upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjusi Sharobalo

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ni hatari huko upande wa pili

    MUHOOZI ANATAKA BIKRA..😀 Kiongozi wa jeshi la Uganda na mtoto wa Rais wa nchi iyo, ametoa kauli isiyo ya kawaida kwa kuitaka nchi ya Turkish Uturuki itemize masharti yafuatayo haraka. 1) Uturuki itoe kiasi cha U.S Dola billion 1, kwaajili ya maendeleo ya nchi yake. Ikiwa ni pamoja na kuongeza...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini hawa jamaa wa upande wa pili wengi wao ni mashabiki wakubwa wa mamlaka zenye hurka ya ugaidi na uminyaji wa haki za binadamu?

    Eti Echolima1 MK254 loose Nut kwani wale vijana wanachukizwa na ustaarabu wa magharibi na maendeleo yake huku wakishabikia vikundi vinavyohatarisha maisha ya watu duniani kisa vikundi hivi vinasali kama wao? Je ni upumbavu au ulimbukeni? Au vyote kiujumla?😁
  3. M

    JamiiForums Tanzania wakamaria maarufu hupata pesa kupitia codes na referral links, haijalishi mkeka umetiki au umechanika, usijidanganye kuwa mpo boti moja.

    Betting Codes Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
  4. mwaibile

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili Wanafosi mwaliko kwanini

    Nahope we good iv kwann ndugu zangu wakristo mnakuwa mnafosi sana mialiko ya sikuku ya eid simu nyingi kuliko wasilaumu kusumbua kwenye sikuku za Christmas au pasaka yan iv simu kama zote zinataka mwaliko wa Eid ila wote ni christian
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliosoma Chuo cha Taifa cha Utalii tuna changamoto ya upataji wa Ajira Serikalini kupitia Mfumo wa Ajira Portal

    Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisome katika...
  6. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Waarabu ni ndugu zetu upande wa nani?

    Kumbe nateseka tu hapa kumbe Nina ndugu za kiarabu, embu niwajue wanipe hata bilioni 20 pesa za mafuta nifungue biashara.
  7. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Kila upande moto unashuka,hivyo tuseme haina maana kuwa na vipangua makombora??

    Miaka mingi tulikuwa tukihabarisha kwamba kila mtu ana mitambo ya kujilinda,wapo waliotolea mfano nchi ya ahadi hata ukitupa jiwe haliwezi kufika kwenye ardhi yao,yaan linapanguliwa juu kwa juu. Huku baba wa dunia akisema yeye ndio kiboko wa mitambo ya kudungulia takataka zote zinazoelekezwa...
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania Updates: Vita vya USA-Israel vs Iran - Taarifa zangu za upande wa iran

    Hapa kuna habari ulizoandika zikatafsiriwa kwa Kiswahili: --- 🇮🇷 Gwardia ya Mapinduzi yatangaza udhibiti kamili wa Mlalakayuko wa Hormuz --- 🇮🇷 Shambulio la drone dhidi ya nafasi za Marekani mjini Erbil Reuters, ikirejelea vyanzo vya usalama: kambi ya kijeshi ya Marekani na hoteli huko...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri nyingi zinachelewesha kuthibitisha watumishi kazini

    HR haswa upande wa halmashauri nyingi ni kero, hawashughulikii swala la uthibitishwaji kazini watu wamekaa takriban miaka miwili hawajathibitishwa. Hakuna maelezo kamili ni uzembe uliopitiliza
  10. danhoport

    JamiiForums Tanzania Kwanini tairi huvimba pembeni?

    Washkaji zangu, embu tuache utani kwenye maisha yetu. Umewahi kucheki tyre ya gari yako ukakuta imetokeza "nundu" au uvimbe fulani hivi pembeni? Wengi tunasema "ah, bado inatembea," lakini ukweli ni kwamba hilo ni BOMU na unatembea nalo! Sasa, kwanini tyre inavimba hivi? (Hizi ndio sababu)...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amua sasa kusimama upande wa haki

    Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amau sasa kusimama upande wa haki
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Watanzania wengi wapo upande wa Lissu?

    Najiuliza sana hili swali. Wengi wanasema Lissu anaonewa na kuteswa bure. wamama, wazee na vijana mitaani wapo upande wa Lissu. Why?
  13. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Kuhisi kama kuna kitu kizito kifuani upande wa kushoto

    Habari zenu vipendhy naomba msaaada kidogo kuna mdogo wangu wa kiume anasema anahisi kama kuna kitu kifuani upande wa kushoto huwa anakihisi ila hakiumi ni vile anahisi km kuna kitu na sio muda wote ni baadhi ya muda hlf presha yake ipo juu kdg ni 134/90 naomba maelekezo ushauri ili nione naenda...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Upande upi Unaokusikitisha zaidi wewe, kati ya ICC na Trump, et al.; au Hawa Wenzetu?

    Kuna baadhi yetu waTanzania wanaoamini kwamba kuna watu, nchi au makundi toka nje ya nchi hii watakaokuja kutuondolea shida ya utawala wa maguvu unaotukabili sasa hivi. Watu wanasubiri ICC au akina Trump waje hapa na kunyakuwa viongozi waovu wanaotukandamiza sasa hivi, ili tupate ahueni. Watu...
  15. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kuna kaukweli lakini hapa haswa upande wa pesa

    https://x.com/NNgabu_/status/2010247428734361807?s=20
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza hivi karibuni ukienda upande wa photos hautokuta uzi wa warembo wa kali ukitrend namba 1 kama zamani.

    Hii shift sio ya kawaida, There is a depeer meaning.
  17. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Upande wa giza wa Tb Joshua

    My people, Tuhuma Zilizoripotiwa, Mijadala ya Kimaadili, na Maswali Kuhusu Unabii wa Kisasa Jina la TB Joshua, aliyekuwa kiongozi wa kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN) nchini Nigeria, limewahi kuwa kivutio kikubwa cha waumini kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Kwa wengi, alikuwa...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi mnafahamu baada USA kumkamata raisi wa Venezuela kulikuwa na ajenda ambao walijitokeza wakiwa upande wa CCM na account zao,Haya angalia na hii

    Huu mtandao wa propaganda ambao unatumika sana CCM ulipoona delta force imemkamata raisi wa Venezuela nao wakaja kwa njia hii . Kama walikuwa wameona hiyo ndo habari mbona ya Venezuela wajaweka. Hili group la CCM lina amrisha sana .
  19. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kiislamu alivyorudisha mamilioni aliyookota

    Kuna Taarifa kuhusu mwanamke Muislam kutoka Lapai, Jimbo la Niger, Nchini Nigeria anaeitwa Hajiya Aisha Isah Yelwa ambaye alirudisha Naira milioni 330 zilizo ingizwa kimakosa kwenye akaunti yake ya benki Kwa Ufupi ni kwamba Aligundua kiasi hicho kilichopokelewa bila sababu ya dhahiri kwenye...
Back
Top Bottom