unafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni unafiki kuhudhuria Misibani

    Binadamu kwa kiwango kikubwa hatueleweki nini tunatoka! Katika suala la kuhudhuria kwenye misiba wengi huwa tuna Ile ngoja nikaonekane na mimi nimefika. Maana yake hatuendi kwa Sababu ya kuguswa ila ni kuonesha tumeguswa. Kama mtu hautaki kwenda piga chini uwe huru.
  2. JamiiForums Tanzania Unafiki unaoletwa kwenye Mambo ya Mila na Desturi

    UNAFIKI UNAOLETWA KWENYE MAMBO YA MILA NA DESTURI. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Kwa kweli wengine unafiki ulitupita pembeni. Leo nitauelezea unafiki uliopo katika jamii yetu unaosemwa Kwa Wakubwa na wadogo. Sitamung'unya maneno. Hivyo kama unajiona una Roho nyepesi ingefaa upuuzie andiko...
  3. JamiiForums Tanzania Unafiki wa nchi za Magharibi na nchi nyingine dhidi ya watu wa Belgorod

    Dunia ipo kimya kwa watu wa Belgorod wanaopigania Uhuru wao dhidi ya serikali inayodhulumu haki zao. Ila haikukaa kimya wakati watu Cremia, Donesk etc walipotaka uhuru wao toka kwa Ukrein, walipewa kila misaada na ammunition ili wapate uhuru wao dhidi ya dhuluma waliyokuwa wanafanyiwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

    Yaani wabongo ni watu wa ajabu sana, yaani wao wamekalia majungu, chuki, unafiki na ukora tu. Yaani wao wakiona mwenzao amewazidi kwa chochote kile wanaanza kukupiga majungu, nasema hii tabia inakera. Ndio maana mie huwa napenda kujitenga na wabongo, aisee yaani ni watu ambao wamekalia majungu...
  5. JamiiForums Tanzania Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

    Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi. Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William...
  6. JamiiForums Tanzania Zitto Watanzania hatujasau mlivyomtosa Membe kwenye Urais 2020

    Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo Kauli yake inakuja baada ya Mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad kumuidhinisha Tundu Lissu (Chadema) kuwa mgombea wao wa urais wa Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, tatizo sugu la Watanzania ni Uoga, siyo Unafiki. Hayati Membe hakuwa muoga

    Hello JF crew! 👇👇👇 Kipekee naomba niweke bayana tatizo mojawapo kuu na sugu la watanzania ni UOGA sio Unafiki-, ifahamike ya kwamba kichuguu cha UOGA ndicho hubeba unafiki, uongo, kutojiamini na matakataka yote. Ndugu Hayati Membe alikuwa jasiri, mzalendo, na mfia nchi na mpigania taifa, kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo na Askofu Malasusa ni kielelezo cha unafiki wa viongozi wa dini

    Hivi wakati huyu Msiba anatukana, kukashfu na kutishia watu, wao walikuwa wapi? Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliwahi kuandika Waraka kukemea maovu wakati wa Magufuli lakini Pengo aliukana waraka ule. Leo yeye wa kumwombea Msiba msamaha kweli? Viongozi wa dini walikaa kimya hawakuonya chochote...
  9. JamiiForums Tanzania Wenje: Magufuli angekuwa hai, asingekubali"ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG

    Mbunge wa zamani wa Nyamagana kupitia CHADEMA EZEKIEL WENJE amenukuliwa akisema kuwa kama Rais wa Awamu ya Tano, Marehemu Dkt John Pombe Magufuli angekuwa hai basi asingekubali hali aliyoiita "ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG. Nimeshangazwa sana na kauli hii ya Wenje na nimejiuliza...
  10. JamiiForums Tanzania Unafiki wa CHADEMA: Wanampigania mtuhumiwa wa mauaji, wanapuuza haki ya aliyeuawa

    September 2020, Emmanuel Polycup Mlelwa ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Iringa, alitekwa, aliteswa, aliuwawa, na mwili wake ulienda kutupwa katika eneo la bwawa la Kibena huko Njombe. Katika uchunguzi, GEORGE SANGA ambaye hivi sasa members wa CHADEMA wanasema aachiwe, alikiri kuhusika...
  11. JamiiForums Tanzania TFF ilileta siasa za Simba na Yanga kuchagua kikosi. Kapombe na Zimbwe wasikubali unafiki

    Tuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa. Wakaitwa watu wanachezea benchi. Nazani TFF wasilete usanii. Waachwe tu waende na Kibwana Shomari na nabi kwenye benchi tusubiri...
  12. JamiiForums Tanzania Tunaopenda soka kwelikweli Bila Unafiki tunaziombea Simba na Yanga ushindi katika Michezo hii ya Weekend.

