umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa afya matatani tuhuma za rushwa, Shinyanga

    Watumishi wawili wa kada ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga (Nindo), akiwemo daktari mmoja na muuguzi mmoja, wamepewa onyo kali na kuagizwa kuhamishwa vituo vya kazi kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa pamoja na ukiukwaji wa maadili ya kazi. Hatua hiyo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Peter Madeleka ueleze Umma ulihojiwa nini na tume ya Chande

    Umeitwanna tume ya Chande jana. Tueleze ulihojiwa kujusu nini na what is your take home message from your casual observation ya tume yenyewe! Inclination yake ni ipi? Uliwahoji kwanini wanazima mtandao wasionekane wala testimonies za wahojiwa zisiwe public? That was the most important question
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Aise nimeumia,hata la OFISI za UMMA kuamia Dodoma? Sawa mama yupo zenji yeye SI ni Rais?

    Mmeyabana ga mengi ya Rais Magufuli na Nyerere hata la kuamia Dodoma nalo pia?
  4. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Nashauri OWM-Tamisemi ifungue ofisi za kanda watumishi wa umma chini ya Tamisemi ni kama mayatima

    Solidarity forever. Kumekua na malalamiko mengi sana ya watumishi wa umma hasa waliochini ya OWM-TAMISEMI kunyimwa stahiki zao na haki zao za msingi kama fedha za kujikimu,uhamisho,fedha za likizo n.k Hii hupelekea kukosa msaada kutoka kwa waajiri wao ambao wengi hawao hawawajari wala...
  5. kanjuki

    JamiiForums Tanzania Kwenye hii michango ya shule za umma kuna harusi ya ufisadi

    Habari ndugu watanzania wenzangu, sera ya elimu kwa sasa katika shule za umma ni elimu bure yani wewe mzazi jukumu lako mzazi ni kumuandaa mtoto na kuhakikisha mtoto anafika shule, lakini katika uhalisia ulivyo kwa uchunguzi wangu unakuta michango ambayo unatoa ili mtoto apokelewe shule ukipiga...
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakili afungua mashtaka akiitaka Mahakama kuzuia usafiri wa umma (Matatu) Kupiga Muziki wa sauti kubwa, Nairobi

    Wakili mmoja kutoka Nairobi amefungua shauri katika Mahakama Kuu akiomba kutolewa kwa amri ya kusitisha magari ya usafiri wa umma (matatu) kupiga muziki wa sauti kubwa, akisema kuwa tabia hiyo inakiuka haki kadhaa za kikatiba. Katika ombi lake, Wakili Samwel Barongo Nyamari amelaumu Chama cha...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Sheria kuhusu sikukuu za kitaifa kwa watumishi wa umma

    Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tuwe tunajiandaa kustaafu mapema kabla ya miaka 55 au 60. