Natamani kupima shamba langu kwa kutumia app

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,335
Reaction score
404
Heshima kwenu, natamani kupima shamba langu kwa kutumia app, maana nimeshindwa kuligawa ili nilioime kwa futi kamba, anae ijua anijuze
 
Kwa Google Earth unapima shamba huku upo nyumbani kwako. Yaani huna hata haja ya kwenda shamba
 
Rahisi sanaaa .
-Pakua Google Earth
-Install program
-Washa location ya simu
-Tembea kasimame hadi mwisho wa shamba( chagua pembe moja)
-Itisha programu ikulete mpaka ulipo
-Bofya "measure"+ add new point
-Tembea hadi kona nyingine ya shamba...ki usambamba
-Bofya add new point
-Endeleq mpaka point zote nne
- Malizia kwa kuzi unga point zote( program itasema unda "polgon"
-Kubali na angalia chini itakua imekuletea jumla ya ukubwa wa eneo lako kulingana na ulivyokua umeset mwanzo: sqr meter, sqr cm n.k ni wewe tu utakavyokua umeset mwanzo
Heshima kwenu, natamani kupima shamba langu kwa kutumia app, maana nimeshindwa kuligawa ili nilioime kwa futi kamba, anae ijua anijuze
 
Rahisi sanaaa .
-Pakua Google Earth
-Install program
-Washa location ya simu
-Tembea kasimame hadi mwisho wa shamba( chagua pembe moja)
-Itisha programu ikulete mpaka ulipo
-Bofya "measure"+ add new point
-Tembea hadi kona nyingine ya shamba...ki usambamba
-Bofya add new point
-Endeleq mpaka point zote nne
- Malizia kwa kuzi unga point zote( program itasema unda "polgon"
-Kubali na angalia chini itakua imekuletea jumla ya ukubwa wa eneo lako kulingana na ulivyokua umeset mwanzo: sqr meter, sqr cm n.k ni wewe tu utakavyokua umeset mwanzo
Mkuu, kwani kufanya hivyo kwa google earth ni mpaka aende shambani? Hawezi kupima kwa kutengeneza hizo points akiwa sebuleni kwake?
 
Good, ngoja nijaribu, asante sana kwa muda wako wa faida mkuu
 
Hivi kwa zile smart watch haifai kupima
Kama unaweza kukimbia na ikasema umekimbia km ngapi sini rahisi sana kutumia kwa kupimia
 
Mkuu, kwani kufanya hivyo kwa google earth ni mpaka aende shambani? Hawezi kupima kwa kutengeneza hizo points akiwa sebuleni kwake?
Anaweza...kikubwa azijue kona zote za eneo lake kwa usahihi+ awe ana uwezo wa ku litafuta eneo lake kwenye ramani( hio ya google earth)
 
Back
Top Bottom