upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Upande wa Sekta ya Madini Tanzania tunaambulia 16% kwenye Mikataba na Madini ni Yetu? Naomba nieleweshwe Tafadhali Uenda nikaelewa

    Wakuu naomba mtu mwenye uelewa na mambo ya Madini pamoja na Mikataba anieleweshe ili nami nipate kuelewa ! Tanzania imebarikiwa Kuwa na Madini tofauti tofauti ambayo bila shaka yangetutoa kwenye Umasikini watu wetu wakaishi maisha mazuri na Kuwa na kipato kizuri ! Nimejaribu kudodosa na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mwanachama wa CCM ni raha tu. Ila ukiwa upande wa pili ni suluba tu

    Kufanya siasa ukiwa CCM ni raha na rahisi sana tu ila sasa nenda upande wa pili yaani upinzani especially Chadema. Utajuta kwanini umechagua upande huo. Taabu na subili vyote ni vyako. Polisi, kuumizwa, kupotezewa muda, kuharibiwa uchumi wako, kuonekana wewe ni gaidi, hayo yote kuwa tiyari...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna ndugu angu amemaliza form 4 shule za technical na amefaulu vzr ila anataka chuo je asomee kozi gani yenye soko kwa upande wa technical?

    Huyo ndugu yangu kafaulu vzr kidato cha nne akiwa na B kwenye masomo yake ya ufundi kasomea electronics and communication engineering(B) , engineering science (B) na masomo yote ya science ana A Swala la A level hataki kusikia na kama ijulikanavyo tamisemi wamefungua dirisha la kubadilisha...
  4. JamiiForums Tanzania Kwenye jeshi letu upande wa JKT naona dalili za uchawa umeshafika na mambo mnayofanya

    Leo nimeona JKT wamezindua ZOO kwa ajili ya utalii na kuanza kusifia royal tour raisi kwa kufikiria haraka tu unaona kabisa watu wanafanya kufurahisha muhisika. Mimi nilitegemea kuona jeshi likizindua viwanda vya teknolojia,vilimo vipya pamoja na zana kubwa. Yani leo mfano irani jeshi lao...
  5. JamiiForums Tanzania Mukhutasari wa Ripoti ya CAG Upande Wa TAMISEMI Kwa Mwaka 2023/2024

    UKAGUZI WA TAMISEMI, TAWALA ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Muhtasari huu unawasilisha matokeo muhimu ya ukaguzi, hitimisho na mapendekezo. Ukaguzi ulichunguza taasisi 220 zikiwemo Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Sekretarieti za...
  6. JamiiForums Tanzania Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamb

    Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamba Kazi hii hapa madalali karibuni na wadau wote Nicheki PM
  7. JamiiForums Tanzania Masikini tumebobea katika uchambuzi wa maisha ya tajiri lakini inapokuja upande wetu tukichambuliwa tunasema ni unfair huku tukipoint ni mkono wa mtu.

    🤣habari za tajiri muulize masikini. Utasikia: "Oooh yani mwanaume mzima kama yule anatembela IST" "Oooh ule ukuta hakupaswa kuufanyia vile skimming" "Ooh yani jamaa ana hela ila mke wake anasuka twende kilioni" Yakija maswala yake sasa utasikia ooh mtaani hapa watu wanafuga fisi ndio maana...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wakati wa vita ya I&II ya dunia Yesu na Muhamadi walikuwa upande upi wa vita hiyo?

    Habarini, Kama Yesu na Muhamadi ni uhalisia basi lazima walishiriki vita ya I&II ya dunia,sasa kwanini Mungu alikubali Waafrika ndiyo wakapigane vita isiyo yao? Walikuwa wapi??
  9. JamiiForums Tanzania NDUGU MWANACHADEMA, UNACHAGUA KUA UPANDE WA KIDEMOKRASIA, NO REFORM NO ELECTIONS AU UPANDE WA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER?

