Mpaka sasa watu 133 wamekufa Iran kwenye maandamano ya kupiga uonevu wa kidini

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,750
48,391
Maandamano bado yanaendelea, wananchi wamechoka kulazimishwa kufuata sheria za kidini zinazowadhulumu, mwanamke kuuawa kisa kijisehemu cha nywele kimeonekana..... Wanaendelea kuuawa ila wameamua hiyo damu haitamwagika bure.

On September 30, people gathered after Friday prayer in Zahedan to protest against the rape of a Baluch 15-year-old girl by Chabahar’s police chief which was bloodily suppressed by security forces. The Baluch Activists Campaign has published the names of 41 people killed that day.

Iran Human Rights has confirmed 92 other people who have so far been killed by the Islamic Republic authorities across Iran, bringing the total to 133 people. At the time of writing, official sources who quoted the Sistan Baluchistan governor, have only confirmed 19 deaths and 20 injuries in Zahedan.

State-affiliated websites have also published the forced confessions of a Zahedan detainee which appears to have been obtained under duress. The forced confessions of other protesters have also been aired in recent days.

Internet access has also either been severely disrupted or completely cut over the last ten days. Instagram, WhatsApp, Signal, Viber, Skype, LinkedIn, Google Play, App Store, four online games and many other foreign platforms are all down and their websites have been filtered.

Mahsa (Jina) Amini was a 22-year-old girl from Saqqez (Kurdistan) who had travelled to Tehran with her family to visit relatives in Tehran when she was arrested by Guidance Patrol officers on September 14. Shortly after, she fainted at the Vozara police station and went into a coma.

According to witness testimonies, Mahsa was beaten by the arresting officers in the police van and later at the police station. She was officially declared to have died at Kasra Hospital on September 16.

iranhr.net
 
Acha ujinga na porojo kwanza ungetaka kujua, Elewa kwamba Mahakama ya Iran haijamtia hatiani yule mwanamke kuuliwa kwa sababu ya kutovaa hijabu., Yule mwanamke alifariki mikononi mwa polisi? Polisi walimfanya nini? ni kama vile kumkamata mwizi kabla ya kumfikisha vyombo sheria unamuua hichi ndicho kilichosababisha maandamano.

Lakini hakuna uhusiano kabisa na dini ya kiislamu na kifo cha yule mwanamke, kwa sababu hakufika kuhukumiwa, usije hapa kuutukana uislamu.

Kwanini alikufa mikononi mwa polisi ni hoja hapa, je walimtesa, walimpiga sana, walimpa sumu walimfanya nini ndio hoja tu
 
Asante kwa maelezo yaliyonyooka Mkuu
 
Na kilichokuwa kinapaswa kufanywa ni upelelezi.Lakini kinachoendelea hakijulikani ni nini,maana hao waandamanaji hatujui wanaandamana kushinikiza nini!.
 
Mkuu kinachoongelewa hapa logically ni kwamba

1.kusingekuwa na sheria Kali za kidini na kimaadili,kusingekua na askari wanaozurura mitaani kwa ajili ya reinforcement

2.kusingekua na hao askari,yule mwanamke asingekamatwa kwa inshu hiyo.

3.na kama asingekamatwa maana yake hill tukio La yeye kufia mikononi mwa polisi lisingetokea na maandamano yasingekuwepo

Kwahiyo hapo tunaona chanzo kabisa ni hizo sheria na ndizo ambazo wadau humu wanazipigia kelele na sio hivyo unavyodhani mkuu
 
Kwa nini huyo mwanamke alikamatwa?
Sio kwa sababu ya sheria za dini ??
Acha ujinga na porojo kwanza ungetaka kujua, Elewa kwamba Mahakama ya Iran haijamtia hatiani yule mwanamke kuuliwa kwa sababu ya kutovaa hijabu., Yule mwanamke alifariki mikononi mwa polisi? Polisi walimfanya nini? ni kama vile kumkamata mwizi kabla ya kumfikisha vyombo sheria unamuua hichi ndicho kilichosababisha maandamano.

Lakini hakuna uhusiano kabisa na dini ya kiislamu na kifo cha yule mwanamke, kwa sababu hakufika kuhukumiwa, usije hapa kuutukana uislamu.

Kwanini alikufa mikononi mwa polisi ni hoja hapa, je walimtesa, walimpiga sana, walimpa sumu walimfanya nini ndio hoja tu
 
Na kilichokuwa kinapaswa kufanywa ni upelelezi.Lakini kinachoendelea hakijulikani ni nini,maana hao waandamanaji hatujui wanaandamana kushinikiza nini!.
Waandamanaji wana mashaka makubwa na Serikali kuu, Serikali iliyo madarakani wanadhani utawala wao si wa kuheshimu sharia, wanadhan hata huyo mwanamke aliyekamatwa kwa kosa la kutovaa hijabu bado ana haki ya kuwa kwenye mikono salama, hoja inakuja kwanini anafia kituoni.
 
Back
Top Bottom