uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Habari za uongo kuhusu mafanikio ya Royal Tour

    Kama wanavyosema watu kwamba ujinga ni mtaji mkubwa sana wa Wanasiasa hasa wa Africa na zaidi Tanzania. Ukizingatia kwamba ujinga bado ni tatizo kubwa sana kwa Tanzania, wanasiasa wanachofanya ni ku'capitalize' kwenye ujinga wa Watanzania. Mtu akishakujua wewe ni mjinga maana yake hata akiamua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uongo kuwa ukweli: Corona yenye ukubwa wa 0.1micrometer, tumeaminishwa kitazuiwa kupita kwenye barakoa yenye kitundu cha 5-100 micrometer

    Watu husema kuwa uongo ukisemwa mara nyingi watu huanza kuamini huo uongo kama ukweli!! Hivyo ndivyo ilivyotokea wakati mawakala wa corona wakitaka kupiga pesa kupitia biashara ya barakoa walipouaminisha ulimwengu kuwa, kuvaa barakoa kutamlinda mvaaji na maambukizi ya corona! Cha ajabu hata...
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hivi unamjua huyo Eruc Oslon? Ambaye wa Rusi wa Tandale wanasema ni Mjeshi wa NATO alokamatwa Ukraine? Ni uongo Huyo jamaa ni ;

    Mwanajamvi . Hivi unamjua huyo Eric Oslon Ambaye wa Rusi wa Tandale wanasema ni Mjeshi wa NATO alokamatwa Ukraine? Ni uongo Huyo jamaa ni ; - four star General, halafu was the tallest in the Navy SEAL (wakati huyo hapo mbele ya hao Russians andunjes anaoneka mufti - Olson anajulikana zaidi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania V.A.R YA CHAWA: NI uongo na aibu kumsifia Rais Samia kuhusu jina hili huko Ujerumani

    Mr Njaakali hatari naaanza leo kukuleta segment matata iitwayo VAR YA CHAWA kutokana na ongezeko la kutisha la machawa na usambazaji wa kutisha wa fake news Leo naanza na member aitwaye Crocodiletooth chawa moja hatari lenye blue tick liko verified yaani limepost uzi huu. Kwa bidii ya Rais...
  5. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Sifa za Uongo kwa Kibwana Shomari

    Kumekuwa na maneno menginkuwa jana Kibwana Shomari aliweza kuwadhibiti wachezaji wanne waandamizi wa Simba. Ajabu ni kuwa madai hayo hakuna aliyeweza kuyapa nguvu kwa kuambatanisha walau video yake walau akifanya tackling hata 2 tu za maana. Tumeona clip za Hinonga akiwadhibiti wachezaji kadhaa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Ripoti ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala

    Askofu wa Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara, mhashamu Severine Niwemugizi amesema ripiti ya hivi karibuni ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala. Katika salaam zake za Pasaka, Askofu Niwemugizi amesema waumini wajifunze kuwa wakweli na kuepuka uongo kama Yesu alivyokubali kufa msalabani kwa...
  7. Candela

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Covid ni uongo mtupu kwa viongozi wetu

    Siku kadhaa nyuma tuliona viongozi wakichomwa chanjo hadharani. Hivi karibuni nilimpeleka mtu kuchomwa chanjo baada ya kampuni anakofanya kazi kuamuru hivyo. Zoezi lilikuwa likifanyika hadharani na kila mtu akichomwa kwa zamu. Jamaa yangu alilipa pesa na zamu yake ilipofika nesi hakumchoma...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali ingeondoa kodi zote kwa magari ya umeme

    Bei yamafuta inazidi kupanda. Maana yake nchi tutatumia pesa nyingi sana kununua mafuta. Pesa ambazo zingeweza kufanya mambo mengine ya kukuza uchumi. Nashauri serikali ifanye mambo yafuatayo ili tupunguze kwa kiasi kikubwa matumizi ya mafuta. 1.Tungeondoa kodi zote kwa wale wanaonunua magari...
  9. May Day

    JamiiForums Tanzania Pale Wajinga Wanaposhindwa Kutofautisha 'Ujinga' na 'Uongo'

    Kila tarehe moja mwezi wa nne kama leo huwa inatajwa kama ni siku ya Wajinga Duniani, ingawa si siku inayotajwa rasmi na Mamlaka za Nchi lakini Wananchi wake wamekuwa wanaziadhimisha kivyaovyao. Nimekuwa nikishuhudia na kugundua ya kuwa karibia asilimia 99 ya Watanzania huwa Wanawadanganya...
  10. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa acha uongo, Hayati Dkt. Magufuli hakuwa mwanademokrasia

