Unabii: Kombe la dunia 2022 litachukuliwa na Morocco

Mcanada

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
982
1,904
Habari wadau wa jukwaa kubwa la JF, Nikiwa katika harakati zangu za kujiandaa na krismasi hapa canada nimejikuta nikisisimka na mwenendo wa mechi za kombe la dunia na baada ya kujiridhisha na hesabu zangu za kimwili pamoja na kupima ulimwengu wa roho nimejiridhisha pasi na shaka kwamba hili kombe la dunia kwa mara ya kwanza litaenda Afrika na timu itakayochukua kombe ni Morocco.

Naomba niwakumbushe kuwa kwa wiki kadhaa zilizopita niliwahi andika hapa kwamba katika ulimwengu wa roho nimeona kuna timu inavaa jezi nyekundu ndio itakayobeba kombe hili japo sikuandika mengi kwenye body section ndio maana mods waliufuta ule uzi (nahisi waliona ni uzi wa mzaha) na sasa narudia tena kuwaambia kuwa pamoja na timu ya Morocco kuwa kwenye form nzuri kwenye ufundi wa kimpira lakini pia kwenye ulimwengu wa roho naiona Morocco ndiyo itaingia fainali na mechi ya fainali Morocco hiyo hiyo ndio itakayochukua kombe la dunia kwa mara ya kwanza kutoka Afrika.

Mimi siwapendi waarabu kwasababu ya itikadi zao za kipumbavu (ikiwemo ubaguzi na udini) lakini katika hili kombe la dunia nawasapoti kwasababu ya uafrika wao geographically japo wanaishi kwenye itikadi za kiarabu. Bwana Yesu asifiwe!, As-Salaam-Alaikum
 
Wamekataa wao sio waafrika. Na wamesema kabisa waafrika wasishangilie. Wamejiita wao wazungu.
Kiuhalisia siwakubali. Ksbb ya kujibagua kwao. Hata hivyo kiuhalisia wao Morocco sio waafrika. Ni mipaka tu wakajikuta wamesukumiwa Africa.

Hata hivyo mimi ningekuwa ndio kiongozi wa Morocco ningeringia kuwa Africa. Angesema wazi kuwa hii hatua ni kwa ajili ya Africa.

Hii hatua ilikuwa wafikie timu za West kama Nigeria,Ghana,Senegal,Cameron hata Bukina Faso. Hawa miamba wanaibeba Africa mabegani mwao. Ona hata tamaduni zao,ongea yao hata wakiwa nje ya nchi zao,wanawakirisha uafrika pure.
IMG-20221211-WA0002.jpg
 
Wamekataa wao sio waafrika. Na wamesema kabisa waafrika wasishangilie. Wamejiita wao wazungu.
Kiuhalisia siwakubali. Ksbb ya kujibagua kwao. Hata hivyo kiuhalisia wao Morocco sio waafrika. Ni mipaka tu wakajikuta wamesukumiwa Africa...
Sasa kwani kuna shida gani hivi ENGLAND na team za ulaya walivyowatesa babu zenu na bibi zenu pamoja na kuwaibia ila bado mnawashobokea yaani waafrika akili zetu kwa hyo hizo team za wazungu mnazoshabikia zipo Africa sio kweli adui wa muafrika ni muafrika mwenyewe.
 
Umeongea nini hapo we mwarabu wa mpangalange?. Kama umeongea hewa tu. Soma vizuri hiyo comments ya kwangu halafu rudi unijibu. Hakuna anaewashobokea hao wenzio
 
Natamani siku Moja lije Tanzania.

Wabongo hatuna hSEKTA Wala chochote Cha kujivunia.
Just kimoja tu Cha maana.

Yani hatuna tuwezacho.

Kidogo mambo ya hovyo na ujinga tunajitahidi sana.
 
Wamekataa wao sio waafrika. Na wamesema kabisa waafrika wasishangilie. Wamejiita wao wazungu.
Kiuhalisia siwakubali. Ksbb ya kujibagua kwao. Hata hivyo kiuhalisia wao Morocco sio waafrika. Ni mipaka tu wakajikuta wamesukumiwa Africa.

