Nahisi hili ndilo linaweza kutokea, ama tuaeme liliishatokea...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema chanzo cha upotoshaji kuhusu uwekezaji wa bandani ni siasa za uchaguzi wa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watu wanamezea mate urais.
Wasira ameyasema hayo leo Jumamosi Julai 22, 2023 akizungumza katika mkutano wa hadhara...
Salama ya upinzani kuchukua dola ilikuwa mikononi mwa maridhiano ambayo yangepelekea uundwaji wa katiba mpya ambayo ingezaa tume huru ya uchaguzi.
Na jambo hili lilikuwa pia linasubiriwa kwa hamu kubwa Sana na sukuma gang ili wajaribu kutupa karata yao kumuondoa Samia na kundi lake. (Ndiyo...
Wapinzani wanatumia ujinga wa watu kujieneza. Wanatambua nchi hii wenye uelewa wa mambo ni wachache na hao wachache wapo kimya Kwa sababu hawataki kuonekana ni wanasiasa.
Kuhusu hili la bandari, ni uthibitisho tosha kundi la wasio na uelewa linaburuzwa na kukokotwa bila kujijua. Wanatumia mbinu...
Ki ukweli kila ukifikiria namna nchi hii ya TANGANYIKA inavyohujumiwa na kikundi kidogo kilichojitanabaisha kwamba ni chama tawala unatamani kuhama nchi.
Wananchi tumechoka na mifumo mibovu iliyotengenezwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya hicho kikundi kidogo huku majority ya wananchi wakiumizwa...
Leo najivika rasmi joho la upinzani, tena, naanza kujifikiria kama chadema.
Tuchukulie imetimia 2025 Kama mwanachadema ambae nagombea ubunge au hata Urais, nafikiri sera zangu zitakuwa nini?
1) Nchi imeuzwa.
Wapiga kura wakitazama wanaona nchi ipo mipaka ile ile tena Bashe huko CCM BBT...
Nionavyo mimi wafuatao ni wanasiasa bora wa muda wote kwa upande wa upinzani. Orodha hii itaanza na yule bora zaidi kushuka chini.
1. Hayati Maalim Seif
Kila mmoja anakumbuka vizuri balaa la Maalim Seif kwenye siasa za nchi hii kutokea upinzani. Huwa najiuliza huyu dingi aliwapaga nini wazenji...
Uamuzi huo unakuja muda mfupi baada ya Odinga kutangazia Wananchi kuwa wajiandae kwa Maandamano ya Kimapinduzi kuanzia Julai 19, 2023, Maandamano ambayo yamepata pia kibali cha Mahakama.
Kwa mujibu wa taarifa, Askari 10 wanaomlinda Odinga na wengine wanaolinda Makazi yake jijini Nairoi, Kisumu...