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema. Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55, wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania
  10. JamiiForums Tanzania Mashariki ya kongo au upande wa uliopo wanaongea kiswahili ni kama umekosa kuungwa mkono na kuchekewa na watu wanaosema ni afrika mashariki

    Uwezi kusema kiswahili kipo uganda,rwanda,burundi wala sudani kwa upande wa mashariki ya kongo ila hawa wana kiswahili ambacho utajua kipo tanzania ni kwamba hapa kwenye nchi hizi ndio tatizo. Ili ni taifa ambalo limekosa kujua wa kuwashika mkono sababu ndio wabantu wenyewe. Kwa nini wasomi...
  11. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwatishia matajiri na wafanyabiashara ijaanza leo wakiwa upande wa vyama pinzani

    Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini. Kutokana na hatua...
  12. S

    JamiiForums Tanzania biblia imesema wazi mtu ambaye sio mkristo haendi mbinguni. vipi kwa upande wa pili

    Biblia inaeleza hatma ya mtu asiye Mkristo kwa njia tofauti, ikizingatia imani katika Yesu Kristo kama msingi wa wokovu. Hapa kuna baadhi ya mafundisho yake: 1. Yesu Kristo Ndiye Njia Pekee ya Wokovu Yesu alisema: "Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi"...
  13. JamiiForums Tanzania Sijui niseme nini lakini Mungu alikuwa upande wetu jana.

    Jana usiku niliandika humu kuwa nipo mbezi, napata vyombo. Sasa mchana watu niliokuwa nao walikuwa wamezianzia pombe tokea mchana, hadi kufika jioni walishalewa. Tukatoka tukaenda G7 LOUNGE ipo kinyerezi nadhani sasa tulikuwa na magari mawili gari moja la mtu binafsi jingine ni la mtu mwingine...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kufikiria kuna siku nitaenda kwa "Mganga wa kienyeji" lakini sikuwa na budi kwenda kwajili ya mtoto, chanzo kikiwa mila za mama yake

    Sikuwahi hata siku moja maishani kufikiria kwenda kwa waganga wa kienyeji, NEVER !! ni awatu niliokuwa nawaona hawana hadhi hata theluthi ya mtu kupeleka matatizo yake na waliownda nilikuwa nawashangaa. Fast forward 2020 mtoto alikuwa na matatizo flani ya kiafya, mama yake (mke wangu)...
  15. JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa wanywaji.

    Drink responsibly
  16. JamiiForums Tanzania Ubunifu: Dunia ya upande wa pili

    Nimepost mada nyingi sana za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa Ujenzi na makazi Biashara na ujasiriamali Hapa habari mchanganyiko Jukwaa la picha Chitchat Mapishi Urembo na utanashati.... Lakini nyakati zote sijawahi kupost picha za ubunifu wa maumbo, fenicha na vifaa vya ulimwengu pendwa...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kusoma cheti cha sheria na upande mwingine umerisiti private candidate?

    Habari za wakati huu wadau? Kichwa cha habari hapo juu chahusika, Hivi inawezekana mtu akaenda kusoma cheti na upande mwingine amerisiti kufanya mitihani ya kidato cha nne?
  18. JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa Azam media sidhani kama kuna umakini kwenye upande wa usimamizi!

    Chombo kinachotegemewa kutoa habari mambo yapo hivi...mpira umekwisha au unaendelea dk ya 90....
  19. R

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wako na ndugu zako wa baba upo sawa ?

    Mimi niwe mkweli tu hakuna ndugu upande wa baba amenikosea lakini hatuna mazoea. Sehemu pekee tunayoweza kujuliana hali ni kwenye misiba tu. Nipo karibu zaidi na upande wa mama. hawa wajomba, kina mama mdogo, watoto zao, n.k. tupo karibu sana. What's your story?
  20. JamiiForums Tanzania AZAM MEDIA mnaweka camera mita 500 kutoka uwanjani mnatuonyesha video replay wachezaji wanaonekana wadogo kama sisimizi, hivi hamuoni makosa yenu?

    Habari wakuu, Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje! Unasubiri replay, napo unaona video nzuri lakini wachezaji wanaonekana kama sisimizi huwatambui vizuri licha ya kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…