Njia nyepesi ya upinzani kuchukua nchi 2025, ni kuwatia wananchi HASIRA juu ya namna watesekavyo kwenye nchi yao

Bando la wiki

JF-Expert Member
May 23, 2023
319
888
Ki ukweli kila ukifikiria namna nchi hii ya TANGANYIKA inavyohujumiwa na kikundi kidogo kilichojitanabaisha kwamba ni chama tawala unatamani kuhama nchi.

Wananchi tumechoka na mifumo mibovu iliyotengenezwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya hicho kikundi kidogo huku majority ya wananchi wakiumizwa na;
  • Tozo lukuki
  • Ugumu wa maisha
  • maji kutopatikana kwa bei nafuu
  • umeme kutopatikana kwa bei nafuu
  • bei za vyakula kupanda
  • kodi nyingi
  • familia za wanasiasa kuhudumiwa kila kitu na serikali huku wananchi wakiachwa pasipo na kitu.
  • ardhi ya Tanganyika kugawiwa bure kwa wajanja fulani wanaojiita wawekezaji.
  • mzigo wa wanasiasa na wanasheria wabovu wanaoingia kwenye mikataba na wajanja fulani wa mataifa ya nje wasio na MITAJI ala siku mkihoji juu ya ufanyaji kazi wao, wanaishitaki serikali mahakani za kimataifa na hivyo kushinda kesi na kudai fidia ya MABILIONI ya shillings. Atakae lipa deni hili ni MTANGANYIKA huyu huyu aliye dhulumiwa kila kitu.
  • mikopo inakopwa inapelekwa Zanzibar, madeni yatalipwa na MTANGANYIKA huyu huyu.
Sasa vyama vya upinzani hasa CHADEMA nini cha kufanya;
Uelewa wa watanzania umeongezeka sana hadi huko vijijini watu wamesoma, watieni HASIRA wananchi juu ya kipi kinafanyika serikalini kinyume na matakwa yao wenye nchi.

1. Siku hizi simu na Whatsapp inafanya kazi popote hadi vijijini.
CHADEMA ratibu upatikanaji wa viongozi hadi ngazi ya mashina, kila wilaya, kila kata lazima kuwe na kiongozi anayetambulika hadi kwenye uongozi wa juu.

2. Kutakuwa na group la WhatsApp la viongozi wa wilaya linaroratibiwa na kamati kuu ya chadema.

3. Kila kiongozi wa chadema wilaya ataunda group lake la Whatsapp kwa ajili ya kufasiliana na viongozi wake wa mashina na kata.

4. Kitakacho fanyika kila baada ya wiki 2, CHADEMA taifa itaita Press conference kwa ajili ya kitangaza ni taarifa ipi inaenda kwa wananchi.

5. Kitaandaliwa kipeperushi chenye ujumbe wa namna serikali ilivyo feli kwenye jambo fulani mfano RUSHWA NA UFISADI namna pesa zinaibiwa mnaweza kutumia report ya CAG.

6. Kipeperushi hicho kitatumwa kwa viongozi wa CHADEMA wilaya ambao jukumu lao litakuwa kuvi print kulingana na viongozi wake wa kata na kuwasambazia.

7. Viongozi wa kata jukumu lao litakuwa kuvitoa kopi vipeperushi hivyo na kuvisambaza kwenye vijiwe na majumbani kwa wananchi katika kata husika

8. Kwenye kila kijiwe kunakuwa na kipeperushi cha uchambuzi wa namna serikali inavyo pwaya
kwenye uwajibishaji mafisadi,

Kwa namna hii wananchi watakuwa wanapata hasira na chuki kwa chama kilichopo madarakani. Wananchi wakizidisha hasira hata kama chama kitapanga kuiba kura kutachimbika.
 
Sio kwa njia ya kura, maana Tanzania hakuna uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ni mtu mjinga tu anaweza kuendelea kupoteza muda kwenye mstari wa kura eti anachagua kiongozi. Ongelea njia nyingine ya kuwatoa ccm, lakini sio hiyo ya kupoteza muda eti kura, maana box haliheshimiwi.
 
Back
Top Bottom