umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Vipaumbele vikuu vya mwanaume mwenye umri wa miaka 30+

    VIPAOMBELE VIKUU VYA MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 30+ Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Kila umri unavipaombele vyake. Umaana wa maisha unauleta wewe kupitia vipaombele vyako. 2. Ili ufanikiwe utahitaji kuzingatia vipaombele kulingana na umri wako, fursa zinazokuzunguka, mbinu, uwezo na...
  2. Red black

    Tafiti;waliopo kwenye ndoa wanaishi maisha marefu yenye sonona tofauti na walioko singo?

    Marriage license ==== Fahamu Zaidi Tafiti: Waliopo kwenye ndoa, huishi maisha marefu zaidi tofauti na waliopo 'singo'!
  3. Tundusami

    Mwanamke anayetafuta mwanaume mtandoni wengi wa athirika wa ukimwi, umri umeenda au single maza

    Kama sio mwathirika wa ukimwi uyo basi umri umeenda sana yupo 30 na kuendelea na pia ana watoto kuanzia wawili na ametelekezwa anatafuta wa kumtulia shida zake Uwezi kumkuta mwanamke yupo chini ya 30 hana changamoto ya feza na hana ukimwi akatafuta mwanaume mtandaoni
  4. Tundusami

    Adui mkubwa wa mwanamke ni UMRI

    Hakuna la kuongeza wala kupunguza apo adui mkubwa wa mwanamke ni umri
  5. Waufukweni

    Ulikua na umri gani ulipogundua hiyo mikunjo nyuma ya mswaki ni kwa ajili ya kusafishia ulimi?

    Ulikua na umri gani ulipogundua hiyo mikunjo nyuma ya mswaki ni kwa ajili ya kusafishia ulimi?
  6. ELI COHEN

    Kuna vitu flani ukishakuwa 35+ unapaswa kuwa na majibu yao, huu sio tena umri wa kujiuliza uliza na kutokuwa na msimamo wa kile unachokiamini

    Unapaswa uwe na jibu binafsi la kama unamiini Mungu yupo na unamtumainia au lah. Unapaswa kuwa na malengo tayari unayoyaamini na unaya pambania kwa jasho na damu ili upige hatua zaidi ya ulipoyafikia. Huu sio umri tena wa kuwaza kama kijana wa miaka 22 "hivi nifanye kitu gani" Ni umri ambao...
  7. Yericko Nyerere

    Umri wa kustaafu uwe miaka 45/Utumishi kikomo iwe miaka 15

    Ninafikiri kwamba, Umri wa kustaafu utumishi wa umma ushuke na kuwa angalau miaka 45 hivi, ama tuweke ukomo wa utumishi wa umma uwe miaka 15 tu, ili mtu akistaafu apate fursa ya kuyaishi maisha mengine ya kujitafutia kipato nje ya utumishi akiwa na nguvu zake kamili, na kuruhusu kizazi kingine...
  8. bwawani90

    Nina umri wa miaka 49 Natafuta mke awe na sifa zifuatazo

    1. mweupe kiasi si michubuko 2. umri kati ya miaka 25 hadi 30 3. Elimu ya kidato cha 4 mwisho cha 6 4. awe tayari kusimamia biashara 5. Asiwe na mtoto 6. utepe ni muhimu(code) wenye D mbili wameelewa 7. Dini( awe na hofu ya mungu) 8. awe anaishi kwao sio gheto 9. mwembamba kidogo 10. urefu 150...
  9. Tlaatlaah

    Ulegevu wa via vya uzazi husababaishwa na nini kingine zaidi ya umri wa muhusika?

    Ipo changamoto ya uke wa mwananmke kua legevu sana, uliopoa na usio na ladha kabisa, lakini pia uume wa mwanaume kua legevu na usioweza kufanya chochote. Wanaume wengi wenye changamoto hii huishia kujificha kwenye kutumia mdomo kulamba au kunyonya uke wa mwanamke kuficha fedheha hiyo. Na...
  10. Bawabu wa pili

    Ulikuwa na umri gani ulivyojua kuwa kirefu cha MOM ni My Own Mother

    Nasoma comment na kama ndio umejua leo basi comment ''JF shule''
  11. E

    Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  12. S

    Hapa Tanzania 50% ya wavulana wenye miaka 20 hawajahi kufanya mapenzi, lakini kwa wasichana wenye umri huo ni 1% tu

    Tafiti iliyofanywa na Taasisi ya Mahusiano na Unyumba imebaini kuwa ni 1% tu ya wasichana hufika miaka 20 wakiwa bado hawajawahi kufanya mapenzi. Sababu zikidaiwa kuwa ni :- 1. Kushindwa kuhimili vishawishi. Mtoto wa kike huanza kutamaniwa na kuanza kushawishiwa kufanya ngono mara tu anapoanza...
  13. TheGreatest Of AllTime

    Ebu bashiri umri wa members humu JF

    Mshana Jr 46 cocastic 31 Binti wa zamani 40 Hannah 35 Kiranga 37 secretarybird 31 ELI COHEN 34 ERoni 36 hamis77 35 FaizaFoxy 48 ephen_ 36 dosho12 30 Vincenzo Jr 31 Maxence Melo 48 Chica Gee 27 Dr am 4 real PhD 42 Mallerina 28
  14. X

    Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 40-45

    Fungwa
  15. ELI COHEN

    Hivi ndivyo katika kila group la umri mwafrika anayo chambua sababu za tabu zake

    18 - 21= baba na mama 22 - 25= shetani 26 - 30= uchawi na mikosi 30 - 35= bado yupo confused hajaelewa vizuri😁 (uchawi, baba, mama, trump, shetani, kurogwa, etc) 35 - 40= "Mimi mwenyewe ndio nilizingua all along aisee"
  16. H

    Utofauti mkubwa wa umri na dini

    Happy new year 2026 MMU. Kuna binti wa ki-islamu nimefikiria nianze kufanya mchakato wa kufikisha taarifa kwa wazazi wake kuhusu nia ya kutaka kumuoa binti yao. Hii ni baada ya penzi la mtu wangu wa muda mrefu kufa kabisa. kabla sijaamua kufikisha taarifa kwa wazazi wa huyu binti wa...
  17. Mstahiki Mea

    Orodha ya vijana na kiasi wanachomiliki na umri wao

    Wewe unamiliki kiasi gani mkuu utupe insparation. NB majina sio halisi
  18. Fbn

    Jennifer Lopez's umri wake sasa 56 ila unaweza kusema wa miaka 30.

  19. N

    List ya wanasiasa waliofanikiwa Tanzania wenye umri baada ya miaka 50?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba list ya waliofanikiwa baada ya miaka 50 Tanzania?
  20. J

    Biblia Isemavyo Kuhusu Umri wa Kuishi

    Biblia Isemavyo Kuhusu Umri wa Kuishi Katika biblia mtu aliyeishi miaka mingi kuliko wote, ni Methusela, mwana wa Henoko aliyetwaliwa na Mungu. Biblia inasema Methusela aliishi miaka 969, na hakuna mwingine aliyerekodiwa kuishi miaka mingi kuliko yeye. Mwanzo 5:25 “Methusela akaishi miaka mia...
Back
Top Bottom