upasuaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    KWELI Uganda walianza kufanya upasuaji kwa ajili ya kujifungua (C-section) kabla ya mwaka 1879

    Je, hili ni kweli wakuu? By 1879, Uganda was the only place in the world where C-sections were performed to save both mother and baby. European observers documented this practice, which used local tools, herbal anesthetics & antiseptics.
  2. L

    Madaktari bingwa wa upasuaji wa China waokoa mkono uliovunjika wa kondakta wa Tanzania, na kurejesha matumaini kwa familia

    Wiki tatu zilizopita, Ali Hamad Kombo mwenye umri wa miaka 31 aliamini maisha yake ya kazi na kujitafutia riziki kwa ajili ya familia yake yalikuwa ndio basi tena ghafla tu yamefikia mwisho. Kombo ambaye ni kondakta wa daladala katika wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba, Zanzibar, anategemea...
  3. L

    Madaktari wa China warejesha tabasamu na matumaini kwa kijana wa Zanzibar kupitia upasuaji uliobadilisha maisha yake

    Katika siku angavu katikati ya mwezi Desemba mwaka 2025, Seif Amour Rajab mwenye umri wa miaka 16 aliingia kwenye chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Lumumba iliyopo katika Kisiwa cha Unguja, Zanzibar. Ndani ya chumba hicho, madaktari wa timu ya 35 wa China huko Zanzibar walifanya kazi kwa...
  4. DOKEZO Kujifungua kwa upasuaji Muhimbili ni anasa kwa wajawazito? Gharama ni ghali

    Kama tunavyojua, mara kadhaa tumekuwa tukiwasikia baadhi ya wanasiasa wakidai kuwa wajawazito wanajifungua bure. Kauli hizi zimekuwa zikizua mijadala mikubwa kuhusu uhalisia wake, hasa ikizingatiwa kuwa bado kuna gharama mbalimbali zinazotozwa kwa maelezo kuwa ni michango ya huduma. Hata hivyo...
  5. L

    Huduma baada ya upasuaji iliyotolewa na madaktari wa China yamwezesha mgonjwa nchini Sudan Kusini kuondokana na maumivu makali

    Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umedumu kwa miongo kadhaa, na kugusa maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na elimu, uchumi na biashara, kilimo, na maeneo mengine mengi. Ushirikiano huu umekuwa na manufaa makubwa kwa pande zote mbili, na kubadili maisha ya watu katika nchi nyingi za...
  6. Tanzania kuanza kutumia Robot kwenye upasuaji wa moyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewapokea wageni kutoka Hospitali ya Apollo ya India waliotembelea taasisi hiyo kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika sekta ya tiba utalii na huduma za kibingwa. Dkt. Kisenge amesema kuwa JKCI imeanzisha...
  7. R

    Video: Madaktari Wakiendelea na Upasuaji wakati wa Tetemeko Kubwa la ardhi Urusi

    Video ya kushangaza kutoka Petropavlovsk-Kamchatsky, Urusi, imeonyesha madaktari wakiendelea na upasuaji wa mgonjwa wakati tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 likitokea leo Julai 30, 2025 katika pwani ya mashariki mwa nchi hiyo Licha ya mtikisiko mkubwa uliosababisha tahadhari ya...
  8. Video ikionesha wadada wakipata wakati mgumu kukaa chini baada ya kufanyia upasuaji katika clinic ya kuongeza makalio

    🤣 Maisha ni mapambano, na hawa wanapambana kukaa.
  9. L

    Madaktari wa China Wawazawadia Watoto wa Zanzibar Tabasamu Jipya Kupitia Upasuaji wa Mdomo

    Timu ya 34 ya Madaktari wa China waliopo Zanzibar hivi karibuni imekamilisha upasuaji mitano ya midomo iliyopasuka juu na upasuaji 19 ya matatizo ya kaakaa kwa watoto ndani ya siku tano tu, huku kila upasuaji ukifanywa bila shida yoyote na hatimaye kurejesha afya na kuwapatia zawadi ya tabasamu...
  10. Mamlaka angalieni Changamoto ya Gharana za Upasuaji wa wagonjwa wa mifupa kwenye Hospitali za Umma.

