uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Aina ya uongozi tulio nao; anayechelewesha msafara ng'ombe wa mbele, anatandikwa wa nyuma

    Bara la Afrika pamoja na kuwa na raslimali za kila namna lakini bado ndo bara linaloongoza kwa umaskini kati ya mabara yote 7. Hii inachagizwa na ukosefu wa viongozi bora. Viongozi wengi wa nchi za Kiafrika wanafanana karibia kwa kila kitu (ukitoa wachache tu wanaojitambua). Wengi wao hawana...
  2. Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

    Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha. Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo. Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo...
  3. B

    Baadhi ya viongozi Serikalini ni vibaka waliojivika vazi la uongozi

    Habari za leo wana jamvi, Moja kati ya vitu vya muhimu sana ili nchi iendelee, lazima uongozi uwe vizuri. Viongozi wawe waadilifu na watambue kwamba wapo kwenye nafasi walizopo kwa ajili ya kuwawakilisha wananchi kwa ujumla. Bahati mbaya sana tuliyo nayo kama Taifa, ni ile hali ya viongozi...
  4. Hizi ni posts zilizotengenezwa na jeshi la israel

    https://www.instagram.com/p/CytxASppZGn/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== https://www.instagram.com/p/Cyttef9pL-Z/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Wavamizi wa kiyahudi wakifanya yao, huku wanauwa watoto, wazee, wajane n.k, na wala hawajali. Ndugu zangu waislamu, tuzidi kuwaombea ndugu zetu kwa mitihani...
  5. B

    Tundu Lissu atoa muhadhara chuo kikuu cha Darla Moore School of Business, University of South Carolina juu ya Uongozi Afrika

    25 October 2023 Columbia, South Carolina United States Tundu Lissu |Guest Lecturer Corruption, Darla Moore School of Business, University of South Carolina https://m.youtube.com/watch?v=IYfoTqmzPv0 Guest Speaker Hon. Tundu Antipas Lissu, a trained lawyer graduated from the University of Dar...
  6. W

    Ushiriki mdogo wa vijana katika nafasi za uongozi Tanzania unatia wasiwasi

    Nchini Tanzania, ushiriki wa vijana katika nafasi muhimu za uongozi bado ni mdogo sana, hali ambayo haionyeshi ukweli wa idadi ya watu wa nchi. Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ilifunua kuwa takribani asilimia 50 ya Watanzania wana umri wa miaka 18 na chini, na thuluthi mbili ya idadi ya...
  7. Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi kama waliyo nayo Singapore na China hakika tutafika mbali sana

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  8. Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi waliyo nayo Singapore na China tutafika mbali sana

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  9. Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi waliyo nayo Singapore na China

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  10. Waziri Dkt. Ndumbaro ateta na Uongozi wa wa FIFA na CAF

    WAZIRI DKT. NDUMBARO ATETA NA UONGOZI WA FIFA NA CAF Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA ) katika Ukanda wa CECAFA, Andrea Silva na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu...
  11. Kumuita mtu aliyeudakia tu uongozi Mama wa Taifa ni kutudharau Watanzania wenye akili kubwa

    Halafu mnavyozidi Kumchoresha bila kujua ni hapa mnapomfananisha Kimafanikio na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere huku mkijua hana hata Miaka Minne (4) Uongozini wakati aliyeitwa Baba wa Taifa alikaa Miaka 23 Uongozini na Kuutengenezea Heshima Kubwa Kimataifa Tanzania yetu hii. Mama wa Taifa...
  12. Uongozi wa UDOM wajibu madai ya kuwepo kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi

    Baada ya memba wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya Wadudu aina ya Kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi wa Chuo Kukuu cha Dodoma (UDOM), ufafanuzi umetolewa kutoka kwenye mamlaka ya chuo hicho. Taarifa ya awali ya Kunguni hii hapa - Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye...
  13. Rais yupi amemuenzi Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenye uongozi unaokidhi matarajio ya Watanzania?

    Nianze kwa ushairi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ulioandikwa katika kitabu chake cha "Uongozi wetu na hatma ya Tanzania" Ole wake Tanzania Tusipoisaidia Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya,nimeonya tahadhali nimetoa ushauri nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini,namlilia Jaalia...
  14. Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

    Kwa muda mrefu, Askari wa JWTZ wamekuwa wakilaumiwa kwa kujichukulia Sheria mikononi mwao. Kwa kuwa wao ni wanajeshi, wanaamini kwamba wanaweza kupiga watu makofi mtaani hovyo bila kuulizwa na mtu. Pengo la uhusiano mnalolitengeneza kati yenu na raia wa kawaida, mtakuja kuliona nyakati zijazo...
  15. K

    Ushauri kwa uongozi wa Morocco Square

    Kupitia kipindi cha ITV ya saa 3.10 jana nilishuhudia promotion ya Morocco Square. Kwanzza hongereni sana kwa Mradi ulivyo mzuri na karibu una kila kitu anachohitaji mwanadamu kwa maisha yake ya kila siku. Pamoja na uzuri wa mradi huo kuna kitu mnatakiwa mnapobuni miradi kama ulivyo wa...
  16. Nauonya Uongozi wa Simba SC na Wachezaji Waandamizi usirudie tena 'Kuiuza' Mechi kwa Jwaneng Galaxy FC kama walivyofanya mara ya mwisho

    Najua hamtapenda GENTAMYCINE kuja na hii Taarifa au mtashangaa nilijuaje ila nyie jueni tu kuwa The King of News / Info ninajua. Wachezaji wetu Waandamizi Saba ( 7 ) Wawili ni Wageni na Mmoja wapo aliachwa akahamia Matajiri wa Alizeti na Wazawa Watano Mmoja ndiyo kaanza rasmi Mazoezi na Wenzake...
  17. Uzinduzi wa waraka wa mapendekezo ya sheria ili wanawake wengi washike nafasi za uongozi

    Asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake Zanzibar kwa pamoja zitazindua waraka wa mapendekezo ya sheria ambao una lengo la kuwawezesha wanawake wengi kupata haki ya kushika nafasi za uongozi katika ngazi za maamuzi. Uzindizi huo utafanyika siku ya Alhamis tarehe 05 Oktoba, 2023 katika...
  18. Uongozi wa Muhimbili, Jeshi la Polisi na RRH za Dar es Salaam wakutana Dar es Salaam

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo Oktoba 4, 2023 umekutana na Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa ya Temeke, Amana, Mwananyamala, Waganga Wakuu wa Manispaa hizo, Kamishna Msaidizi wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi Jinai (Forensic Bureau), Msaidizi wa Kamishna...
  19. Sina Uongozi thabiti, Kocha mahiri na Kikosi cha Kushindana kweli Kimataifa period

    Asante kwa Jini letu Kumchanganya Beki ili aone kuwa anaokoa kumbe anajifunga Mwenyewe vinginevyo leo ilikuwa ni 'Kuchapana Bakora na Kutimuana Day' tu na hakika tungeumizana Mbagala.
  20. Mkurugenzi TAMWA ZNZ ataka Vijana, Wanawake kujiamini kugombea nafasi za uongozi

    MKURUGENZI wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amewashauri wanawake kujiamini na kuondosha woga wakati wa kugombea nafasi za Uongozi ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Dkt. Mzuri ameyasema hayo akifungua mafunzo ya siku mbili ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…