Wakuu inakuaje, nina amini kila mtu yuko vizuri kiafya au sio wakuu.
Sasa leo nawaletea mada muhimu, na yenye kueleweka vizuri kwa kila mtu atakaesoma thread hii. Mada hii inamhusu rapper maarufu wa muda wote 2pac Amaru Shakur, ambae pamoja na kwamba ameshafariki miaka 26 iliyopita, Lakini...