uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wadaiwa kuitwa Mgogoni kwa Rais Samia na kupewa msaada wa Tsh. 5,000

    Nimeshangaa sana kiongozi mkubwa kutumia fedha kufanya ushawishi na kampeni wakati huo huo ulikuwa na nafasi ya kubadilisha maisha ya hao wanaopokea fedha hiyo kwa kuandaa mazingira rafiki ili uchumi wao uweze kukua! Fedha hiyo ingetumika kujenga masoko mazuri na miundombinu bora ili kina mama...
  2. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kuna ombwe kubwa la uongozi

    Nimemuangalia pambalu anavyozungumza ,nimegundua CHADEMA hawapo tayari kushika dola. Ni kama comedian ana cheka cheka hata pasipo hitaji kucheka kifupi hayupo serious ,kama ndio tanuri la viongozi wa baadae wa Chadema na huyo ndio mnamtegemea naiona chadema ikidumaa . Haitopata vijana tena...
  3. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Historia Ngumu: Wagombea Urais 5, Rais mmoja, wamefariki ndani ya miaka 8 Tanzania

    Candidate Running mate Party Anna Elisha Mghwira[42] Hamad Mussa Yussuf Alliance for Change and Transparency (ACT) Edward Lowassa[42] Juma Duni Haji Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Fahmi Nassoro Dovutwa[42] Hamadi Mohammed Ibrahimu United People's Democratic Party (UPDP)...
  4. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa yanga mwanipa mashaka kukubali kupanda basi la Mamelodi

    Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game. KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI. NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga fuatilieni alichoongea Aziz Kii na Kocha wa Mamelodi

    Nakumbuka baada ya game yao pale kwa Mkapa walipokuwa wanaongea, body language ilikuwa inaonyesha Kacha wa Mamelod kama anamsihi na kumsisitizia jambo fulani halafu Aziz Kii akaonesha kukubali kwa msisitizo wa kitikisa kichwa juu chini. Pia lile kumbatio la Kocha wa Mamelod na Scudu nalo...
  6. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa simba msisubirie fursa iwafuate itafuteni- Yanga walikua na mpango wa kupeleka mashabiki south baada tu ya draw ya robo

    Nimeona mashabiki wa simba wanalalamika sana kwamba Yanga inapendelewa kitu ambacho mashabiki wengi wa simba hawakitambui fursa inatafutwa haikufuati Yanga kabla ya mechi ya mzunguko wa kwanza vs mamelodi tayari walishakuwa na mkakati wa baadhi ya mashabiki wachache kwenda south afrika na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba ujiuzulu haraka sana

    Kufuatia uongozi wa Simba kumuondoa baleke na yule mchezaji wa zambaia na kuleta watu wa ajabu ajabu basi wawaombr radhi mashabiki na pili waleze kilitokea nini kusajili watu wa ajabu na kumuacha baleke na Generally wa Zambia. Baada ya hapo wajiuzuru kwa kushindwa kuio goza team kupata ushindi
  8. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania halikuwa ujamaa wala vita vya Kagera bali ombwe la uongozi

    Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu. Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's: 1. VITA VYA KAGERA, 2. UJAMAA, 3. HUJUMA ZA KIBEPARI, 4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA MIAKA YA 70's 5...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Iringa hapatoshi, Mchuano wa Wagombea wa Uongozi wa CHADEMA unatisha

    Myovela ndiye ameanza kuchukua fomu, Japo kuna tetesi kwamba wagombea kadhaa wenye ushawishi washatia nia Hebu ngoja Tusubiri hadi mwisho
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Vigogo waanza kujitokeza kugombea uongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kinondoni

    Aliyepuliza kipyenga huyu hapa , aliwahi kuwa Diwani , anaitwa Joel Mwakalebela , Diwani wa zamani wa Kata ya Wazo
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kutimiza miaka mitatu tangu uape kuwa Rais

    Nawashukuru nyote kwa salamu za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka mitatu toka nilipoapa kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aendelee kutuongoza na kutudumisha katika haki, amani, umoja na utulivu ili yote...
  12. K

    JamiiForums Tanzania CCM imewapa ladha zote za uongozi watanzania, kazi kwetu kuchagua radha tuipendayo.

