upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. Upande wa LB Zimbwe na CB Ouatarra unaenda kuwa UCHOCHORO wana SIMBA kupigwa nyingi

    Ndugu zangu ukweli usemwe huyu Ouatarra mzito na hana speed bora babu Onyango.. Mohamed Hussein ana makosa mengi sana na huwa anachelewa kurudi tunaposhambuliwa.. Sasa yule wa kurekebisha makosa ndio mzito, mzembe na hana speed Hata utopolo walitufunga tokana na hawa viazi wawili
  2. Sakata la Tozo: Watawala wakisisitiza lazima zilipwe, wasikilize wananchi pia wanataka nini

    Naweza kuliita hili sakata la tozo kama kaa la moto! Wakati watawala wakijaribu kwa kila namna kutetea tozo hizo zilizoidhinishwa na waheshimiwa wabunge wetu, upande wa pili wa wananchi wanazipinga vikali tozo hizo na hata kudiriki kuziita kuwa ni "day robbery". Wakati huo huo wale...
  3. Wamama wengi wa Afrika huwafundisha watoto kuwachukia ndugu wa upande wa baba. Mashangazi ni wachawi, bibi mzaa baba anaturoga ila MJOMBA NI MAMA

    Familia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina. Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno mbalimbali kwamba wamekuja kuvunja ndoa, wameleta uchawi na mbaya zaidi inafikia wanakataliwa hata...
  4. Nchi ya ujerumani ilipaswa kutofungamana na upande wowote kwenye kitu chochote

    Kihistoria naliona taifa la ujerumani kama victim wa mahusiano na mashirikiano kwenye Jumuiya za kimataifa. Vita zote matokeo yake yameidhabu ujerumani. Naona vita ya Ukraine vile vile amebebwa tu. Vita ya pili na kunyang'anywa kwake makoloni kama sehemu ya adhabu sioni koloni la mjerumani...
  5. Wanaume tujadiliane; nini faida za kulala upande wa kulia wa mwanamke?

    Watu makini, karibuni sana kwa mjadala.
  6. Vita Vya Russia-Ukraine: Je, ni muhimu kuchagua upande?

    Hili ni swali kwa wabobezi wote wa siasa za kimataifa. Vita vya Russia-Ukraine: Je, ni muhimu kuchagua upande kama nchi? Kwa sisi wananchi, tunaona ni rahisi kuchagua upande. Kwa mfano kuna wananchi mitaani wanasema ndio ni bora Urusi awabe adhabu watu wa Ukraine na washirika wake, na wengine...
  7. Albert Msando: Wanahabari kuweni watetezi wa Haki za Binadamu, msiegemee upande mmoja

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewataka wanahabari kuendelea kufanya kazi kwa bidii na ueledi zikiwemo za utetezi wa Haki za binadamu ili kuongeza tija katika kuwahabarisha wananchi taarifa zilizojitokeza na zitakazojitokeza. Msando amesema hayo Mkoani Morogoro wakati akifungua...
  8. Nahitaji simu nzuri upande wa camera, Processor na storage(ROM) kuanzia 64GB Ila isiyo Apple

    Jamaan wadau wa humu JF jukwaa la matangazo madogo madogo habari za muda huu Kiufupi ni kwamba nahitaji simu nzuri upande wa camera, processor na storage kuanzia 64GB na pia iwe ina betri lenye uwezo wa kukaa na chaji muda mrefu yaani haiishi chaji kwa haraka angalau kuanzia...
  9. Acheni Kutudanganya ukweli ni kwamba Beki Inonga kasema mkimuacha Mkongo Mwenzake huyo nae anasepa zake upande wa Pili

    SIMBA SC KUMBAKIZA MUGALU Habari kutoka ndani ya Simba zinasema Majeraha aliyoyapata msimu huu Chris Mugaluni moja ya sababu inayopelekea uongozi wa klabu hiyo kutomuacha. Msimu huu hakuonyesha makali tofauti msimu uliopita Mugalu alimaliza na mabao 15 katika mechi 19 Chanzo: SportsArenaTz...
  10. Mataifa ya Afrika ambayo yatakuwa na uwakilishi wa vilabu vinne kwa msimu wa 2022/23 michuano ya CAF

