uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia apewe muda, hatumii uongo wala propaganda. Anakuwa Rais wa Kwanza kuleta maendeleo ya kweli

    Awamu ya tano kona kona zilikua nyingi na huu sio wakati wa kumlaumu yoyote, kila mtu anajua propaganda na uongo na maamuzi ya mtu mmoja yalitawala. Wanufaika wakatumia kila njia kuziba mifumo wananchi na kuwatisha kwa kila namna. Kama tukifatilia mienendo ya awamu ya tano ni Rais Samia na...
  2. Uongo wa kiserikali umefika mwisho, tujisahihishe kwa Mbowe tujenge nchi

    Mwezi April 2021, Baada ya dakika chache tu ya kufariki Rais Magufuli aliyekuwa mfuasi kindakindaki wa hayati John Magufuli bwana Job Ndugai aliyeapa kumuongeza muda wa kutawala kidikteta Tanzania atake asitake, alimgeuka mchana kweupe na kulitangazia taifa kuwa serikali ya Rais John Magufuli...
  3. C

    Uongo na Ukweli Kuhusu TANESCO Kuzuiwa Kufanya Maintenance

    Kama ambavyo wadau mbalimbali wamekuwa wakisema mara kadhaa, Mkakati wa Taifa kuhusu uzalishaji wa umeme ulikuwa:- Yaani, malengo hadi kufikia June 2020, tulitakiwa tuwe tumezalisha 4,915 MW. Hiyo ni Performance Audit Report iliyotolewa na CAG March 2019. Hata hivyo, ripoti ya wizara inasema...
  4. B

    Kesi ya Mbowe: Tujipange zaidi kwenye kuuweka Uongo Peupe

    Yaliyojiri mahakamani leo yanaacha maswali mengi yasiyoweza kuwa na majibu Ni vipi athari za shauri kuangaliwa kwa upande wa mashtaka tu? Ni vipi Jaji kuwa mshauri wa upande wa mashtaka? Vipi maamuzi yanaegamia upande wa mashtaka tu? Haupo uwezekano kuwa shitaka hili limeshaamriwa tayari...
  5. C

    Huu ni utoto na ushamba. Hizi propaganda za uongo zinamsaidia nini Rais Samia?

    Inasikitisha sana kuna machawa pro max wa kiwango cha dunia, alivyokuwa new york wali edit screens za matangazo za Times Square, cha ajabu nini hadi mu edit? Si hela ilipwe tu tangazo liruke kwenye zile screens Ali Kiba, Diamond, Zuchu matangazo ya albamu zao yasharuka sana Sasa kubwa zaidi...
  6. C

    FCC wanaweza kupokea malalamiko yangu kuhusu tangazo la uongo la Tigo?

    Nisaidieni ndugu zangu nikashtaki wapi hawa jamaa wa Tigo, FCC au mahakamani? Wana tangazo lao la kina Mkude Simba kwamba wameongeza mzigo kiasi kwamba mtu anakaribishwa pilau ila anasema subiri kwanza namaliza kuangalia movie maana Tigo wameongeza mzigo wa dakika na mb's Kwa nini tunafanyana...
  7. Rais Samia mtu mkweli asiyeyumbishwa

    Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa. Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na...
  8. January Makamba acha uongo na unafiki, maneno yako kuhusu umeme huyatekelezi

    Sijajua rais Samia alimpendea nini. Nakumbuka siku ameingia ofisini alisema umeme ukikatika meneja wa eneo hilo hana kazi. Jambo la kushangaza toka ameingia ofisini umeme umezidi kukatika kuliko alivyokuwa Kalemani. Mbagala kila umeme unakatika bila hata taarifa sijasikia meneja kafukuzwa kama...
  9. Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

    Wanabodi, Wale wenye access na Plus TV, watch now kipindi cha Uso kwa Uso, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman asema uongo wa wazi wa mchana kweupe kuhusu muungano wetu. Mhe. Masoud anadanganya u kuwa Tanganyika na Zanzibar tulipoungana, ile 1964, ni nchi moja tuu ya...
  10. Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  11. Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  12. Rais atoe taarifa za kweli juu ya tozo na fedha za IMF

    Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba na kwenda kufanyia mambo mengine kabisa. Mara tunajenga kwa pesa zetu Sasa na Samia ameanza...
  13. Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

    Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!! 1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion...
  14. Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
  15. Ni uongo tu toka Day 1

    Tutazidi kujaribu kufungua macho ya kila anayependa uzima. Ni kazi ngumu lakini sasa ufanyeje? Hata nikifanikiwa mmoja, si mbaya. Hebu jiulize, kwani wanaficha nini? Hilo swali tu linatosha kukupa wasiwasi wote unaohitajika. Dawa zote zenye maboksi lazima ukute karatasi ndani ambayo imeandikwa...
  16. Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  17. K

    Chanjo: Utamaduni wa uongo wa serikali umetufikisha hapa

    Mpaka sasa vifo vya Corona hazisemwi waziwazi na mnategemea watu wataona vipi umuhimu wa chanjo kama vifo vingi vya corona, watoa taarifa wanaogopa kutangaza wazi na kuishia kusema kwa sirisiri. Haya ndiyo mambo yanayorudisha nyuma mapambano ya huu ugojwa. Huu ni ushauri tangazeni vifo vyote...
  18. T

    Ni uongo gani unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania?

    Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania. Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
  19. M

    Msidanganywe eti sasa hivi hali ya maisha ughaibuni ni rahisi

    Mzuka wanajamvi! Nitasema tu ukweli. Hali ya maisha sasa hivi ughaibuni / ulaya ama mamtoni ni ngumu sana. Maisha yamekuwa Magumu sana hasa kwaanzia mwezi wa tatu mwaka jana baadaya hii Corona. Maelfu na Maelfu wamepoteza kazi zao na kujiandikisha kwenye employment benefits. Kazi za kubeba...
  20. Askofu Gwajima na Jerry Silaa waitwa kwenye Kamati ya Bunge kujieleza kwa kusema uongo na kushusha hadhi ya Bunge

    Spika wa Bunge amewaita Mbunge Josephat Gwajima na Jerry Slaa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya bunge Wanatakiwa kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya bunge Gwajima ametakiwa afike Dodoma Agosti 23 saa saba mchana, Slaa ametakiwa afike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…