    Wanajanvi, Kwa waliomsikiliza mzee padre wilbroad sla leo watakubaliana nami kwamba mzee ni muongo kwelikweli. Anasema na kutoa maoni yake mengi ya kumsifia Magufuli. Alisema alikuwa mwana demokrasi! Demokrasia ipi? Alisema alishatoa taarifa juu ya usafirishaji wa madawa ya kulevya akakuta...
  11. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Taarifa za uongo ni silaha kubwa ya Mzungu tangu enzi

    WENGI wetu hata humu jukwaani wanameza kirahisi sana taarifa za habari za uongo na elimu za uongo, espesheli, historia. Ili mradi zimeletwa na mzungu... afu Cha kusikitisha, ndo wanakuwa wabishi wakubwa. Historia za uongo wa mzungu tunazijua sana sana, ila sielewi kwa nini kila kukicha akatoa...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

    Asilimia kubwa ya Mabraza wenye miaka 40+ huwa Wana assume wanajua wanawake vizuri kuliko mtu yoyote. Wakikaaga na vijana wa miaka 20+ na 30+ huwa wanawashauri na kuwafundisha kuvumilia/kustahimili na kupuuzia mambo ya hovyo na yasiyo faa yanayo fanywa na wanawake katika mahusiano au katika...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kwa waislamu wenzangu, naombeni mnisaidie hukumu ya kusema uongo

    Naam uzi huu naulenga kwa waislamu wenzangu. Je kwa anaefahamu, ipi ni hukumu ya kusema uongo, mtu afanye nini kujitakasa na dhambi iyo baada ya kua ameshaitenda na hawezi badilisha matokeo ya uongo huo?
  14. F

    JamiiForums Tanzania NHC acheni "uongo" na taarifa za kizushi

    Tatizo la Nchi hii Waandishi wetu hawako inquisitive na analytical ni watu wa mihemuko na kukimbilia matukio tu! Hili suala la huyu mtu anayedaiwa kutaka kuuza nyumba ya NHC inaripotiwa kizushi sana utadhani watu wote ni wajinga! Ni hivi, huo ni utaratibu uliozoeleka sana hapa Nchini na...
  15. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Papa Benedict XVI akiri kusema uongo katika kumtetea Padri aliekua analawiti wavulana

    Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana. Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi. Soma mwenyewe hapa
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Udanganyifu, Ujanja Ujanja, Uongo Uongo, Umejaa Sana kwenye Jamii Yetu?

    Fanya utafiti wako mdogo kwenye jamii jamii yetu utagundua kuna changamoto kubwa sana ya uaminifu karibu kwenye nyanja zote, kazini, kwenye biashara, mahusiano, siasa na hata kwenye masuala ya kiimani. Kiwango cha watu kuonesha udanganyifu, wizi, uongo, ujanja ujanja, ni kikubwa mno. Waajiri...
  17. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Serikali juu ya Miradi ya kitaifa Nani ashugulikiwe

    Machi 26 mtendaji mkuu tanload alisema Daraja la Wami litakamilika Sept 2021. Kwa mujibu wa Mwananchi, Leo Serikali inakuja na Lugha nyingine. Kwanini tunafanywa watoto Miaka miwili nyuma tuliambiwa kipande Cha reli dar to Moro kuzinduliwa Novemba 2019. Leo 2022. Miaka 3 baadae hakuna kitu Kama...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

    Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji. Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Simkubali Ndugai lkn siwezi kumsingizia uongo!!

    Simpendi Ndugai kwa ujinga wake mwingine lkn kwa swala la leo wala hakusema vibaya,,,alijaribu kuwaambia watu kwamba mpango wa tozo ni bora zaidi kwetu kwa sababu tunakuwa tumeweza kujitegemea kama wtz kuliko kukopa,,,hivyo kwa hili wala hakuwa na lengo baya kabisaaaaaaa!!! Wtz tujifunze...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwa askari polisi ni tiketi ya kudhulumu raia wema?

    Habari RAIA wema wa Tanzania, nimekaa nalo sana moyoni, lakini kila kukicha mambo yanazidi kuwa mabaya kutokana na matendo mabaya ya askari polisi. Siku Mona nilikuwa nimesimama dukani nanunua vocha ghafla defender ya polisi ikaja ikawa inabeba watu hovyo. Kufika kwangu nikagoma nikauliza...
Back
Top Bottom