upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. covid 19

    JamiiForums Tanzania Namuonea huruma sana Samia ameamua kukaa upande wa walaghai na wanafiki, watamgeuka soon tu baada ya uchaguzi

    Habari za muda wakuu.. Sioni Mama Samia akiwa na amani tena katika majukumu yake baada ya uchaguzi. Watu alioamua kuwasikiliza ni walaghai na wanafki pro max. Soon baada ya pilika za uchaguzi kuisha na akishaapizwa na wabunge wakiapishwa ndio ataanza kuona rangi zao halisi watamruka hadharani...
  2. Vien

    JamiiForums Tanzania Mji wa Goba ukiwa upande wowote unaweza kuufikia

    Habari, Binafsi naupenda sana mji wa Goba kutokana na Geographia yake, ukiwa upande wowote unaweza kuufikia mji wa goba bila changamoto yoyote Mbezi shule kupitia masana unafika goba Mbezi luis kupitia goba road unafika goba Kimara mwisho kupitia matosa road unafika Goba Mlimani city...
  3. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Absalom Kibanda na Mwalimu wa Rostam yanatoa upande usiofahamika

    Nipo YouTube naangalia mahojiano ya Absalom Kibanda na Mwalimu wa Rostam Aziz nadhani wabongo wengi hujenga hoja au kumkosoa mtu kwa kufuata upepo bila kutafuta facts. Mahojiano haya yana facts za kutosha tu. Ila nilichobaini watanzania wengi hasa wakata ufuta ni wabaguzi sana na wana chuki...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Dar: Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua mpenzi wake aliyegoma kubadili dini

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu. Licha ya Abel kukana mahakamani kutenda kosa hilo, alikiri kuwa yeye na mkewe (marehemu) walikuwa na...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuliacha kurithi kutoka upande wa mama/kwa wajomba?

    Zamani wabantu wengi wa pwani ya Tanzania ya leo walikiwa ni matrilineal societies. Zamani kwa Wazaramo na watu wengine wa Pwani mtu mwenye wapwa aliheshimika kuliko mwenye watoto. Yaani watoto wa dads yako walikuwa na thamani kuliko wako. Hata ukifa mali walirithi watoto wa dada yako. Na...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Misiba ya sisi waafrika ndipo unapojua maisha ya upande wa nyuma ya marehemu na familia yake lakini pia ndipo vikao vikuu vya watu wambea na wanafiki

    Hapo ndipo utajua watoto wa nje wa baba na wale wanaosadikika kuwa ni wake kwa maana baba alipita na mke wa mtu, Utawajua wadeni wake kila mara wanakuwa karibu na mke wake au kaka zake marehemu, michepuko yake inakuwa around kama wataweza kugawiwa chochote. Kuna wale speculators: wanaomchukia...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Somo gumu na lililojaa maumivu kwa upande mmoja na furaha kwa upande mwingine kutoka Nepal

    Tunaweza kujifunza sasa tukiamua kabla hazijaja nyakati ngumu.. Nguvu ya uma ni nguvu ya ajabu mno Imewachukua vijana wa Nepal masaa 36, kupata uhuru wao kuondoa serikali isiyowajibika madarakani. Mwanzo polisi walitumia amri, mabomu, risasi na kuzima mitandao. Sasahivi waziri mkuu yuko...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukisearch girl au woman kwenye imojis zinakuja picha za vidume

    Hii yote kuhalilisha uchapati 🚮🚮🚮
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwenye bomba la mafuta ya Uganda, Tanzania itakwangua kiasi gani kwa kila tone linalofika bandari ya Tanga ?

    Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate. Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
  10. ngoshwe

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya upande wa kushoto

    Wakuu Kwa wiki moja sasa nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ambayo sio makali sana mkono wa kushoto na ukiinua mkono na kuubana kwenye eneo la kushoto ambapo kuna moyo, unahisi kama kukosa pumzi vizuri. Nimepima vipimo vingi ikiwemo ECG na ECO lakini hakuna kilichoonekana na maumivu bado...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuitaadhari nchi yetu na udini, baadhi ya maaskofu wanaonesha hasira kwa kukosa Rais au Mstaafu wa upande wao, wanaeneza mgawanyiko na chuki nchini

    Hoja hii hailengi kuamsha chuki dhidi ya imani yoyote, bali kutahadharisha kuhusu hatari ya kuingiza udini kwenye siasa. Tanzania ni ya wote bila kujali dini, dhehebu, kabila au historia. Kwa miaka mingi walikuwa na "access pass" ya moja kwa moja hadi juu kabisa ya mamlaka. Walizoea kumuona...
  12. WILLIAM MARCONI

    JamiiForums Tanzania Marufuku madhabahuni (upande wa pili)

    Historia ya Nchi yetu inaonyesha kuwa Uhuru wetu uliletwa kwenye Ibada kama hizi, au makongamano ya Dini. Jana tu Kanisa Katoliki lilikamilisha Mfungo wiki nzima kuombea Haki. Naomba kwa leo watu tujadili hili Kongamano la Amani la Umoja wa Mainamu Tanzania UMATA, Mgeni rasmi alialikwa Rais...
  13. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

    Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana. Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
  14. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

    Habari za jioni wakuu na ndugu zangu JF. Ni matumaini yangu tunaendelea vyema kila mtu kwa kiasi chake, maana changamoto hazijawahi kuisha. UTANGULIZI Kwa mara ya mwisho (naamini hivyo), nimerudi katika kutimiza ahadi yangu ya kuleta mrejesho juu ya suala langu ambalo lilishia katika uzi huu...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Karma ni moja ya njia ya masikini kujifariji

    Karma ni stori tunayojiambia ili kuyapunguza maumivu ya maisha, lakini kweli kabisa, maisha ni kama roulette—sometimes unashinda, sometimes unapoteza, na mara nyingi inategemea tu uko kwenye angle gani. Anayewaonea atakufa, ataacha mali aliowachukulia kwa utapeli na itakayorithiwa na watoto...
  16. GoLC

    JamiiForums Tanzania Nataka kuweka uzi wa kitabu changu cha hadithi hapa. Zipi faida zake kwa upande wangu?

    Za leo wakuu Nauliza hili, maana pia naona simulizi nyingi humu na za kuvutia zikiwa ndefu vya kutosha. Nitafaidika vipi na utaratibu ni upi wa kuanza kuweka? Natanguliza shukrani zangu
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubalozi wa Marekani nchini urekebishe utaratibu wa kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri hasa katika upande wa mahojiano

    Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa). Utaratibu uliopo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yapasuka vipande viwili, wanachama hawaelewi wachague lipi! Ni huzuni kila upande!

    Hivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa. Sasa mpira umegeuka bana🤣🤣🤣 mpasuko umehamia sebuleni kwa baba aaah nimesahau kwa mama😆😆😆. Ukitaka kujua unafiki ni mwingi mashabiki...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa EROLINK upande wa Call Center ya TANESCO hatuingiziwi stahiki zetu za NSSF

    Mimi na Wafanyakazi wenzangu wa EROLINK hasa ambao tupo upande wa Call Center ya TANESCO hatuwekewi stahiki zetu za malipo ya NSSF zetu licha ya kwamba tumekuwa tukikatwa kila mwezi. Ahadi zimekua nyingi lakini hakuna kinachofanyika, tumekwisha kuongea na Afisa Uhusiano anaeshugulika na mafao...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Timu ya Jangwani wana dhuluma sana Sema waandishi wengi wako upande wao

    Mnajitia sifa kusajili wachezaji kumbe huku nyuma mnadhulumu akina Prince, ni basi tu timu yetu ya Msimbazi haina viongozi ndio maana utopolo wanatamba.
Back
Top Bottom