Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,977
Hapa tunaongelea kifo cha kawaida au cha asili.
Unachukua hatua gani kama mtu uliyenaye kafariki ghafla na wewe ndio upo hapo?
Tuelimishane hapa utafanyaje hatua gani, hatua kwa hatua. maana kuna watu huwa wanatoka mbio baada ya matukio kama haya kutokea mahali walipo.
Hatuombei mambo haya lakini hatuwezi kuzuia yasitokee maana kila binadam aliyezaliwa kwa mwanamke ana mwisho wake.
Sisi sote ni wa mavumbini na mavumbini tutarudi.