Habari hii ina ukakasi wa kutosha:
Ni vipi makamu wa rais kushindwa kutoa sababu bayana kwanini bei za mafuta Zanzibar, ni chini kuliko bara kwahakika inashangaza.
Zifahamu nchi 5 zenye unafuu zaidi wa tozo na kodi duniani
Chanzo: Getty images
Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidi kutunisha bajeti ya nchi inayoshughulikia huduma mbalimbali na shughuli mbalimbali za maendeleo...
2 Septemba 2022
By Yusuph Mazimu, BBC Swahili
Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidi kutunisha bajeti ya nchi inayoshughulikia huduma mbalimbali na shughuli mbalimbali za maendeleo ikiwemo miradi.
Hoja inakuja ni tozo...
Habari wana jamvi, ni Chuo gani hapa kwetu chenye unafuu wa Ada kwa level ya Masters, hasahasa Masters of Business Administration.
Na kwa wenye uzoefu kozi hii inaugumu wowote katika usomaji kama kwenye Degree ulisoma kozi ingime tofauti na hii.
Nawasilisha kwa mrejesho zaidi.
Tarehe 18 mwezi huu kuna mabadiliko mapya ya vifurushi yatafanyika. Hiyo ni kwa mujibu wa jumbe za kampuni husiko walizotuma.
Kikubwa tulichokuwa tunaumia watumia mabando ya kwenye simu ni kwa upande wa Internet Bundles ambazo zimekuwa zikishushwa kiwango kila kunapofanyika mabadiliko.
Je, na...
Huu ndo ukweli wanawake walio wengi wanaingia katika mahusiano au ndoa kutafuta angalau unafuu wa maisha.
Katika mahusiano na ndoa wanawake wengi hutumia kama opportunity chance ya kupunguza shida zao ndogo ndogo kupitia mwanaume kwa sababu wanachoamini mwanaume kazi yake ni kumuhudumia...
Salamu wadau!ambao mmewahi au mnatumia aina hii ya jiko naombeni uzoefu wenu, maana gesi ulimepanda sana bei, ninekuta muuzaji mmoja ameniambia linautumia umeme kidogo sana, 1unit per hour. Sasa nikasema za kuambiwa changanya na za kwako.
Nawasilisha
Maswala ya Ngorongoro sijui waondolewe au wasiondolewe hayo hayanihusu.
Mimi na tazama upande wa pili hawa dada zetu wakimasai magogo kitandani sasa uko kuchanganyika na watanga itakua nafuu, haiwezekani unakula mtu hata hajigusi, macho anatoa kama anakula mgagani au anakunywa muarobaini...
Watu wengi hupenda, au kulazimisha kupiga picha na watu maarufu katika nyanja mbali mbali.
Leo tunataka tujiulize; zile picha huwa zinamanufaa gani katika maisha yako; hasa katika utafutaji wa kipato chako cha kila siku.
Tunamshukuru sana Rais Kwa Miaka 7 ongezeko la mshahara linekuwa leo tena Kwa asilimia 23 kuzidi nchi nyingi zilizo tu zunguka Asante Rais wetu.Ila Ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha Kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi kwa ukweli kwamba wanafanyakazi hao wa...
KUCHELEWA KUOA HAKUKUFANYI UFANIKIWE AU UWE NA UNAFUU WA MAISHA!
Anaandika Robert Heriel.
Kwa kijana isipungue miaka 25 wala isizidi 33. OA mapema. Usikawie. Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama Familia yako. Wewe, Mkeo na watoto.
Chelewa kupata yote usichelewe kuoa au kuolewa. Lazima...
Kuanzia wanamuziiki, wacheza filamu, wacheza mpira, dancers, n.k nimeona wahusika wengi walikuwa na changamoto za uchumi
lakini kwenye ma producer hali ni tofauti japo sio wote ila kuna nafuu
Sheria ya NBC Premier League ni kuwa kutatumika wachezaji 8 wa kigeni katika mchezo moja. Ndani ya Simba tunatarajia wachezaji wa kigeni watakaopata nafasi ya kucheza 11st ni
Inonga,
Onyango,
Kanute,
Bwalya,
Chama
Sakho na
Kagere
Huku wazawa wakiwa ni Manula,
Kapombe,
Tshabalala,
Mkude
Ni wazi...
Habarini za asubuhi wadau,
Leo nikiwa njiani kuelekea kibaruani nikasikia kwenye radio kwamba sasa Serikali imeamua kuagiza mafuta yenyewe moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji.
Nikajiuliza inamaana miaka yoote hii tunapigwa na watu-kati Serikali haikuona?
Je, hapa sio kwamba kuna wajanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.