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho. β€’ Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ β€’ Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ β€’ Congo DR πŸ‡¨πŸ‡© β€’ Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ β€’ Guinea πŸ‡¬πŸ‡³ β€’ Libya πŸ‡±πŸ‡Ύ β€’ Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ β€’ Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ β€’ South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ β€’ Sudan πŸ‡ΈπŸ‡© β€’ Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ β€’ Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³
  11. Mafundi simu upande wa Software naomba kusaidiwa

    Kwema Wakuu? Mafundi simu upande wa software na wadau wote mnaofahamu matatizo ya software za simu,nisaidieni utatuzi. 1:Vida k242(voda kitochi) APP ya contact inafunguka lakini haiwezekani kuchagua majina(bar ya kijani inayozunguka eneo la search pichani inagoma ku move kushuka chini). 2:APP ya...
  12. Wapenzi wa game za ANDROID hili hapa game bora kabisa kwa upande wa android games

    TYCOON BUSINESS 2022 Wale wapenzi wa games basi hii ni fursa kwenu game hili linahusika na masuala ya kiuchumi, teknolojia, utachagua nchi yako ambayo utaunda kampuni yako kisha utaanza kujenga uchumi wako kama tunavojua ili uwe na uchumi bora ni lazima uwe na jeshi bora teknolojia bora kwa...
  13. Z

    Ndugu yangu anamwambia mke wangu kuwa sisi tunalala tu hatufanyi mapenzi

    Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mimi hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu. Leo mke wangu ameniambia nikiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshughulikia mke wake muda wote...
  14. Kati ya watanganyika na wazanzibari, Nani wananufaika zaidi na fursa za upande mwingine?

    Je wazanzibari wananufaika na fursa za bara Au wabara wananufaika na fursa za Wazanzibari? Kipindi hiki nimeona wabara wakilalamikia sana Wazanzibari mpaka kufikia hatua wanatamani katiba ya Zanzibar ibadilishwe ambayo imekuweko miaka na miaka. Kwa mfano suala la umiliki wa Ardhi watanganyika...
  15. UVCCM tupo upande gani wa mjadala wa gharama za maisha?

    UVCCM KWENYE VITA YA MAFUTA TUPO UPANDE GANI? Na Elius Ndabila 0768239284 Mjadala mkubwa kwa Taifa letu ambao unashika kasi kila kuitwapo leo ni kupanda Kwa gharama ya maisha kuliko sababishwa na ongezeko la mafuta mara dufu. Mjadala huu umepamba moto Kwa miezi miwili na ushea sasa. Lakini...
  16. CHADEMA hoi bin taaban, wamekosa hoja ya kuikosoa CCM hawajulikani wapo upande gani kama ni wapinzani au sio wapinzani

    Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi. Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake. Wamebaki kukomalia habari na...
  17. SURA MBILI ZA ZITTO KABWE, Je wewe unamwongelea katika upande gani?

  18. Q

    Tangu tupate Uhuru ni mara ya kwanza sherehe za Muungano kuhudhuriwa na Marais wote kutoka upande wa Zanzibar

    Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo. Anyways, hakuna ubaya ni...
  19. N

    Hayati Magufuli kwanini ana pande zote za uongozi? Yaani ana upande mzuri sana na mbaya sana kuliko wenzake waliotangulia

    Ninashangaa sana hili. JPM anaonekana kuwa Kiongozi mzuri sana kati ya viongozi walioitumikia Tanzania na wakati huo huo anaonekana ni Kiongozi mbaya sana kati ya wote waliopita - Hasa kwenye jambo la ukatili! Hili kwa kweli linanishangaza sana kwa sababu anatrend kuliko wote kwa pande zote...
  20. Uongozi wa CCM umeelemea upande mmoja

    Wakati B W Mkapa anataka kuunda Baraza la Mawaziri alimfuata Mwl Nyerere na kumuuomba ushauri wa kumsaidia kuunda Baraza la Mawaziri. Mwl Nyerere alimkatalia Late Mkapa kuunda Baraza la Mawaziri.Mwl alimwambia Mkapa Niki kusaidia maana yake hilo baraza litakuwa langu. Mwl Nyerere alimsaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…