unabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unabii wa Festus Chinolo waendelea kutimia kuhusu KITI kikuu kuwa cha moto

    Hellow!! Nabii huyu alitabirri kuwa baada ya kifo Cha Hayati Magufuli kuwa KITI kikuu kitaendelea kuwa Cha moto na kutokalika, Alidai itafika time watu watakuwa wakipendekezwa kwenye nafasi za juu kuelekea KITI hicho watakataa, Yameendelea kutimia juzi baada ya Mh Philip Mpango kuomba...
  2. Dr John Karithi

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Unabii 2025, Siasa, Tanzania, Afrika Mashariki na Dunia nzima

    Heri ya mwaka mpya! Mnapongezwa tena kwa kazi yenu njema ya kufahamisha na kuelimisha kote duniani. Ujumbe unaofuata (umewasilishwa kama shairi lenye unabii wa mambo yanayoenda kutokea 2025). Ujumbe unaweza kuchapishwa n.k. Shukrani. NDANI YA ROHO WA UNABII 2025! Kenya +254729011324, Tanzania...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Huu umati anao ukusanya mwamposa ata wakiungana wasanii wa TZ nzima hawawezi, Unabii unalipa !!

  4. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe ulitimia kuhusu kufanyika au kuyeyuka Kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024?

    Salaam, Shalom!! Palikuwa na ujumbe usemao: "Bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, hapatafanyika uchaguzi wowote wa HAKI ( uchaguzi utayeyuka). Swali: 1. Palikuwapo uchaguzi, au uchaguzi uliyeyuka na kuota mbawa? Swali no 2. Na kama uchaguzi uliyeyuka, lini tutafanya uchaguzi huo wa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Nabii Mtalemwa alitabiri kuhusu ajali ya Kariakoo. Kuna haja ya kuanza kufatilia tabiri hizi au alibahatisha?

    Katika nyakati tofauti Apostle Mtalemwa alitoa unabii juu ya maafa yanayoweza kutoka Kariakoo na ilikuwa 21/ 1/ 2024 na alisema hivi kutakuwa na dibeti wakandarasi wafanye hivi wafanye vile is matter of prayer na kumuuliza Mungu turehemu. Niliona ramani ya Nchi imezungukwa na waganga wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Unabii: Ajaye ni Mwanaume, iwe anatokea tawala au upinzani

    Salaam, Shalom!! Huu ni unabii Si ubashiri Wala uganga. Ajaye ni Mwanaume, haijalishi ni anatokea upinzani au tawala. Haya Si maneno yangu, ni unabii kama alivyoona Nabii husika. Source: Hero TV utube channel.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ushahidi Mungu alimbariki Yakubu na kizazi chake kuwa miongoni mwa watu wema , waliokakabidhiwa ukuhani, kitabu , uongozi na neema kubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu za aya mbili kwa lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ajili ya rejea yenu. ✓Tulimbariki kwa Isaka kama mwana na Yakobo kama mjukuu, kama fadhila ya ziada, tukiwafanya wote kuwa waadilifu. Na tukawafanya viongozi kwa kuongoa kwa amri yetu, na tukawapa...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    1. Lissu na Mbowe watakosana. Kutakuwa na mgongano wa kimtazamo na kimwelekeo kati ya Mh. Lissu ambaye ni mtarajiwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA na Mwenyekiti wake Mh. Mbowe. 2. Kuna kiongozi wa dini ambaye atakuwa upande wa CCM na ataambatana na mgombea Urais wa CCM atakufa kabla ya...
  9. The Republican

    JamiiForums Tanzania Utume na unabii upo? Case study ya utabiri uliofanywa na prophets wa kimarekani, kuhusu tukio litakalotokea juu ya jaribio la mauaji ya Trump

    Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

    Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!! Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Tanzania mwaka 2024 Kwa Kanisa

    Salaam, Shalom!! Huu ni unabii wa Nchi yetu nzuri TANZANIA Kwa mwaka 2024. KANISA ni mtu mmoja mmoja amwaminiye Yesu Kristo kuwa BWANA na Mwokozi wa maisha Yake, KANISA pia inatafsiriwa kama kikundi Cha watu wakusanyikao kuliitia Jina la BWANA. UNABII KWA KANISA 2024, UTAGUSA YAFUATAYO. 1...
  12. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Unabii: Tanzania itaingia kwenye vurugu za mapinduzi kabla haifikisha miaka 100 ya uhuru

    Ukiachana na suala la katiba mpya ambalo ni bomu linalohesabu dakika zake taratibu kabla halijalipuka kuna mambo mengi yatakayojitokeza na kusababisha kuwaibua wananchi wenye hasira kali (hiki kizazi cha sasa 2000's) watakaogawanyika kwenye vikundi vingi vidogo vidogo vikiwa na lengo kuu moja tu...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Pasco Mayalla ana vielement vya unabii afungue kanisa

    Nilianza kumuona miaka ile na kipindi chake cha Kitimoto. Nikaja kukutane nae UDSM akisoma LLB na mimi nikisoma kozi ngumu kuliko zote pale chuoni, namkumbuka akinesanesa na pikipiki lake viunga ya UDSM au Mabibo Hostel nilipokuwa naishi. Mwaka 2005 Au 2006 NIlikuwa napata lunch Hill Park...
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Makosa ya kiuandishi ya Gazeti la Daily News siku ya Leo ni Unabii kwetu sisi wana Jamiiforums. Chukua tahadhari nimeoteshwa

    Ndugu wana jukwaa, Rejea mistake: No one is above law. Si muda mrefu jukwaa linaenda kuvamiwa na mawindo ya wawindaji wa kutumika. Mnisamehe sana si nguvu zangu wala uwezo wangu, Bali ni malaika niliopewa ndio wamenituma niseme haya. Narudia tena ndugu wasomaji hata mkiona ni ujinga...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Jenerali Ulimwengu umetimia mapema mno

    Katika moja ya mikutano ya wanaharakati na wasomi (nimepoteza clip) lakini Ulimwengu alisema maneno haya: "Kwa miaka mitano nchi hii imepitia kipindi kigumu mno maana alikuwepo mtu pale kwenye executive ambaye aliweza kusaga saga kila kilichokuwa mbele yake na kuweka ya kwake anayotaka yeye...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema kwa Dkt. Pima umetimia mapema sana

    SHKAMOO MHE. "NABII" GODBLESS LEMA Kati ya viongozi wa upinzani wote, huyu Mshkaji akiwa anaongea, huwa naacha kila kitu ili kumsikiliza. "Nabii" Lema ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na hutabiri yatakayojiri "Wewe Dkt. Pima umeshiriki wizi wa kura kwenye huu uchaguzi mkuu na umemkasirisha...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Unabii baada ya kiongozi mmoja wa juu kubeza uwepo wa Mungu

    Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali. Hii...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa

    Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
  20. ONJO

    JamiiForums Tanzania Unabii juu ya tawara zote duniani,Tanzania kuwa jiwe kuu la pembeni.

    . Sauti ya kilio na maombolezo ilisikika watu wasikubali kufarijiwa kwa kuwa hayupo tena,amelala. Siku zikapita,miezi ikapita,na hatimae mwaka ukapita nisielewe maana ya fumbo hili!.Nikijiuliza kwanini ardhi imekubali kumpokea wakati bado tunamwitaji? Nikiwa katika usingizi,tazama nilikuwa...
Back
Top Bottom