unabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Best Of All Time

    JamiiForums Tanzania Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

    Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki. Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ulipata kujiuliza Unabii katika Mathayo 24:14 utatimizwaje?

    Math. 24:14 Na hii habari njema ya Ufalme itahubiriwa ktk Dunia yote inayokaliwa ili kuwa USHAHIDI kwa mataifa yote, na ndipo ule mwisho utakapo kuja. Lengo la Mungu ni kukusanya wanadamu wanyofu kutoka huko kwenye mifumo ya kijamii ambayo haiwapi uhuru wa kumjua Mungu wa Kweli na Mafundisho...
  3. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Je, Kanisa Katoliki ndiye mnyama wa nne duniani wa Unabii wa Daniel na Ufunuo?

    Mnyama wa kitabu cha Ufunuo Watu wengi hawafahamu kuwa mnyama ni nani, na wengi wamejihusisha naye bila wao wenyewe kujua kama wanashiriki na mnyama. Lakini Mungu hajatuacha gizani, hivyo, kwa kupitia neno lake (Maadiko Matakatifu) tunaweza kumfahamu mnyama huyu aliyelezwa katika kitabu cha...
  4. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Unabii: Kombe la dunia 2022 litachukuliwa na Morocco

    Habari wadau wa jukwaa kubwa la JF, Nikiwa katika harakati zangu za kujiandaa na krismasi hapa canada nimejikuta nikisisimka na mwenendo wa mechi za kombe la dunia na baada ya kujiridhisha na hesabu zangu za kimwili pamoja na kupima ulimwengu wa roho nimejiridhisha pasi na shaka kwamba hili...
  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Mwl Nyerere watimia

    Mwl Nyerere aliweza kutabiri kwa usahihi kabisa wangetokea Wanasiasa wajinga,wapuuzi ambao kazi kubwa ngekuwa kusifu tu. Dr Kigwangallah,Msukuma,Kibajaji .....
  6. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Nyerere kuweka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro alikuwa na maana gani? Alikuwa anatimiza unabii?

  7. 2019

    JamiiForums Tanzania Kwa sisi tunaoamini unabii tunajua kabisa Russia anashindwa vita hivi

    Namuona Putin akikosa kabisa shabaha kabisa ya vita hivi,sio kama anapenda ila tu imeandikwa US na mshirika wake mkubwa UK ndio serikali kuu ulimwengu kwa sasa. Hakuna mnyama mwingine atakaetokeza na kuwazidi nguvu. Kwenye biblia ule mchanganyiko wa chuma na udongo wa mfinyanzi ni serikali...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huu ndio unabii wangu Kuhusu Nabii Daniel Daniel Shillah

    Kabla sija anza kutoa unabii wangu najua WaPo watu watakao kuja na hoja kwamba Shillah hana vigezo Kwa kuitwa Nabii and blah blah blah . Kama ulikuwa kwenye kundi la watu wanao fikiri kwamba Nabii Shillah hastahili kuitwa Nabii basi inawezekana wewe hujaisoma Biblia vizuri. Ungekuwa umeisoma...
  9. Ettore Bugatti

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

    Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000). Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea! Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

    NUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA: 1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali." 2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketezwa Shambani kwangu." 3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu." 4. "Dada aliyetoa taarifa za...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

    Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbatia na unabii wako wa kishetani umegonga mwamba

    Katikati ya mwezi uliopita Mbatia alijitokeza kwenye vyombo vya habari (mwanahalisi tv online) akasema baada ya wiki mbili kutakuwa na vifo vingi sana vya corona nchini kwetu katika namna ambayo haijawahi kutokea na hospitali zitazidiwa sana! Ni janga kubwa!! Wee mbatia wewe!! yaani unaamua...
  13. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Sikiliza mpaka mwisho huu ni Unabii au uganga wa kienyeji?

    sikiliza audio clips zote na kisha useme neno
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nabii Shilla afanye unabii wake bila uchochezi. Yaliyoamriwa kijeshi asiyatumie kama mtaji wa kujipatia waaumini

    Mimi kama mwanainchi nimesikitishwa sana na moja ya unabii wa kijana anayejiita Nabii shilla! Katika sehemu ya unabii wake akiwa madhabahuni Nabii huyo anasikika akimtabilia mtu mmoja (muumini wake) kuhusu namna alivyofukuzwa kazi katika jeshi la polisi huko Moshi. Ukimsikiliza vyema nabii...
  15. rosemarie

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
  16. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Unabii unavyotumika vibaya Tanzania

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya uchuro unaofanywa na watu wanaojiita manabii katika Nchi ya Tanzania. Bila shaka nimefuatilia uchuro mwingi sana jambo ambalo nimeona siyo vyema kuacha kuandika ili kama wapo humu waelewe tumeshawagundua na jambo la msingi zaidi waache uchuro ili...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla alimtabiria Paul Makonda kuwa mgombea urais wa CCM 2025. Je, unabii wake utatimia?

    Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa. Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM 2025. Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je...
  18. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Mch. Josephat Gwajima: Maeneo mengine hatukuhitaji kupiga kura ili kushinda bali kutaja jina la John P. Magufuli tu, kura zilipatikana

    Hata hatujafika mbali sana, tayari wanaanza kusema waziwazi wenyewe mbinu haramu na za wizi wa kura walizotumia kushinda uchaguzi huu. Katika video hii inayomwonesha mbunge mpya wa CCM - Jimbo la Kawe - DSM, Mch. Josephat Gwajima kuanzia dakika ya 8:50 ukitazama na kumsikiliza bila kujua ana...
Back
Top Bottom