umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. Watumishi wa Umma tupeane ushauri kuhusu mikopo inayotolewa na Taasisi mbali mbali za kifedha

    Moja kwa moja kwenye mada. Leo ni mapumziko nikaamua kuzurula kwenye akaunti yangu ya ESS(Watumishi Portal). Kilichonishtua hadi kuandika mada hii ni kitu kinaitwa "Processing Fee" baada ya kuona ni Tsh871,053.93/= wakati mkopo unaombwa kwenye mfumo. Na gharama zingine kama bima ni kubwa...
  2. Humphrey Polepole atazungumza na umma leo Agosti 08, 2025 saa sita mchana

    Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram == Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok. Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni...
  3. Nafasi za ma-ceo kwenye mashirika ya umma watakuwa wanafanyiwa interview ngumu sana na sio nyepesi

    Nafasi za ma-ceo kwenye mashirika ya umma watakuwa wanafanyiwa interview ngumu sana na sio nyepesi
  4. Polepole: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma?

    Miongoni mwa hoja zilizoibua mjadala mkali kutoka kwa Balozi Polepole ni hili swali aliloliuliza: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma? Balozi ameeleza kuwa, pamoja na kuwa kila mtu ana haki ya kugombea, KUTOSHEKA ni msingi mojawapo wa misingi ya uongozi katika...
  5. PreGE2025 POTOSHI Rais mstaafu Kikwete anasema uchaguzi uliopita (2020) Ridhiwani Kikwete hakuwa na mpinzani ndani ya CCM

    Ndugu mstaafu kikwete amedanganya umma kuwa hata awali ridhiwani alipita bila kupingwa Si kweli. Ridhiwani alipingwa na ushindani ulikuwa mkubwa tu wa kutosha mwaka huu kubadili matokeo. Na huu hapa ni ushahidi. Si vizuri kwa mtu wa umri wake kusema amedanganya. Mila zetu haziruhusu. Ila mtu...
  6. Katibu Mkuu Kiongozi: Ili mtumishi athibitishwe au kupanda daraja atalazimika kufanya mtihani kupima uwezo wake

    Ili kuimarisha utendaji kazi katika sekta ya umma, Serikali imedhamiria kuanzisha mfumo wa upimaji kwa kutumia mitihani ya lazima kwa maofisa walioteuliwa au kupandishwa vyeo vya uongozi. Hatua hiyo mpya ni sehemu ya kuhakikisha watu wenye uwezo na uelewa thabiti wa shughuli za utumishi wa umma...
  7. Je, uliwahi kusahau kitu chako cha thamani kwenye usafiri wa umma, yaani Daladala, halafu ukakipata tena?

    Mimi binafsi nimewahi kushuhudia mtu akilia kwa uchungu baada ya kusahau pochi yenye kila kitu kadi, hela, vitambulisho kwenye siti ya daladala. Hakujua hata jina la gari, wala namba. Hakujua pa kuanzia. Kwa nini daladala zetu hazina mfumo wowote rasmi wa kutunza vitu vinavyosahaulika? Wakuu...
  8. Bashe umeudanganya Umma , nani mmiliki wa ndege ya kupuliia dawa?

    Nani ni owner wa hii ndege ya kupulizia dawa? Mwezi May tuliaminishwa kuwa serikali ya TZ imeinunuwa kwa hela nyingi sana. Current data zinaonyesha owner ni Africair walioko Miami, FL, USA. Britanicca
  9. GE2025 Polepole anageuka mbogo anapoulizwa maswali: Kinachomtesa ni kiapo chake cha utumishi wa umma, si barua

    Husika na mada tajwa hapo juu: Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema "Ee Mungu nisaidie" Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka mbogo pale anapoulizwa maswali magumu na waandishi wa habari hizi ni stress. mimi ninamshauri aombe...
  10. M

    GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  11. R

    GE2025 John Heche: Hatutapiga magoti kwa mtu yeyote, kama wewe ni kiongozi wa umma lazima ukubali ukosolewe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
  12. Watumishi wa umma leo naona ni vicheko tu huku mtaani, kuna siri gani?

    Naombeni mnijuze, mimi ni bodaboda hapa kazuramimba. Mji leo umechangamka, NMB pamefurika, baa zimechangamka. Leo ukipaki kijiweni dakika mbili tu mteja huyu hapa!! Leo kuna siri gani huko?
  13. K

    Ufafanuzi wa UDART tukio la abiria kupanda mwendokasi bila kufuata utaratibu

    🛑 TAARIFA KWA UMMA KUTOKA UDART KUHUSU UFAFANUZI JUU YA TAARIFA YA TUKIO LA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO HARAKA KUPANDA PASIPO KUFUATA UTARATIBU
  14. P

    DOKEZO Kero katika huduma ya afya

    Hospitali ya (w) Mpwapwa ni moja ya hospitali ya umma yenye duka lake la dawa. Cha kushangaza zaidi unakuta kwenye dirisha la dawa la hospitali hakuna dawa ila kwenye duka la dawa la hospitalini kuna dawa. Na zaidi mgonjwa anaelekezwa akanunue dawa kwenye hilohilo duka la hospitalini. Pili...
  15. Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana Kwaamaana October tunataka kutic Ni wapi alipo rais wetu Asanten sana LONDON BOY
  16. Ukubwa na umuhimu wa ccm katika kuiongoza nchi wajidhihirisha wazi kwa umma wa waTanzania

    Macho, maskio na shauku za waTanzania wote kutaka kujua au kufahamu kinachoendelea ndani ya makao makuu ya chama taifa ni kubwa mno. Watanzania wanatamani kujua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao chini ya uongozi madhubuti wa ccm imara inayoongozwa kisanyansi na Dr.Samia Suluhu Hassan...
  17. Bado Mungu anakupenda

    Hakuna DHAMBI tunayoifanya ipelekee kuchukiwa na Mungu wetu. Bado anakupenda sana. Ni hilo tu. Usiku mwema.
  18. Dkt. Mpango: Taarifa potofu zisizodhibitiwa zinaathiri imani ya umma kwa vyombo vya habari

    Akizungumza Julai 15, 2025 katika mkutano wa pili wa umoja wa mabaraza ya habari Afrika, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango alibainisha uwepo wa Taarifa Potofu zisizodhibitiwa kama changamoto inayokabili vyombo vya habari kwani inaweza kushusha kiwango cha Uaminifu kwa wananchi Ujumbe huo...
  19. J

    Circular na waraka za utumishi wa umma kwanini zinafichwa?

    Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa wataalamu wa utumishi wa umma hususani Maafisa utumishi wa umma hivi Kuna haja gani ya kuficha waraka mbalimbali zinazowaongoza watumishi wa umma katika kudai haki zao kama vile uhamisho, kufanya recategorization, kudai malimbikizo ya mshahara na posho Ikiwa...
  20. M

    No reforms no election, Tanzania simama kwanza, haki za watumishi wa umma na taasisi zote za kiraia zinahitaji REFORMS!

    Hata kama hatukubaliani sana juu ya kwa nini kunahitajika REFORMS hasa kwenye nyanja za kisiasa Lakini leo embu yatufikirishe haya yafuatayo Wabunge wetu wakikaa bungeni miaka mitano tu, Kiinua mgongo chao ni 400M, hapo hakuna cha aliye na shule na asiye na shule wote watalipwa mkwanja sawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…