upendo

Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV amteua Padri Monsinyori Romanus Mbena kuwa mkuu wa huduma ya Upendo Vatican

    Baba Mtakatifu Leo XIV amemteuwa mtanzania Monsinyori Romanus Mbena kuwa ni Mkuu wa Ofisi ya Baraza la Kipapa la Huduma ya Upendo, ambaye hadi kuteuliwa kwake amekuwa akihudumu kama Afisa Mshauri wa Balozi za Vatican ngazi ya kwanza na Mhudumu katika masuala ya jumla kwenye Sekretarieti kuu ya...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ukristo Unafundisha Upendo, Mzungu Mwenye Jaziba Katulizwa na Upendo Na Sala

    https://www.instagram.com/reel/DJ0To8sRded/?igsh=MWhjaWJwb3l4Nmp6Zw==
  3. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Upendo wetu sisi

    https://www.instagram.com/reel/DKKxShrNI0b/?igsh=MTdzeDIyMnY5ZDFqNw==
  4. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Huu ni Utapeli wa Mapenzi au Ndio Upendo wenyewe ?

    Habari gani Wakuu Ngoja niende kwenye maada yangu. Kuna mdada mmoja hivi wa Graduate wa CBE -Dodoma nilikutana naye rainbow Dodoma so nikawa nimechukua contacts tukawa tunawasiliana. Baada ya kuwa nimemzoea nikamwelezea vile najisikia juu yake, dada akatolea Nje. Nikakubali tukawa tunawasiliana...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Ajabu wa Samir na Mohammed: Hadithi ya Upendo, Msaada na Maumivu kutoka Damascus ya Kale

    Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889: Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba Samir mgongoni. Samir aliyekuwa mlemavu wa kupooza alimtegemea Mohammed katika safari zake mitaani...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukisema uoneshe upendo kwa kumpa hela mdada, matarajio yako mara nyingi yatakua tofauti na uhalisia

    Habarini, Mda mwingine kwenye utongozaji, mwanaume unajitoa ufahamu unaamua kusaliti chama cha uwabata kwa muda. Unaamua kufata dating advice ya wadada wa humu jf, ya ukiwa na mwanamke unaemtaka mpe hela kabla hata hajakuomba 😁 Unamuona mdada, unasema ngoja huyu nimuoneshe upendo kwa kumpa...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Upendo huwa upo hata baada ya kutendwa vibaya sana lakini HESHIMA ni kinyume chake

    TOFAUTI YA UPENDO NA HESHIMA Alisema Niccolo Machiavelli kwamba "Watu huwa wepesi kumdhuru au kumuangamiza mtu ambaye anayehitaji kupendwa sana kuliko mtu ambaye ametengeneza mazingira ya kuheshimiwa/ kuogopwa. Kisaikolojia ni kwamba upendo husababisha mtu ana-Relax ,mtu ukijua unapendwa sana...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

    Za siku nyingi humu ndani.. hope mko poa Najua humu kuna wakongwe wa mahusiano naweza kupata kujua mawili matatu juu ya haya mahusiano Nipo na mwanaume sasa ni miezi 6 ya mahusiano… nampenda kwa upande wangu na yeye anaonesha kunipenda japo yeye anajua moyoni mwake.. Ni mwanaume mzuri...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Upendo wa Mama katika Klabu ya AC Milani

    Katika kuungana na dunia kusherehekea Siku ya Mama Duniani Jumapili hii Mei 11, 2025, klabu ya AC Milan imeendeleza utaratibu wa wachezaji wake kuvaa jezi zenye majina ya Mama zao mgongoni badala ya majina yao kama ilivyozoeleka. Wachezaji wa AC Milan kwa mara nyingine walivaa jezi hizo dhidi...
  10. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Jamvi la wanawake: Je, viongozi wanawake wana moyo wa huruma na upendo zaidi ya wanaume?