    Nina utamaduni wa kutembelea wagonjwa Hospitalini na katika jamii inayonizunguka. Katika hali iyo nimekuwa nakutana na wagonjwa wenye Changamoto mbalimbali. Changamoto ya hivi punde ni Gharana za Upasuaji kwa wagonjwa waliopata ajali Na kuvunjika viungo Hospotari ya Rufaa Dodoma (General...
  11. Aliyefanyiwa upasuaji wa nyonga na goti aishukuru MOI kwa Huduma Bora

    “Nilikuwa na changamoto ya nyonga na magoti kwa muda wa miaka 8, baada ya kufanyiwa upasuaji huo na Madaktari Bingwa kutoka MOI sasa naendelea vizuri” Bi. Apaikunda Massawe Mkazi wa Arusha
  12. PreGE2025 Zaidi ya wagonjwa 450 wapatiwa huduma upasuaji wa macho bure Arusha

    Zaidi ya wananchi 450 kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Arusha wamepata huduma ya upasuaji wa Mtoto wa Jicho (cataract) bure, kupitia kampeni ya afya iliyoendeshwa na Madaktari Bingwa na Wabobezi kutoka nchini Hispania. Huduma hiyo, iliyolenga kuwasaidia wananchi wa kipato cha chini...
  13. Tanzania Imeandika Historia Kwa Kuanza Kufanya Upasuaji Wa Ubongo Kwa Kutumia Akili Unde

    Tanzania Imeandika Historia Kwa Kuanza Kufanya Upasuaji Wa Ubongo Kwa Kutumia Akili Unde. Serikali ya Tanzania kupitia Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza rasmi upasuaji wa ubongo kwa kutumia teknolojia ya akili unde ‘Brain Lab- Neuro Navigation System’ ambayo husaidia...
  14. Watoto 13 wafanyiwa upasuaji wa Kunyoosha Kibiongo katika Taasisi ya MOI

    Dkt. Bryson Mcharo, Daktari bingwa wa mifupa kwa watoto- MOI Taasisi ya Tiba ya Mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha kibiongo ambapo watoto 13 wamefanyiwa upasuaji huo kwa mafanikio makubwa. Kaimu Mkurugenziu Mtendaji wa MOI, Dkt. Laurent Lemeri...
  15. L

    Watoto wa Tanzania wafanyiwa upasuaji wa moyo kwa mafanikio kwa kutumia teknolojia mpya iliyoanzishwa na China

    Machozi ya furaha yalitiririka mashavuni bila kujizuia baada ya Husna Shabaan Kingwande alipofahamu kwamba upasuaji wa moyo wa mtoto wake Ikram mwenye umri wa miaka mitatu ulifanyika kwa mafanikio. Upasuaji huo uliofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyojengwa na Wachina...
  16. Watalaamu wa Afya hivi inakuaje mtu anapofanyiwa upasuaji asizinduke anapitiliza kufa?

    Hiki kipindi cha sasa hivi vifo vya namna hii vimekuwa vingi sana.Sio kwamba nipo hapa kuwalaumu la hasha bali nipo hapa kutaka kujua kulikoni siku hizi wakuu? Ipo hivi kuna hospital moja huku hadi inaogopwa watu wakiingia kufanyiwa OP kurudi ni majaliwa sasa imewabidi wawe wana safiri kwenda...
  17. U

    News alert Pamoja na kutakiwa kupumzika na madaktari baada ya upasuaji tezi dume Netanyau atahudhuria uapisho wa trump 20/1/2025 Washington DC

    Wadau hamjamboni nyote? Mwamba amedai Oktoba 20 atakuwepo Washington DC kushuhudia mwamba mwenzake Donald Trump akila kiapo kuongoza taifa kubwa zaidi duniani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: January 1, 2025 Netanyahu still planning to attend Trump’s inauguration, despite surgery By...
  18. B

    Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure

    15 December 2024 Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure https://m.youtube.com/watch?v=FeeoVkgzMv0 Na Musonda Mwewa ZNBC Timu ya madaktari maarufu wa kimataifa wamewasili nchini Zambia kufanya upasuaji wa kuokoa maisha ya watoto 25 wanaougua matatizo ya...
  19. K

    DOKEZO Bila laki mbili Mjamzito hapati huduma za upasuaji, Hospitali za Serikali Bariadi, Simiyu

    Habari za wakati ndugu wana Jukwaa, Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia hii changamoto kwa wajawazito ambayo wanakumbana nayo wakati wa kujifungua katika vituo vya Afya na Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Wilaya ya Bariadi hapa kwenye mkoa wetu wa Simiyu. Nimekutana na changamoto hizi...
  20. Baada ya Mdau wa JF kuomba msaada Mgonjwa wake afanyiwe upasuaji, MOI yatoa ufafanuzi na maelekezo

    Oktoba 23, 2024, Mwanachama wa JamiiForums.com aliandika andiko la kuomba msaada wa wapi anapoweza kupata fedha au ufadhili kwa ndugu yake ambaye ni mgonjwa aliyelatwa katika Tasisi ya MOI, akisema kuwa gharama ya upasuaji Tsh Milioni 1.6 ni kubwa kwa familia yake ambayo imejichanga na kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…