upendo

Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Rais Samia ndiyo tunaitaka kwani ni ya amani, utu na upendo na wala hakuna mauwaji na mabaya kama ya kwingineko duniani

    Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
  2. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Unajisifu una hela lakini umetelekeza mtoto

    📖Mhadhara wa 25: Mwanaume unaanzaje kukimbia majukumu ya kulea mtoto au watoto wako. Mwanaume rijali aliyekamilika hakimbii majukumu ya kulea damu yake, anaweza kumkimbia mwanamke aliyezaa nae lakini kamwe hakimbii jukumu la kumlea mtoto. Iwapo mwanaume rijali atamkimbia mwanamke aliyezaa nae...
  3. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Waafrika Upendo wa Dhati hatuna

    Kiukweli sisi waafrika hatuna upendo kabisa. Ni kitu ambacho kama tunajilazimisha tu kuwa nacho ila ndani yetu hakipo. Sio kwa wote ila kwa wengi wetu hatuna upendo. Badala ya upendo mwafrika kaumbiwa sifa. Aisee sisi watu tunapenda sifa haijawahi tokea duniani. Angalia tu misafara ya viongozi...
  4. fakhbros

    JamiiForums Tanzania MOYO ULIOJAA BARAKA NA UPENDO:

    Amebarikiwa mwanaume anayeingia katika maisha ya mwanamke kwa nia ya kweli na ikhlasi. Yeye ndiye anayempa usalama na kumfanya ajisikie mrembo, mwenye kujiamini, na mwenye akili. Anamwalika katika ulimwengu wake wa matukio na zaidi ya yote, anahakikisha anahisi kupendwa, kuheshimiwa na...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwa moyo wa upendo Rais Samia amimina Millioni 425 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya kijamii wilayani Longido

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, ameendelea kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa moyo wake wa upendo,huruma ,kugusa Maisha ya watu,kuwajali wanyonge na kujinyenyekeza kwa watu. Ameendelea kuonyesha namna...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Yahya Sinwar aipongeza Lebanon kwa moyo wao wa upendo kwa wapalestina kwa njia ya kupigana na Israel

    Kiongozi mkuu wa Hamas,ndugu Yahya Sinwar ametoa pongezi kwa viongozi wa Hizbullah ya nchini Lebanon kutokana na kuwaunga mkono wapalestina kwa njia ya kuwashambulia Israel bila kuchoka. Pongezi hizo zilitumwa kwa njia ya barua na kuwekwa wazi na vyombo vya habari vya Lebanon ni jibu la barua...
  7. Soul21

    JamiiForums Tanzania Linda Upendo wako

    Naomba nikueleze ukweli wako. Kuna aliyekuumiza lakini hukupenda kulia hadharani ili usimfaye awe kumbukumbu za uchugu na majuto kwa sababu ulimpenda sana. Naamini ulimfundisha tafsiri ya upendo. Ndo maana nikiutazama moyo wako naona jinsi upendo ulivyojaa. Na kuna sauti inakunong'oneza...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Dini ipo ndani ya moyo wako. Dini ni upendo. Dini ni uwazi. Dini sio haya mashirika mnayoenda kuyafaidisha na kutimiza itikadi zao.

    Mmekuwa manipulated kwa enzi na enzi kumuunganisha Mungu na dini. Mmekuwa brainwashed kuona njia ya kumifikia Mungu ni dini. Mungu sio dini, Dini sio Mungu. Dini hizi ambazo viongozi wenu wanalindwa na mabaunsa huku wakiwahamasisha msiwe na hofu Mungu yuko na nyie. Dini hizi ambazo viongozi...
  9. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Upendo

    Upendo.
  10. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanakusubiri kwenye finish line

    Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa. Usivunjike moyo, focus yako iwe katika mbio za marathon, wanawake wapo kule kwenye finish line wamejipanga...
  11. fakhbros

    JamiiForums Tanzania Kugusana na mpenzi wako ni lugha ya kimia ya upendo

    Kugusa ni lugha ya kimya ya upendo" huangazia athari kubwa ya mguso wa kimwili katika kueleza hisia, mapenzi, na upendo bila hitaji la mawasiliano ya mdomo. Njia hii ya mawasiliano isiyo ya maneno huzungumza moja kwa moja na moyo na nafsi, kuwasilisha hisia ambazo mara nyingi maneno hushindwa...
  12. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Hakuna 'mchepukaji' mwenye sanaa ya upendo

