umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Angalia umri wa afisa mpya wa mawasiliano/habari wa ikulu ya Marekani (White House) pamoja na elimu yake! Njoo bongo!

    Trump amemchagua afisa habari wa ikulu ya Marekani kwa muhula mpya unaokuja. Ni afisa kijana na siyo mara ya kwanza kwa nafasi yake! Angalia umri wake pamoja na elimu yake, hatishi sana kielimu (mtazamo finyu wa watanzania). Unahisi nini kimembeba?? Pamoja na uzoefu wake akiwa ikulu plus...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa

    Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo, imepingwa vikali na Wanaharakati Nchini humo wakidai kuwa ni yenye kuhalalisha udhalilishaji wa...
  3. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike akifikisha umri upi wewe kama baba hupaswi kumpakata?

  4. M

    JamiiForums Tanzania Umri ni kitu kingine kinachowapa watu hofu

    Tafiti zinaonyesha wanawake huogoza kuhofia umri ila hata wanaume nao huogopa ongezeko la umri , kuna madhara makubwa usipodhibiti hofu ya umri MADHARA USIPODHIBITI HOFU YA UMRI. 1. Kukosea kwenye kuchagua 2. Kufanya maamuzi ya hovyo 3. Kupoteza msimamo. 4. Kukosa subira. 5. Kuwa na hasira za...
  5. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wenye umri (22-30) wanaoishi mkoani Mwanza ni washamba

    Nimekuwa nikifanya ishu Na harakati mbalimbali Na watu tofauti hasa vijana, lakini nimekuja kugundua vijana wengi wa mwanza wenye umri ( 22-30) ni washamba sana, waoga wa maisha yaani hawajiamini kabisa hasa unapompa Dili ngumu, Wana tamaa sana hasa Na vijipesa vidogo vidogo, Na wakivipata...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Ngumu sana kuwa na Pesa ndani ya umri huu (20-29)

    Najiuliza hasa ni nini kipo nyuma ya sayansi ya pesa na umri, naangalia na Kuona na naendelea kujiuliza Nini kipo nyuma hasa ya kupata mafanikio na umri. Vijana wengi Huwa wanaanza kutafuta pesa wakiwa na Miaka 18, lakini pia wengine huanza kutafuta pesa katika umri wa Miaka 22 akiwa Amemaliza...
  7. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Kumwomba msamaha mpenzi wako mliepishana sana umri ni ngumu sana, wengine mnawezaje?

    Imagine mwanaume unapishana na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi 😀 aisee Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo tutameet ila sijatokea ndo kamind siku nzima wakati kazaliwa 2004.!! think i should just swallow my...
  8. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nipeni mbinu za kumkoleza huyu mwanamke aliyenizidi kila kitu ikiwemo umri

    Kuna mwanamke fulani hapa jirani, japo si jirani kivile nilitokewa kuvutiwa naye, na mpaka sasa navutiwa naye. Kwa mara ya kwanza kumuona nilijikuta namshangaa hasahasa macho yangu yalipokutana na mtrako uliotawanyika huku ukipepesuka huku na huko, mnara ulisoma 6G nikajikuta naunga naye njia...
  9. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua protokali ni Sahihi mtu mwenye umri mkubwa kumsalimia mtu aliyemuzidi cheo (status), mkubwa kicheo?

    Wakuu habari za Muda huu? Naomba mwongozo juu ya yupi anayepaswa kumsalimia mwenzake ikiwa mmoja ana umri mkubwa kumliko bosi wake,mfano Mimi niwe na umri wa miaka 50 harafu bosi wangu ninaye mzidi umri awe na chini ya umri wangu,Je yupi anapaswa kutoa salamu ya shikamoo Kwa mwenzake...
  10. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki wa kike awe Mafinga au Iringa mjini umri awe 35 and above Mimi ni mweusi Nina miaka 43

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi. Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo tapeli nitakupenda na kukujari🙏🏿
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Huenda Elly Mpanzu alikosa timu Ulaya kwa kudanganya umri?

    Huku Africa mpaka leo kuna watu bado wanazaliwa nyumbani,Africa nchi nyingi hazina database ya raia wake. Elly Mpanzu kuwa na miaka 22 !!!!. Mpanzu kama kazaliwa 2002 mimi nilishamaliza form six, lakini leo hii naonekana kijana kuliko yeye. Wazungu wana kipimo cha umri, si ajabu kilisoma 32...
  12. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Je, uzoefu siyo tatizo kwa wayahudi huko vitani? Angalia umri wa huyu kamanda aliyeuawa huko Lebanon.

    Kuna kamanda ameuawa na Hezbollah huko Lebanon, ukiangalia umri wake halafu ndiyo kiongozi, napata shida kidogo! Wajuzi wa vita tupeni elimu! Israeli commander killed in Lebanon, Israel says The Israeli military says an army squad commander has been killed in Lebanon. It's the first combat...
  13. A

    JamiiForums Tanzania 40-49 yrs Christian man

    Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa Mkristo hasa mpetekoste NB alietayari ku asili mtoto Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
  14. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike umri chini ya miaka 22 wa kubadilishana nae mawazo

    Wakuu Hamjambo?
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ukifikisha umri wa kustaafu(miaka 60) na hujawahi kulala selo au kuitwa polisi kwa mahojiano wewe sio mpambanaji

    Ukiondoa chawa, high profile leaders, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, makada wa CCM na watoto wa mama. Waliobaki kama ukifikisha umri wa kustaafu miaka 60,uwe umejiajiri au umeajiriwa na katika harakati zako za upambanaji hujawahi kulala kupango au kuitwa polisi kwa mahojiano,wewe...
  16. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wengi wenye umri wa miaka 35 mpaka 37 ndoa zao zimevunjika nyingine zipo ICU

    Kama mada inavyojieleza Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU Wengi wa marafiki hawa walioa baada ya kumaliza vyuo tena kwa mbwembwe nyingi leo hii ndo zimesambaratika na wengi...
  17. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Hizi ni siri saba kuhusu fedha ambazo ni lazima uzifahamu kabla hujafikisha umri wa miaka 20

    Money management ni moja ya life skills muhimu sana unayotakiwa kuiboresha, lakini bahati mbaya sio kitu ambacho kinafundishwa shuleni. Wapo tayari kutufundisha Kiundani zaidi historia ya akina Vasco dagama Jinsi walivyoweza kufika afrika kusini kuliko kutufundisha namna ya kutengeneza...
  18. Tman900

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye Umri wa Miaka 35- 42

    Naitaji mwanamke awe na Umri wa 35- 42 Nataka nimpe kazi ya kumlea mwanangu. Mtoto wangu ana Umri wa miaka 7. Ni wakike. Mshahara tutajadiliana mara Baada ya kuonana. Tuwasiliane NOTE: Hakikisha uwe mkristo, na ni muuzuriaji wa kanisani na jumuia(Mkatoriki). Tuwasiliane in Box.
  19. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Una ushauri gani kwa kijana wa kiume aliyopo umri wa 18-29.

    Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia. Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi. Mwaga sumu kwenye...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni ushauri upi muafaka kwa kijana huyu graduate wa umri wa miaka 40 mtaani?

    Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu. Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti...
Back
Top Bottom