una

Uña is a municipality located in the province of Cuenca, Castile-La Mancha, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 138 inhabitants.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Una kipaji gani ila hakikuendelezwa kutokana na mazingira yetu ya kutokukuza vipaji?

    Leo nimekutana na mtoto mmoja, huyu mtoto ana miaka kama 15 au 14 hivi, anacheza mpira wa vumbi, ila iwapo angepata nafasi ya kuendelezwa kipaji chake angekiwa mchezaji mzuri sana. Nilikuwa napita tu nikaona watoto wanacheza nikavutiwa naye na wapo wengine pia walisimama kumtazama yaani...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna ishara gani ambazo hukufanya uone wewe na Mungu mnatafutana sana?

    Hii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu. Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku. Unaweza ukawa unatembea au ukaamka ghafla bila hata kukusudia ukautazama mwezi bila sababu ukaanza...
  3. JamiiForums Tanzania Kama una mtaji/pesa kidogo acha kukaa nyumbani/gheto, acha kutosheka/kusubiri Ajira

    Habari wana JF. Kwa wale wote wanao hitaji kufanya biashara/kuwekeza Kariakoo. Naomba msiogope hivi sasa ndiyo wakati mzuri sana wa kuwekeza/kufanya Biashara Kariakoo Majengo mapya yanajegwa kila siku. Na bei za fremu ni nzuri sana(affordable hata kwa mtu mwenye mtaji mdogo). Zipo fremu...
  4. JamiiForums Tanzania Nakushauri kama una moyo mwepesi usiangalie hili dude

    Wapenzi wa scifi Nahisi mnaelewa what I mean..
  5. JamiiForums Tanzania Ewe mkiristu mkatoliki, fikilia mazingira aliyonayo Tundu Lissu mkiristu mkatoliki mwenzetu, je Askofu Rwaich una hata padri wa kumsalisha?

    Sasa labda ili tuliweke kiudini maana tukiliweka kitaifa TUNAKUTANA na mijitu kama yule shekhe sijui nani, pasipo kumsaau shekhe majini.r.i.p. Wakatoliki tunayo Nafasi ya kutafakari matendo anayotendewa mkiristu na mkatoriki mwenzetu na sisi tupo kimnya tuna maana Gani?;
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huyo mpenzi wako wa maisha vipi kwenye changamoto una uhakika atabaki ?

    Biashara ikiyumba hadi kufirisika Ukifukuzwa kazi Kupatwa changamoto kubwa za afya au ulemavu Kufungwa Jela n.k.
  7. JamiiForums Tanzania Ni rahisi mno kutoboa biashara ambayo una ujuzi,hobby,taaluma sawia

    kuna siku moja mtu aliniuliza unapenda kitu gani mbali na kazi yako kukifanya kutengeneza pesa bila kupepesa macho nikasema kupika, kuna uzi flani hapa jf ulianzishwaga nyakati za nyuma kidogo ,sikumbuki title ila nilicoment nikasema unaweza ukatengeneza brand yako hata ya chips tu ni swala la...
  8. JamiiForums Tanzania Kama una pua kubwa utupishe.

    Haiwahusu wale wa POOR infrastructure.
  9. JamiiForums Tanzania Kuna mtu jana bado kidogo abomoe na kuivunja TV tukiwa tunaangalia mpira hisia zetu tuziweke pembeni mpira una matokeo matatu

    Kuna kufungwa, kufanga na kutoka sare. Sasa km timu unayoishabikia imefungwa usichukue hisia zako ukawa na hasira kiasi cha kutaka kuvunja mpaka TV. Ilikua hivi mpira umeanza alipofungwa SA dakika za mwanzo kabisa nikaona mtu anaanza kuuma ulimi nikasema emu tusubiri tuone gemu imeendelea mpaka...
  10. JamiiForums Tanzania Una kumbu kumbu zipi juu ya hii kitu namna ilivyopelekesha mtaa wakati fulani hivi😁

  11. JamiiForums Tanzania Kama ukikaa halafu unajikuta unafanya hivi mikono basi tambua una spirit ya utajiri wa mali ndani yako

  12. K

    JamiiForums Tanzania Ukijaza Undugu/Uzanzibari/Utanganyika kwenye Uongozi ndiyo yamkuta Mama Samia! 2026 eti una pongeza Urusi kwa ukombozi wa Africa!!!

