upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mzani wa ubaya ndani ya CHADEMA umeelemea upande wa Lissu!

    Kinachoitwa pesa za Abdul na Lissu ni pesa zake za matibabu anazoidai Serikali, Abdul alikuwa anatumika kujaribu kusaidia kufanikisha zitoke. Hata hivyo ni jambo la kusikitisha katika nchi yetu mambo yanabidi kupelekwa hivi wakati mwingine ili mtu apate haki yake tu, ila huo ndio uhalisia...
  2. Trainee

    JamiiForums Tanzania Upi ni upande sahihi wa kukaa picha kwenye kitambulisho?

    Kulia au kushoto? Au inategemea na aina ya kitambulisho? Kwa mfano vyangu mimi; Cha kazi, cha NIDA na cha... picha ipo upande wa kulia ukiwa unavitazama Cha bima ya afya na vya shule vyote picha ipo kushoto ukiwa unavitazama
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nauza plot Tegeta A kwa bedui -Goba.

    Kiwanja kipo karibu na kanisa la Sabato dakika 5 kutoka barabara inayoelekea Goba mpakani. Kiwanja kina mapana yafuatayo. Upande unapakana na barabara ni mita 16 na marefu yake ni mita 38. Upande wake wa nyuma ni mita 22. Bei yake kuanzia TZS26 milioni. Maongezi yapo tuwasiliane
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tumepata huduma mbovu JKCI upande wa VIP, baadhi ya Watumishi wanahudumia Watu kwa kujuana

    Moja kati ya jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele ni kuhusu ubora wa huduma za Watoa huduma katika taasisi na Mamlaka mbalimbali za Serikali, inaonekana ni kama sehemu ambayo Watu wengi hawajali sana kuhusu ‘customer care’. Nilifika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji wa fedha za kuendeshea shule za msingi za serikali

    Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa fedha zao mapema. Pamoja na changamoto hizo wanazopitia walimu wako baadhi ya madiwani wanaopanda...
  6. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa vijana mnaojipanga kusoma masters ili muwe ma boss : Ili upande cheo hauhitaji masters unahitaji mganga mzuri.

    Habari wakuu, Kwanza niweke wazi mimi Omoyogwane nipo Gamboshi bariadi nafanya research huku, kama kuna mtu anataka kuja PM sitamjibu Lengo la huu uzi ni kushare kile nilichokiona na kukijua, kama una swali uliza hapa hapa . Kupanda cheo kuna mambo mengi nyuma ya pazia tena ya kutisha na...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili vipi

    Baaada ya uchaguzi wa serikali za mitaa , nimesikia viongozi toka taasisi za kidini hususa Wakikemea mchezo mchafu uliochezwa na CCM. Sijawahi kusikia kiongozi wa dini ya kiislam akikemea rafu zilizofanya na CCM kwenye uchaguzi. Kama yupo naomba nijuzwe
  8. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israeli limechukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermoni upande wa Syria bila pingamizi, eneo la kimkakati linalotazama Lebanon na Syria

    Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel. Israel imetwaa eneo hili bila pingamizi katika kile kinachodhaniwa "hakuna kitu cha Bure", Israel waliweza kutoa msaada mkubwa...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana na Makamba wameishia wapi na watakuwa upande gani kwenye uchakachuaji wa mwakani?

    Hawa makada wameishia wapi na watakuwa wapi na upande gani kwenye uchakachuaji ujao mwakani?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Upande wenye siasa kali unashinda ndani ya vyama vya siasa

    Tanzania tujiandae na vuguvugu kubwa sana miaka 3 ijayo. CCM Mama Samia kaamua kuwafuata wenye siasa kali na wanao amini wizi wa kura na matumizi ya Polisi kwenye chaguzi. Upinzani wale wanaopenda maridhiano wanashidwa na upande wenye misimano mikali mfano Mbowe upande wake unapungua nguvu na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania KERO Maisha ya Wakazi wa Njelela na Ngaranga (Njombe) yapo hatarini wanapotaka kuvuka kwenda upande wa pili, hatuna daraja

    Maisha yetu sisi Wakazi wa Vijiji vya Njelela na Ngaranga vilivyopo Kata ya Mundindi, Wilaya Ludewa Mkoani Njombe yapo hatarini kutokana na Mto Ruhuhu kukosa sehemu ya kuvukia. Inapotokea tunataka kuvuka kwenda kwenye vijiji vya jirani au kama kuna mtu anakuja huku kwetu ni lazima wanaofanya...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Vita ya tatu ya Dunia (WWIII) wewe upo upande gani