    Kwanza tujue upendo ni nini kwa mujibu ya Biblia Takatifu. Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli. (1 Wakoritho 13: 4-6)...
  13. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania GAMONDI : Kazi yako ni kusambaza upendo CHAMA: imeisha hiyo boss

    Kwa sasa kikosi cha Yanga kimekamilika mno kiasi kwamba kama kitaweza kutumia efficiency yake walau kwa 70% basi hata vilabu vingine vilivyotwaa ubingwa wa Afrika kama Al ahly, Wydad, Raja n.k vitapata taabu sana. Ubora wa wachezaji wa Yanga ni wa hali ya juu sana. Tukizungumzia utatu wa pale...
  14. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa na Upendo Peneza ni watumwa wa kisiasa

    Kuna utumwa wa aina nyingi ukiwemo wa fikra, ngono, kutumikishwa na pia huu wa siasa ambao Msigwa na Peneza ndo unawahusu CCM sasa hivi kazi yao ni kuitisha mikutano halafu wao wanakaa background wanawatanguliza Msigwa na Peneza ili kuishambulia CHADEMA huku wao wakiwacheka hasa wanapokosea...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Geita: Upendo Peneza akaripiwa na viongozi adharani, ni baada ya kutamka Chadema badala ya CCM wakati akihutubia

    Huyu dada kama ilivyo msigwa,wako CCM kimaslahi ila kiroho na kimwili wako Chadema. Akihutubua mkutano wa adhara mbele ya katibu mkuu wa CCM Emanuel Nchimbi na katibu wa itikadi na uenezi Amos makala,,Upendo peneza alijinasibu kuwa yeye ni chadema baadae akafuta kauli. Baada ya mkutano kuisha...
  16. Surya

    JamiiForums Tanzania Kitu muhimu ni upendo tu, ukipungua ni machafuko

    Yesu alitaja mara nyingi amri za Musa na kuziangazia katika mafundisho yake. Alisisitiza umuhimu wa sheria za Musa huku akieleza jinsi zilivyo msingi wa sheria kuu zaidi za upendo. Katika kitabu cha Mathayo 22:34-40, Yesu anazungumzia juu ya amri kuu, akijibu swali la Mfarisayo kuhusu ni ipi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa vijijini ndio wenye utu na upendo halisi

    Hawana Hila Wala chembe ya uigizaji,wao wanayaishi maisha katika uhalisia wake,mijini kumejaa maigizo ,utapeli ,na Kila uovu usio na kikomo.
  18. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wanawake walioajiriwa wana msongo mkubwa wa mawazo kuliko wanawake wanaoitwa mama wa nyumbani

    Wanawake walioajiriwa wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kuliko walioajiriwa. In short wanawake hapa duniani wanachohitaji ni UPENDO tu na kuwapa Attention na mahitaji yao ya msingi. Huku maofisini kama sio kuishi katika imani ningekuwa naiokota Kama maua sama. Ukimuona mwanamke haeleweki...
  19. haszu

    JamiiForums Tanzania Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

    Kuna wadada wazuri tu wametulia lakini hawana bahati ya kupata wachumba, in short wana uhaba wa kupendwa. Inafika wakati wanakiona wana gundu na kujichanganya kwa liwalo na liwe. Kuna mmoja nimemuonea huruma sana, mana ametulia af kakutana na mimi nimeshaoa. Sitaki akolee mana sina malengo...
  20. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Misingi Imara ya Uhusiano wa Kudumu: Siri za Upendo na Uelewano wa Kweli

    Katika ulimwengu wa leo, mahusiano yanaweza kukumbwa na changamoto nyingi kutokana na mabadiliko ya kijamii, teknolojia, na mtindo wa maisha. Mada hii inahusu jinsi wanandoa au wapenzi wanaweza kuweka msingi imara kwa uhusiano wa kudumu. Hapa kuna maeneo muhimu ya kuzingatia: 1. Mawasiliano ya...
Back
Top Bottom