    Tatizo la kujaza watu kwenye uongozi waliojaa uchawa na uzanzibari. Sasa Mama badala ya kusafiri nje kutafuta uwekezaji na technologia ili kukuza ajira na maendeleo anaenda Urusi eti kuwashukuru wa ukombozi wa Africa. Ukombozi gani wakati yeye mwenyewe hajachaguliwa, wabunge wanachaguliwa mezani...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu lucas mwashambwa una maoni gani juu ya kauli ya "YUDA"

    Lucas Mwashambwa karibu.
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Bado una namba ya EX wako?

    Mara nyingi watu wakiachana wanakuwa hawapendi kuwasiliana tena na kila mtu anajaribu kuendelea na maisha yake, kujijenga upya na kuacha yaliyopita yabaki kuwa sehemu ya historia yao na wengine huenda mbali hadi kufuta namba za wapenzi ili kujipoza na maumivu haraka. Sasa tukija upande wako...
  15. JamiiForums Tanzania Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

    Kama una miaka 40+ na bado unaishi nyumba ya kupanga ukiwa na familia, jiulize upya kuhusu mwelekeo wa maisha yako. Je, uko kwenye njia sahihi ya kujenga mustakabali wa familia yako, au umekwama katika hali ya kurudia kila mwaka bila maendeleo ya kweli?
  16. JamiiForums Tanzania Kuna namna unaweza vaa watu wakakudharau, wakakuona una ushamba au utoto mwingi.

    Kuna fashion... Acha zipite. Kuna mitindo au mambo yaache yapite. Ukiwa na umri wa kuanzia 30s na kuendelea unatakiwa ukue kiakili pia na kimtizamo. Uvaaji flani unaweza kufanya watu wakuone haupo serious. Una ushamba mwingi au ulimbukeni. Mtu mzima kabisa unaweza vaa hivi? Ni utoto na ushamba.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Stori zingine bwana, eti mwanamke hatakiwi ajue kama una hela benki, au umewekeza pahali fulani sababu anaweza kukuua au kuomba taraka mgawane mali

    1. Nimezikuta hizi stori mahali fulani, yaani mwanamke hatakiwi kujua chochote kuhusu mali zako 2 .Ukizeeka atakuacha hapo nyumbani aende kuishi Kwa watoto wake 3. Ukifikisha miaka hamsini usijihangaishe kujenga kama ulishajenga Nyumba Moja yatosha. Hifadhi fedha yako benki harafu uwe...
  18. JamiiForums Tanzania Una muda gani mpaka sasa?

    Una mda gani kikojolea chako hakijakutana na kikojoleo chenzie Siku moja? Wiki moja? mwezi mmoja? Mwaka mmoja ? Siku ukipewa unapewa yote au unapewa nusu nusu [unapunjwa🤪] au hakijawahi kutumika kabisa? Kazi yake ni kupitisha haja ndogo tu? Hata mambo yaende kombo vipi tusiache kulombana🍑🍆😋
  19. JamiiForums Tanzania Uzi: Je, una uhakika una 'Vidonda vya Tumbo'? Prof. Janabi atoa ufafanuzi muhimu!

    Mara nyingi mtaani, watu wengi wamekuwa wakijigundua wenyewe au kuambiwa na watu wasio wataalamu kuwa wana 'vidonda vya tumbo' pindi wanapohisi maumivu au kuunguliwa na asidi tumboni. Lakini, je, hii ni sahihi kitabibu? 🤔 Prof. Mohamed Janabi, Mkurugenzi wa JKCI, anasisitiza jambo moja muhimu...
  20. JamiiForums Tanzania Tufurahi kidogo:Je una historia gani na kuberi?

    Leo tufurahi kidogo ndugu zanguni wa JF ,em tupia kisa chako ulichowahi kukumbana nacho au kushuhudia hata kwa rafiki yako kutokana na matumizi ya kuberi 😂.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…