Hata hivyo mimi ningekuwa ndio kiongozi wa Morocco ningeringia kuwa Africa. Angesema wazi kuwa hii hatua ni kwa ajili ya Africa.
Hii hatua ilikuwa wafikie timu za West kama Nigeria,Ghana,Senegal,Cameron hata Bukina Faso. Hawa miamba wanaibeba Africa mabegani mwao. Ona hata tamaduni zao,ongea yao hata wakiwa nje ya nchi zao,wanawakirisha uafrika pure.View attachment 2442643
Mkuu kwa zama za sasa tulizopo kiuhalisia ili nchi ibebe WC lazima iwe na utengemano mzuri wa uchumi,usalama na mambo mengine ya maendeleo kwenye taifa ikiwemo uwekezaji mzuri kwenye soka,viwanja,kulea vipaji na mambo mengine kedekede.

shirikisho la soka Cameroon (FECAFOOT)limekumbwa na kashfa ya kupewa hongo na wachezaji ili waitwe timu ya taifa wacheze WC.

nchi zetu hizi za weusi tunachamoto zetu na dhambi zetu kubeba WC au kufika mbali kwa zama za sasa ni mpaka tujiweke sawa kwanza.

tuna haki ya kubaguliwa kwasababu tuna ujinga na umasikini unaolelewa na walamba asali wachache wanajiongezea ukwasi kwa njia za haramu kupitia rasilimali za hizi nchi zetu za matopeni.
 
Habari wadau wa jukwaa kubwa la JF, Nikiwa katika harakati zangu za kujiandaa na krismasi hapa canada nimejikuta nikisisimka na mwenendo wa mechi za kombe la dunia na baada ya kujiridhisha na hesabu zangu za kimwili pamoja na kupima ulimwengu wa roho nimejiridhisha pasi na shaka kwamba hili kombe la dunia kwa mara ya kwanza litaenda Afrika na timu itakayochukua kombe ni Morocco.

Naomba niwakumbushe kuwa kwa wiki kadhaa zilizopita niliwahi andika hapa kwamba katika ulimwengu wa roho nimeona kuna timu inavaa jezi nyekundu ndio itakayobeba kombe hili japo sikuandika mengi kwenye body section ndio maana mods waliufuta ule uzi (nahisi waliona ni uzi wa mzaha) na sasa narudia tena kuwaambia kuwa pamoja na timu ya Morocco kuwa kwenye form nzuri kwenye ufundi wa kimpira lakini pia kwenye ulimwengu wa roho naiona Morocco ndiyo itaingia fainali na mechi ya fainali Morocco hiyo hiyo ndio itakayochukua kombe la dunia kwa mara ya kwanza kutoka Afrika.

Mimi siwapendi waarabu kwasababu ya itikadi zao za kipumbavu (ikiwemo ubaguzi na udini) lakini katika hili kombe la dunia nawasapoti kwasababu ya uafrika wao geographically japo wanaishi kwenye itikadi za kiarabu. Bwana Yesu asifiwe!, As-Salaam-Alaikum
Ulikuwa wapi siku zote?
 
Atakaye shinda, na ashinde! Maana atakuwa amestahili kushinda. Awe Morocco, awe Ufaransa, awe Argentina, au Croatia.

Wote wanastahili. Maana wamefika hapo baada ya kupambana kikweli kweli. Hakuna aliyefika hapo kwa kubebwa na mwamuzi, au FIFA.
 
Habari wadau wa jukwaa kubwa la JF, Nikiwa katika harakati zangu za kujiandaa na krismasi hapa canada nimejikuta nikisisimka na mwenendo wa mechi za kombe la dunia na baada ya kujiridhisha na hesabu zangu za kimwili pamoja na kupima ulimwengu wa roho nimejiridhisha pasi na shaka kwamba hili kombe la dunia kwa mara ya kwanza litaenda Afrika na timu itakayochukua kombe ni Morocco.

Naomba niwakumbushe kuwa kwa wiki kadhaa zilizopita niliwahi andika hapa kwamba katika ulimwengu wa roho nimeona kuna timu inavaa jezi nyekundu ndio itakayobeba kombe hili japo sikuandika mengi kwenye body section ndio maana mods waliufuta ule uzi (nahisi waliona ni uzi wa mzaha) na sasa narudia tena kuwaambia kuwa pamoja na timu ya Morocco kuwa kwenye form nzuri kwenye ufundi wa kimpira lakini pia kwenye ulimwengu wa roho naiona Morocco ndiyo itaingia fainali na mechi ya fainali Morocco hiyo hiyo ndio itakayochukua kombe la dunia kwa mara ya kwanza kutoka Afrika.

Mimi siwapendi waarabu kwasababu ya itikadi zao za kipumbavu (ikiwemo ubaguzi na udini) lakini katika hili kombe la dunia nawasapoti kwasababu ya uafrika wao geographically japo wanaishi kwenye itikadi za kiarabu. Bwana Yesu asifiwe!, As-Salaam-Alaikum
Kombe linaenda ArgentinaTtapiga na France.Ndoo inaelekea South Amerika,🏆
 
Back
Top Bottom