    Naam Habarini za Jumamosi Wanajukwaa. Leo ni siku Murua kabisa kwetu sisi wapenda soka tena lile soka zuri lisilo na Makolokolo,Soka lisilo na Mara Refa kafanya hiki Mara shirikisho limependelea fulani si hatupendi hayo. Sisi wote kwa pamoja kama Chama cha wapenda soka la kweli tunaziombea...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

    Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao. 'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Haya anayofanya Freeman Mbowe ni unafiki mkubwa kuwahi kutokea. Angefanya Zitto Kabwe wa ACT moto ungewaka

    Kwakweli nimechoka na siasa za bongo. Miezi michache iliyopita Zitto Kabwe alikuwa anashambuliwa Kila Kona kwa sababu ya ruzuku. Wakamwita msaliti na matusi chungu nzima. Leo Chadema chini ya Freeman Mbowe wamechukua ruzuku na wamekausha kimyaaa. Unafiki! Miezi michache iliyopita...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki kipato cha tsh 7,000 kwa siku ni umasikini wa kutupa

    Watanzania tutafute suluhisho na sio kuwa wanafiki. Kipato cha tsh 7,000 kwa siku hakitoshi na ni umasikini. Tunaweza kutofautiana kwenye siasa lakini sio ukweli hili. Badala ya kujidanganya tutafute mbinu bora. Vilevile boda boda hazija tengenezwa kwasababu ya usafiri wa abiria na inatakiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Zitto amsifia Hayati Magufuli kuleta nidhamu ya kazi kwa kipindi chake

    Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari. Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana. Zitto anaumia sana kuona watu hata hao wanahabari bado wanamuona Magufuli kama shujaa anakosa amani...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA mmelewa kahawa na kashata za Ikulu mpaka wimbo wenu wa Katiba Mpya mmeacha kuuimba

    Kuna mwanafalsa mmoja wa kiingereza aliwahi kusema "To be or not to be that is question" hivi ndivyo ambavyo wanachadema tunaposhindwa au ndivyo tunavyoweweseka kuimba Ile nyimbo yetu Pendwa ya katiba mpya kwa sababu tunaona aibu kuendelea kuimba kuhusu katiba mpya baada ya kulewa kashata na...
  18. JamiiForums Tanzania Marafiki na ndugu yangu wananirudisha nyuma

    Habari, Katika maisha huwezi kukwepa kuwa na rafiki, lakini mimi hilo nimelikataa maishani mwangu kabisa; ila nina watu ambao tuna fahamiana sana. Lakini watu hawa wamekuwa kichomi kwangu, pindi napokuwa mimi nashida hakuna anaenisaidia na kuhisi mimi sina shida natania. Sasa siku mmoja...
  19. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe katika ubora wake wa unafiki

    Hapa siongezi Hata nukta jioneeni wenyewe Zitto Kabwe: Kauli ya kwanza "Hii serikali inakopa sana, hawa watu wakipata tena nafasi mpaka 2025 nchi itauzwa." *** Kauli ya pili "Unataka maoni ya mwanasiasa au mchumi? Maoni ya mchumi ni kwamba wala hatukopi, kwasababu ukiangalia viashiria vya...
  20. JamiiForums Tanzania Dr. Salim Ahmed Salim(SAS), Mzanzibar aliyeonja machungu ya kiubaguzi ya Watanganyika

    Wazanzibar wengi wanaugulia machungu ya ubaguzi toka kwa watanganyika Dr. Salim ni mfano mzuri ya wahanga wa ubaguzi toka kwa watanganyika Dunia inamfahamu Dr. Salim kama mwana diplomasia nguli ktk ukanda huu kwani ameshiza nafanyi nyeti kuanzia OAU na baadae UN na kama si figisu za wamarekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…