una

Uña is a municipality located in the province of Cuenca, Castile-La Mancha, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 138 inhabitants.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    Una lipi la kuongezea kwenye maisha Uswazi?

    Uchambuzi wangu ni huu.. Je kuna nilichosahau? Maisha ya uswazi" ni msemo unaoelezea mtindo wa maisha katika makazi ya watu wa kipato cha chini au maeneo yasiyopangwa vizuri (slums/informal settlements) nchini Tanzania, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Maisha haya yana sifa ya...
  2. A

    KERO Wazazi tunalazimishwa kuchangia chakula kila siku katika Shule ya Sekondari Ipala

    Kuna kero inawakumba wazazi wenye katika shule ya sekondari Ipala. Mwaka jana serikali ilitoa mahindi kwa ajili ya chakula shuleni na mwanafunzi ikalazimu kwenda na mia sita kila siku kwa ajili ya mboga. Mahindi yameisha wanafunzi wametangaziwa kwenda na 1400/= kila siku kwa ajili ya chakula...
  3. M

    Wazee wa Masafa, Dar mpaka Mwanza unaondoka na ipi kati ya hizi ?

    LC 300 LC 300 HILUX NISSAN Y62 PRADO J250 Lx FORTUNER LAND ROVER DEFENDER FORD RANGER LEXUS
  4. Babumawe

    Ulijuaje una date na wakishua bila mwenyewe kukuambia

    •Mimi Kuna siku tumbo liliunguruma akasema nifundishe na Mimi •Siku nyingine akaniambia eti nikimuacha atakunywa maji ya mvua afe •Juzi hapa akaniambia anatoka mara moja kumbe kaenda dubai
  5. M

    Msaada nimeambiwa mkojo una protein3+,na leu2+ nimeambiwa ni uti

    Habar wakuu nimeambiwa Nina UTI nimepewa dawa amosclave na Panadol nin nifanye kutoa protein kwenye mkojo na dawa ipi sahihi kwa UTI kali
  6. Equation x

    Je wewe una akili nyingi?

    Akili nyingi ni kufanya kitu ambacho wengine wote wameshindwa kufanya, ila wewe ukaweza kufanya na kikaonekana. Iwe ni kwenye teknolojia, biashara, maamuzi magumu n.k Je, wewe una akili nyingi?
  7. Samia atosha tukutane2030

    Una gari, pikipiki, jenereta nunua mafuta ya kutosha haraka weka ndani

    Huu ni upendo mtu kukukumbusha jambo jema kwa faida yako . Siku za usoni aidha mafuta yatapanda bei au kupotea kabisa.
  8. T

    Je una changamoto ya AJIRA portal

    Tusaidiane kupitia 0623446608
  9. comrade_kipepe

    Unapotaka kuishi kama upo Saudi Arabia hakikisha una pesa ya kutosha

    Kuna bodaboda leo nmemtuma akaniletee futari yangu pendwa "kitimoto" ili niiandae mapema kabla ya mda wa kufuturu, sasa namuagiza anasema eti yeye hawezi kubeba nyama ya Nguruwe kwani amefunga nadini yake hairuhusu. Sikilizeni nyie, hao mnaowaiga wana pesa na visima vya mafuta, wewe upo huku...
  10. RMK Freelancers Agency

    Je una chumba, apartment au nyumba inayofaa kwa ajili ya Airbnb? Njoo tushirikiane

    Moja kwa moja kwenye mada. Je una chumba, nyumba au apartment inayofaa kwa Airbnb? Natafuta watu wenye apartment, room au house nzuri ambayo inaweza kufaa kuwa listed kwa Airbnb. Kama una chumba au nyumba ambayo mara nyingi haitumiki au ungependa ipate wageni wa muda mfupi, tunaweza kufanya...
  11. jamaikatz

    Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?

    Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?
  12. Pdidy

    Mwanaume kama una tabia hizi usioe mpaka uwe umebadilika

    MWANAUME KAMA UNA TABIA | SIFA HIZI, TAFADHALI ACHANA NA MASUALA YA NDOA | KUOA HADI PALE UTAKAPOAMUA KUKUBALIANA NA HALI HALISI Ndoa si ya kila mtu Ndugu zangu, kama bado hujajiandaa kiakili, kimwili na kitabia. Ukijiona Bado Una hizi Tabia hapa Chini, Basi Usioe | Usivute Jiko 🚩 Una hasira...
  13. ubongokid

    BRELA mfumo wenu una shida gani?

    Niliona Humu uzi maalum wa BRELA sijui kama bado UPO, hata hivyo Brela Mfumo wenu una shida ya availability na Utendaji. Tunajaribu kupiga simu zenu za Kituo cha miito Hampokei.
  14. M

    Pombe haijawahi kujua kesho ni siku ya kazi, mtihani, kikao cha familia, safari, kwenda mahakamani, n.k. weka kisa chako pombe ilipokuharibia

    Pombe kweli haina kalenda 😂 Nilisema “nakunywa mbili tu, kesho ninaamka mapema.” Zile “mbili” zikawa 3, zikawa, 4, zikawa 6 asubuhi: Alarm inalia → nainyamazisha kwa hasira Kichwa kinapiga ngoma ya mdundiko Mdomo una ladha kama niliweka betri 🌚 Nilifika kazini nikitembea kama Wi-Fi isiyo...
  15. Chachu Ombara

    Hapa, unamchagua nani kupiga freekick anayeelekea kuwa na uwezo wa kufunga?

    Timu yako inahitaji ushindi, na dakika za lala salama imepata freekick karibu na goli la mpinzani. Unamchagua nani kati ya hawa kupiga mpira huo wa adhabu ndogo ili kuhakikisha ushindi?
  16. A

    DOKEZO Walinzi wa getini Msamvu Bus Terminal wanalazimisha kulipa Sh 300 hata kama una tiketi ya mtandaoni

    Ukilipitia tiketi online, automatically utabakiwa na muamala wa malipo, unapofika stendi uendako kama huna risiti utatakiwa ulipie shilingi mia tatu getini. Kwani kulipia ticket online na kulipia ofisini kuna tofauti gani? Ukionesha SMS ya malipo hawataki, wanataka risiti ya tiketi ya EFD...
  17. Red black

    Ukizaliwa/ukizamia tu America 🇱🇷 tayari una asilimia 95% za kufanikiwa

    Yeah, Ukizaliwa first world country tayari una asilimia kubwa sana ya kufanikiwa kwenye angle zote kimaisha, kimasomo, kiuchumu..nk Hata wabeba box wengi wenye akili sawsawa waliozamia America, ulaya wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
  18. JanguKamaJangu

    Una maoni gani kuhusu staili ya kuendesha Bajaji mguu mmoja juu inayofanywa na madereva wa Chuga?

    Askari usalama barabarani wanajitahidi sana kutoa elimu ya Usalama barabarani lakini mara nyingi kama haizingatiwi na wanaonekana kama wanapiga kelele ni vyema hatua zikachukuliwa kuhusu vitendo hivi hii ni maeneo ya barabara ya Ngulelo kuna uendeshaji wa bajaji kunyanyua mguu mmoja na kutembea...
  19. Natafuta Ajira

    Ewe kijana/baba/mzee, kama una nafasi moja ya kutoa msaada. Msaidie mwanaume

    Dunia haijali chochote kuhusu mwanaume mpaka unapokufa, ukiwa tajiri au kuna namna walimwengu wananufaika nawe. Jamii imeshakua programmed kuwaonea huruma wanawake lakini mwanaume anapoanguka anaanguka peke yake. A woman cries and the while world comes running, a man cries and they call him...
  20. Pdidy

    Utajuaje una majini mahaba?

    DALILI ZA KUJIJUA KAMA UNA JINI MAHABA. 1. Kuota unafanya MAPENZI na MTU unayomjua au usiyemjua kwa sura tofauti. 2. Kuota unafanya mapenzi na mnyama. 3. Kuota unanyonyesha au kujifungua mtoto. 4. Kutokudumu kwnye mahusiano kama ndoa au mchumba. 5. Kuwa na hasira za haraka. 6. Kukwama kwa...
Back
Top Bottom