    Uzoefu wako kwenye mazingira yako ya kazi na utafutaji unasemaje. Je kuna tofauti ya haiba ya uongozi na utawala kati ya wanaume na wanawake? Ni kweli kwamba viongozi wanawake ni waelewa na wana huruma zaidi hasa kwenye changamoto binafsi kama za kiafya au matatizo ya kifamilia?
  11. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Upendo udumisheni

    UPENDO UDUMISHWENI Beti nimetunga, sikio ziwakune, Kwa hiyari mmepanga, muoane muoane, Kibwebwe mmejifunga, pamoja mshikamane, Upendo udumishweni, i ngao ya familia. 2. Ndoa ni uvumilivu, hili mwapaswa tambua, Mjue mbichi na mbivu, vinaweza kutokea, Mwenye wivu na anaiharibu ndoa, Upendo...
  12. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Harakati za kuusambaza upendo, ngono na kuzimu. Mjue nabii David Berg na wana wa Mungu (CoG)

    Hii ni picha ya miaka ya 1970s. Unaowaona hapa kwa tafsiri ya haraka unaweza sema ni mabinti walio na furaha na tabasamu pamoja na amani mioyoni mwao. Picha hii ya pamoja ni ya waumini wakiwa pamoja na mchungaji au Nabii wao ,wakieneza injili ya neno la Mungu na kuhubiri UPENDO kwa watu...
  13. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Pale sayansi inapokutana na upendo wa kindoa…….!

    Katika maisha ya sasa, ambapo kila mtu anatafuta afya, amani, na kizazi chenye matumaini kuna jambo moja la msingi tunalopaswa kulizingatia kwa umakini mkubwa, uchaguzi wa mwenzi wa maisha. Kwa muda mrefu, tumekuwa tukioana ndani ya koo na jamii zilezile. Ingawa ni kawaida, sayansi ya kisasa...
  14. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Kila siku nasema Lissu anawategemea watu wasionekana wala kumuunga mkono wanamjaza upepo upendo zero

    wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Harusi mfungie kanisani, wali ukaliwe ukumbini, huo SI Upendo enyi watu wa Mungu!

    Salaam ,Shalom! Siku za mwisho imeandikwa Upendo wa wengi utapoa, Yaani ufunge ndoa kanisani, tukushangilie Kisha chakula kiende kuliwa ukumbini Tena kwa kundi dog tu la watu! Kiukwelli zamani palikuwa na upendo, likuwa Kila jumamosi au jumapiili sie watoto wa uswazi hatukukosa pilau la...
  16. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa sasa, wemejawa na ubinafsi na upendo wa mali

    Eti cha mwanaume ni cha familia, cha mwanamke ni cha mwanamke. Hivi huu ujinga ni nani aliwafundisha? Siku zote mahusiano yenye afya yanajengwa kwa kushirikiana, si kwa mzigo kuwa kwa upande mmoja tu. Ndio maana, ndoa zimejaa biashara na ubinafsi, badala ya kutawaliwa na upendo. Ndoa yangu...
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Sina dalili ya upendo kabisa

    Habari Wana JF Mimi nikijana wa miaka 28 nimuda Sasa najihisi kua sio binadam aliekamilika. Nina changamoto yakukosa upendo wa kimahusiano na mwanamke, Yani naweza nikawa kwenye mahusiano lakin Ile Hali yakuhisi kumpenda mwenzangu sina kabisaa, nimejaribu Hadi kwa pisi Kali zilizonyooka lakini...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mungu wa upendo aliwaumba kunguni, nzi na mbu waje kuwatesa kwa magonjwa watoto wake wapendwa

    Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu. Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa. Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu. Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Dunia yenye kila aina ya maumivu inathibitisha kuwa Mungu mwenye upendo na huruma hayupo

    Dunia yenye vita, Dunia yenye kila aina ya majanga ya asili(tsunami, tetemeko n.k),Dunia yenye vichaa, Dunia yenye ukatili wa kila namna, Dunia yenye vipofu, Dunia yenye ajali, Dunia inayobagua walemavu na wazima, Dunia inayobagua makapuku na wenye navyo. Hayo yote yote yanathibitisha Mungu...
  20. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Unadhani wivu ni sehemu ya asili ya upendo, au ni ishara ya kutokujiamini?

    Habarini wakuu. Share your thoughts...
Back
Top Bottom