upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Rais achaguliwe kwa 'merits' zake sio kwa upande anaotoka, wala dini yake au jinsia yake

    Katiba inasema Rais akitoka bara basi makamu wake lazima atoke visiwani hata kama upande huo hatuoni mtu mwenye sifa. Hii sio sahihi. Kuna tendency au tabia ambayo haijandikwa popote kuwa kama Rais anayemaliza muda wake ni mkristo basi atakayefuata lazima awe mwislamu lengo kubalance dini hata...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Israel imepanga kuifundisha ChatGPT kuwa upande wake zaidi (Pro-Israel) inapojibu maswali

    Katika mkataba mpya wa dola milioni 6, kampuni ya Marekani iitwayo Clock Tower X itazalisha na kusambaza maudhui katika majukwaa mbalimbali, kusaidia kuchezea mifumo ya algoriti, pamoja na kusimamia “mifumo ya AI” ili iwe rafiki zaidi kwa ajenda hiyo. Serikali ya Israel imeajiri kampuni mpya...
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ndani ya siku sita hivi kuna taarifa nzuri wananchi watapata ,ila itakuwa kilio upande wa pili, japo kilio cha kinafki.

    Sina maneno mengi. Anzeni kuhesabu siku 6 kuanzia leo Ndani ya siku 6 huenda ikawa leo au kesho ila haitavuka siku 6. Mungu ataleta neema yake ambayo ni furaha kwa wananchi ila upande wa pili ni kilio japo cha kinafki.
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Majizo, wasanii wanapaswa wawajibike kwa Makosa yao. Masuala ya kuajiri sijui kujiajiri hayana maana kama hawako upande wa wananchi

    Hamjambo wote! 1. Nashangaa wanaolalamika kuhusu Wananchi kususia wasanii. Mimi mpaka sasa sijaona kama Wananchi wamesusia kazi za wasanii. Bado sijaona. Ni kama wamewapa tuu tishio na sio kwamba wameamua kuwapiga Pin. 2. Tunapoelekea kwa kiwango cha awareness na elimu ndani ya jamii...
  5. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Ninaona giza mbeleni kwa upande wa kiutawala wa nchi

    Ninaona giza mbeleni kwa upande wa Muungano wetu wa Tanganyika +Zanzibar kimuundo na kiutawala. Tukumbuke kuwa zile zilikuwa zinaitwa kero za Muungano, sasa hivi ni kama hazipo hii ni kutokana na Rais wa Jamhuri kwa sasa ni Mzanzibar-so hope issue nyingi zinashughulikiwa ipasavyo.Ikitokea tena...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Nurdin Kishki: Yanayoendelea nchini 90% yana msukumo wa upande wa kushoto

    Wakuu Sheikh Kishki anaeleza kuwa asilimia 90 yanayoendelea hapa nchini ni msukumo kutoka upande wa kushoto. Alianza kwa kuwauliza swali aliokuwa nao kuwa kwa yanaoyoendelea sasa yana msukumo kutoka wapi kati yao (waislam) ama upande wa kushoto, ambao nao pia wamesikika wakijibu kuwa ni upande...
  7. P

    JamiiForums Tanzania DHULMA TUNAZOTENDEWA NA BENKI YA CRDB ILHALI BENKI KUU YA TANZANIA , INAONYESHA KUWA UPANDE WAO KWA KUSHINDWA KUJIBU "REVISION" KWA MUJIBU WA SHERIA.

    TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
  8. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Kwani mashekhee mnasimama upande gani?

    Kufuatia muendelezo wa taharuki ya kisiasa nchini, makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo serikali yamejitokeza na kuonyesha misimamo Yao Serikali wao wamesema wanataka amani, wananchi pamoja na maaskofu wote wanasimaa upende wa Haki. Lakini mashekhee nyinyi humueleweki kama mnataka HAKI, AMANI...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia umemaliza upande wako, subiri nao GenZ, EU, US na TEC watakujibu very soon

    Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo. WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela vyenu vidogo. Hili group huwa halina haraka lipo very systematic, consistent litamjibu kwa wakati wake...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo: Serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja

    Madowo: serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja. #D9
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya habari vya nje vimechapisha na kutangaza taarifa za upande mmoja na kupotosha kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi

    Msemaji Mkuu wa Serikali amedai kuwa Vyombo vya habari vya nje vimeandika habari ya upande mmoja kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi "Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya...
  13. toriyama

    JamiiForums Tanzania Anachongumza HABIL kuelekea Desemba

    • BOT haijatoa taarifa Rasmi kama mifumo yake imeingiliwa (Ikiwa watakataa kubali atatoa fundisho) • Amefanya mazungumzo na kiongozi wa DP world , chairman wao na CEO WAO • Amemuambia chairman wa DP world kuwa miamala yake ipo wazi (Kampigia simu Leo na kuongea nae kwa simu) • mifumo ya kifedha...
  14. Quimica

    JamiiForums Tanzania UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

    Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi Leo nataka niwape update ya kile kilichotokea. Mpenzi wangu alienda Depo wakati mimi nikiwa nina stress sana...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa traumatized, vp kwa upande wako?

    Wish u the best guys🕊️🕊️
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikombe cha mateso cha watanzania hakija-jaa ni moja ya sababu ya kufeli kwa maandamano

    Maandamano yamefeli mpaka navyoandika mda huu- kila mtu amejifungia ndani mfano lile tukio la wanakimara kushuka magomeni na kuleta vurugu na kuchoma magari pale kikombe cha mateso kwa wana-kimara kilijaa kukawa hakuna cha kupoteza hawakupanga ila ilitokea Lakini tunatakiwa kufahamu...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watibeli tupo upande wa haki. Kama unapigania haki sisi tupo upande wako

    WATIBELI TUPO UPANDE WA HAKI. KAMA UNAPIGANIA HAKI SISI TUPO UPANDE WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Hatuwi upande wako kwa sababu wewe ni mchungaji, au sheikhe, au Rais, au Mkuu wa majeshi, au waziri, au mbunge,au kaka au dada au Mzazi au mtoto. Hapana! 2. Kama upo upande wa haki...
  18. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi, polisi wako upande wa hatari kupambana na vijana wa gen z

    Kuna report moja ilichapishwa na watu wa wizara ya afya kama 2 years ago. Wali report “health status” ya watu na katika sectors tofauti. Polepole aliirejea wakati anatoa takwimu zake za mambo ya afya wiki tatu zilizopita. Ukiisoma vizuri hile kitu unagundua kuwa polisi wengi wana ishu za...
  19. Surya

    JamiiForums Tanzania Haki itashinda na Vyombo vya usalama kuwa upande wa haki

    INSPEKTA WA POLISI AMWAGA MAZITO YA KUHAKIKISHIA RAIA USALAMA NA USHIRIKIANO OKTOBA 29 Hello, important plz. Mimi ni police rank ya inspector, naomba nikujuze kwamba tumeshajipanga vizuri kuikomboa nchi, wa Tanzania wasiogope kutoka ndani na wala wasiogope hayo magari hivyo ni vitisho tu...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Fanya maamuzi sahihi kuhusu upande utakaokuwa tarehe 29

    Pande ni mbili tu. Uwe mpiga kura au mwandamanaji haramu. Uamuzi ni wako. Ukiwa mpiga kura utaenda kituoni na kupiga kura kisha kurudi kwako kwa amani. Ila ukiwa mwandamanaji haramu utakutana na polisi wakiwa tayari kukuzuia kufanya huo upuuzi. Waandamanaji haramu wenye bahati wanaweza rudi...
Back
Top Bottom