Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.
Mwaka jana nilimtimua ofisini binti wa field aliyekuja na sketi fupi iliyokuwa inabada mpaka mistari ya chupi zake zinaonekana. Nikamwambia akabadilishe ndio arudi ofisini.
Januari nilienda ofisi moja ya umma kufanya kazi, moja ya afisa aliyetuletea nyaraka alikuwa amevaa jinsi ya kubana mpaka...
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo.
Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
Anonymous
Thread
ajira
ajira portal
akaunti
changamoto
hadharani
kati
kufungiwa
kuhusu
malalamiko
portal
taarifa
umma
yangu
Je, Mwajiri anaweza kuomba Mapitio (review) ya uamuzi wa Mh. Rais kwa Mh. Rais huyo huyo kwa kutaka kuongeza vielelezo ambavyo hakuviwasilisha kabla ya uamuzi, ambapo iliamriwa na Mh. Rais kwamba mtumishi arejeshwe kazini na kulipwa stahili zake zote?
My Take
Samia ataendelea kusalia kama Rais aliyefanikiwa sana kwenye nyanja ya Uchumi na biashara hapa Tanzania.
Mageuzi aliyoyafanya kwenye mashirika haya ya Umma yamefaulu ,hatutegemei tena hasara huko tuendko.
Bado mashirika machache sana mfano Air Tanzania na TTCL.
Pia soma Ojambi...
Watumishi wa Umma, Idara ya Elimu hasa Sekondari Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi hawalipwi fedha zao za likizo kwa wakati, wakati mwingine inaweza kuchukua hata miaka miwili ndio wanakuja kupata malipo.
Hata wakiomba kiwango fulani cha nauli, wahusika wanaolipa na malipo wanachofanya ni kukadiria...
Anonymous
Thread
baada
elimu
fedha
hata
idara
idara ya elimu
likizo
liwale
miaka
mwingine
umma
wakati
watumishi
watumishi wa umma
wilaya
zao
Suala la mgogoro wa ardhi Sagale imekuwa ni hekaheka wananchi wanataka suluhu ili mambo mengine ya kimaisha yaendelee kwani watu wameishajenga na wanaishi hapo lakini suluhu imekuwa ngumu kwani Kila wakienda Halmashauri Kwa ajili ya siala hili limekuwa likipigwa kalenda na tayari Mkuu wa Wilaya...
Mfumo wa ESS kwa watumishi wa Umma umekua na changamoto za mara kwa mara ..mara nyingi unakua down,je wanao simamia au walioleta huu mfumo hawakujua unyeti wa hili wanalo anzisha ?
Hawakujua kuwa mfumo unapaswa kuwa bora sana kuliko ulivyo sasa ..
Kumbuka huu mfumo ndio unaonesha uwajibikaji...
Anonymous
Thread
awajibishwe
changamoto
ess
mfumo
mfumo wa ess
nani
umma
watumishi
watumishi wa umma
Watumishi wawili wa kada ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga (Nindo), akiwemo daktari mmoja na muuguzi mmoja, wamepewa onyo kali na kuagizwa kuhamishwa vituo vya kazi kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa pamoja na ukiukwaji wa maadili ya kazi.
Hatua hiyo...
Umeitwanna tume ya Chande jana. Tueleze ulihojiwa kujusu nini na what is your take home message from your casual observation ya tume yenyewe! Inclination yake ni ipi?
Uliwahoji kwanini wanazima mtandao wasionekane wala testimonies za wahojiwa zisiwe public? That was the most important question
Solidarity forever.
Kumekua na malalamiko mengi sana ya watumishi wa umma hasa waliochini ya OWM-TAMISEMI kunyimwa stahiki zao na haki zao za msingi kama fedha za kujikimu,uhamisho,fedha za likizo n.k
Hii hupelekea kukosa msaada kutoka kwa waajiri wao ambao wengi hawao hawawajari wala...
Habari ndugu watanzania wenzangu, sera ya elimu kwa sasa katika shule za umma ni elimu bure yani wewe mzazi jukumu lako mzazi ni kumuandaa mtoto na kuhakikisha mtoto anafika shule, lakini katika uhalisia ulivyo kwa uchunguzi wangu unakuta michango ambayo unatoa ili mtoto apokelewe shule ukipiga...
Wakili mmoja kutoka Nairobi amefungua shauri katika Mahakama Kuu akiomba kutolewa kwa amri ya kusitisha magari ya usafiri wa umma (matatu) kupiga muziki wa sauti kubwa, akisema kuwa tabia hiyo inakiuka haki kadhaa za kikatiba.
Katika ombi lake, Wakili Samwel Barongo Nyamari amelaumu Chama cha...
Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
Jiandae kuwa mjasiria mapema kabla ya kustaafu.
Manyanyaso na majungu ya watumishi wenzako iwe chachu ya wewe kujiandaa kustaafu ili uweze kuwa huru.
Sina la nyongeza. Ila Walimu zingatieni huu ujumbe.
UDSM-Rais mstaafu, JK
Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein
SUA- Jaji Joseph Warioba
UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma
Ardhi University- Jaji Mohamed Chande
Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda
MUST- Abeid Amani Karume
Hapatakua na huruma, aibu wala haya katika kuwadhibiti na kuwasambaratisha katika harakati zenu za kujaribu kuvuruga amani na utulivu miongoni mwa waTanzania.
Binafsi nawatakia vijana na waTanzania wote sherehe njema za Christmass na heri ya mwaka mpya2026. Nawatakia matumizi mema na sahihi ya...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya watendaji na watumishi wa umma waache tabia ya kuzoea matatizo hasa katika sehemu zinazotoa huduma kwa wananchi.
Ametoa onyo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza na wagonjwa na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea mkoani...
Yaani upuuzi mtupu. Unakuta kijana anapewa swali na mwalimu wake.
Anatumia simu kwa akili mnemba ili kupata majibu.
Taifa linazalisha mabumunda. Ndio maana uwezo wa kuperfom umepungua sana.
Ofisi zimejaza mabumunda tupu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.