    Ndio kwanza Umoja wa Ulaya haupendi kuiona Urusi ikiwa na nguvu. Kwa vyovyote vile lazima wazichape ili kumpunguza nguvu Urusi. Ndio hivyo wanamtumia Ukraine kuanzisha ugomvi ili wamzibue Urusi kirahisi. Haya twende Marekani, Biden na Umoja wa Ulaya ni kitu kimoja kama Biden akiondoka...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Sisi Yanga tumewazidi pakubwa sana Simba. Hasa upande wa Media na Waandishi

    Yanga hamutaiweza nyie mikia. Yanga inawekeza pia kwa Media sana tu toka enzi za Mwanaspoti, Dimba, Magazeti kama Mwananchi n.k tuna fungu la kutosha tu. Ukija kwa vyombo vya habari kama Radios. Hamtuwezi. Mkienda Wasafi, Clouds, TBC, Radio one, EFM huko kote tumekamata waandishi. Uwezo wa...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya ghorofa la "Hall Two", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ikoje? Mara ya mwisho kulikuwa na habari kwamba limeinamia upande mmoja

    Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana. Unaweza kusoma UDSM hall 2 na 5 zenye ghorofa 11 hazina muda mrefu zitadondoka Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi...
  15. Ancient Resident

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na maumivu makali upande wa kulia wa tumbo kwa chini

    Siku moja nyuma nilikosa maji Fresh kwaajili ya kunywa, kutokana na hali ya Dar es laam upatkanaji wa maji ya chumvi ni mkubwa sana ikanibd niyatumie kama sehemu ya maji ya kunywa kitendo ambacho ckuwai kukifanya na kama nikikifanya huwa nakunywa kidogo sana, ila kwa siku ile nilikunywa maji...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Siasa ya Kutofungamana na upande wowote: Tukilifanya hili Kiuchumi tunaweza faidika kuliko Taifa lolote lile Africa.

    Habari za Jumapili Wanabodi, Kati ya maeneo ambayo inawezekana Tanzania hatujaweza kuyatumia vizuri kunufaika kiuchumi basi ni hili eneo la Siasa ya kutofungamana na Upande Wowote Sote tumeona jirani yetu Kenya anavyonufaika na msimamo wake wa wazi wa kuegemea upande wa Magharibi (West) ambapo...
  17. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchukuaji wa fomu Serikali za Mitaa/ Vijiji maeneo mbalimbali nchini kwa upande wa CHADEMA

    Habari wakuu, Tunaelekea kwenye zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa/vijiji ambapo watanzania maeneo mbalimbali nchini watapata fursa ya kuwachagua viongozi ambao wanaamini watawasadia kuleta mabadiliko ya kimaendeleo katika maeneo yao. Leo tarehe 26/10/2024 mpaka tarehe 1/11/2024 ni zoezi la...
  18. Mzee wa kusawazisha

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mwanamke anapigwa kwa upande wa khanga?

    Nasikia tu huu usemi kua mwanamke hapigwi bali anapigwa kwa upande wa khanga sasa adi Leo sijui maana yake. Naomba ufafanuzi asanteni
  19. M

    JamiiForums Tanzania Korea ya Kusini imepaniki kwa taarifa zisizothibitishwa kuwa askari wa Korea ya Kaskazini wanapigana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine

    Unaweza kushangaa kwa nini taarifa za askari wa Korea ya Kaskazini kuhusika kwenye vita upande wa urusi zimemshtua sana Korea ya kusini!! po hivi : Kama korea ya kaskazini inamsaidia urusi maana yake ni kwamba pia ikizuka vita kati ya korea ya kusini na korea ya kaskazini urusi watawasaidia...
  20. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Tourism Value chain upande wa Vyakula kuna shida sana Tanzania

    Sekita ya Utalii ni kubwa sana na ni pana sana, ina chain ndefu sana nitataja chache tu; 1. Mawakala wa utalii hawa wako huko ulaya 2. Wasafiridha watalii, kuja Tanzania, hapa kuna ndge 3. Waongoza Watalii hawa ni makampuni ya kupeleka watalii porini na gari. 4. Maduka ya vinyago 5.Wamiliki wa...
Back
Top Bottom