    Mpaka sasa CCM imewapitia Radha tofauti tofauti za uongozi watanzania kutoka Kwa viongozi wake. Kutoka radha ya viongozi wenye maamuzi magumu, Radha ya viongozi wakali sana, Radha ya viongozi wapole na Radha nyingine tofauti tofauti. Ni jukumu letu watanzania kuchagua Radha tuipendayo maana...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tumshauri Rais ateue vijana wasio na uzoefu lakini wana vipaji vya uongozi kwenye taasisi za Umma, hawa ni watu ' potential' sana

    Nitaanza na swali kabla ya 'content' ya mada hii na swali langu ni: kuongoza taasisi za Umma au taasisi yoyote inahitaji uzoefu mkubwa au uwezo mkubwa wa kiuongozi? swali la pili: Je, mtu ambaye hana uzoefu(graduate) hawezi kuongoza Taasisi Kwa mafanikio? Lengo la mada hii ni kupata mtazamo...
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika sasa kwa uongozi mzima wa Simba ujiuzulu kupisha wengine

    Kelele na malalamiko yamekuwa mengi kwenye klabu ya Simba. Kuanzia kwenye masuala ya usajili wa wachezaji, matokeo uwanjani, malalamiko ya kuonewa ndani na nje ya uwanja, hadi utendaji wa kila siku wa klabu kote huko malalamiko yamekuwa mengi mno. Kwa muda sasa Simba imekuwa inahangaika huku na...
  15. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere afanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu, amsifia kwa kuondoa tatizo la umeme, reli ya kisasa

    Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
  16. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hakuna Team ya Mpira Duniani iliyokuwa na mafanikio wakati Flani/Sasa hivi bila kuwa na Uongozi Mzuri

    Habari Mwanajukwaa la Sports. Nianze kwa kusema; Moja ya kitu ambacho watanzania tunacho sana na ndio utambulisho wetu ni MAIGIZO yani tunapenda kuFake kila kitu hatutaki kua na uhalisia na hatuupendi Uhalisia. Ndio maana hata Team zetu unakuta Msemaji ana STATUS Kuliko hata Kocha huku Mtaani...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Raia wa Iran waomba Israel ilianzishe dhidi ya uongozi wa Ayatollah, wao watamaliza

    Ikumbukwe juzi kwenye uchaguzi wa Iran, waliojitokeza kupiga kura ni wachache sana, yaani makundi ya watu wachache sana, watu wamechoka uongozi wa kikatili wa kidini, wanataka demokrasia ya kweli, hata timu yao ya taifa ilipofungwa walishabikia sana. Wameomba Israel ianzishe vita dhidi ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo: Bila Rais Samia kuwa na falsafa ya 4R katika uongozi wake, kuna watu wasingekuwa na jeuri ya kuandamana

    "TUENDELEE kumuunga mkono Mwenyekiti wetu wa CCM na Rais Dkt. Samia katika kuongoza nchi yetu, amekuwa mfano kwa kuwezesha wanawake kisiasa, kiuchumi na alipewa nchi katika kipindi kigumu lakini alionesha ujasiri na uwezo wa uongozi mkubwa na kupita kwenye mapito tukiwa wamoja na kupelekea kuwa...
  19. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba sio mbovu kama wengi wanavyotaka kuaminisha watu

    Mimi ni mshabiki wa Yanga ila napingana na kauli za watu wanaosema uongozi wa Simba ni mbovu hapana sio mbovi ila wanazidiwa na Yanga kwenye usajili. Mwaka jana Simba imesajili sana ila ukweli ni kwamba wachezaji wengi waliosajili ni wakawaida na ni wachezaji wa magazeti. Kipindi kile Yanga...
  20. vvvv

    JamiiForums Tanzania Aliyemleta Fredy Michael akamatwe mara moja

    Huu ni utapeli wa wazi,wachezaji wa aina ile hata wa ndani wapo na hawezi kusajiliwa na timu zingine ndogo. Wanaosajili Simba wanafaa wawe nyuma ya nondo sahizi kwa utapeli wa wazi.
Back
Top Bottom