Leo nimethibitisha unafiki wa Watanzania Pasina Shaka

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,992
Reaction score
4,434
Miezi kadhaa iliyopita niliweza kuhamia sehemu X kwa ajili ya utafutaji nilifanikiwa kupata site nikaanza shughuli zangu.

Wenyeji wangu wachache walijua Mimi ni msomi niliyehitimu chuo japo sikutaka kujionesha sana kuwa nimesoma.

Walipokuwa wakiniuliza kuhusu ajira nawambia nangoja serikali ikitangaza nitaomba.

Siku ziliendelea na wote waliamini Mimi ni msomi.

Sasa siku ya Jana nimekaa eneo langu la kazi akaja jamaa mmoja kumsalimia rafiki yake ambaye ni jiran yangu katka eneo la kazi tukaanza kupiga story jamaa akaanza kuniuliza kiwango changu Cha elimu Mimi nikamwambia kuwa nilifeli kidato Cha nne kwa kupata daraja la nne la alama 28 jamaa alishangaa sana akaanza kunishauri jinsi ya kuendelea na masomo kwa kutumia hyo elimu na Mimi nikawa namsikiliza tu
Sasa jamaa kumbe alivyotoka kwangu akaenda kuwaelezea majirani zangu kuhusu nilivyofeli kidato Cha nne
Sasa Leo asubuhi nafika kazini nashangaa majiran wananicheka si ndo wakaanza kufunguka wakisema "tulijua wewe ni msomi kumbe ni Form Four failure"

Na wote wanahangua vicheko na maneno ya kejeli wakinirushia Mimi nikanyamaza kimya wakaongea Hadi walipotosheka wakanyamaza.

Sasa hali hii ikanipa kutafakari kuwa kumbe watanzania wanafurahi wakikuona unateseka na wote mkiwa kwenye same level of thinking na hii imenifunza kuficha uhalisia wangu kwa watu wasionijua .
 
Miezi kadhaa iliyopita niliweza kuhamia sehemu X kwa ajili ya utafutaji nilifanikiwa kupata site nikaanza shughuli zangu
Wenyeji wangu wachache walijua Mimi ni msomi niliyehitimu chuo japo sikutaka kujionesha sana kuwa nimesoma
Walipokuwa wakiniuliza kuhusu ajira nawambia nangoja serikali ikitangaza nitaomba

Je, nikiweli ulipiga four ya 28 ?
 
Miezi kadhaa iliyopita niliweza kuhamia sehemu X kwa ajili ya utafutaji nilifanikiwa kupata site nikaanza shughuli zangu.

Wenyeji wangu wachache walijua Mimi ni msomi niliyehitimu chuo japo sikutaka kujionesha sana kuwa nimesoma.

Walipokuwa wakiniuliza kuhusu ajira nawambia nangoja serikali ikitangaza nitaomba.

Siku ziliendelea na wote waliamini Mimi ni msomi.

Sasa siku ya Jana nimekaa eneo langu la kazi akaja jamaa mmoja kumsalimia rafiki yake ambaye ni jiran yangu katka eneo la kazi tukaanza kupiga story jamaa akaanza kuniuliza kiwango changu Cha elimu Mimi nikamwambia kuwa nilifeli kidato Cha nne kwa kupata daraja la nne la alama 28 jamaa alishangaa sana akaanza kunishauri jinsi ya kuendelea na masomo kwa kutumia hyo elimu na Mimi nikawa namsikiliza tu
Sasa jamaa kumbe alivyotoka kwangu akaenda kuwaelezea majirani zangu kuhusu nilivyofeli kidato Cha nne
Sasa Leo asubuhi nafika kazini nashangaa majiran wananicheka si ndo wakaanza kufunguka wakisema "tulijua wewe ni msomi kumbe ni Form Four failure"

Na wote wanahangua vicheko na maneno ya kejeli wakinirushia Mimi nikanyamaza kimya wakaongea Hadi walipotosheka wakanyamaza.

Sasa hali hii ikanipa kutafakari kuwa kumbe watanzania wanafurahi wakikuona unateseka na wote mkiwa kwenye same level of thinking na hii imenifunza kuficha uhalisia wangu kwa watu wasionijua .
Kwani uliwadanganya kuwa ulisoma hadi chuo?
 
Hawakukushauri uende VETA!
 
Umechelewa kujua yaani tunafurahi ukiwa chini
 
Back
Top Bottom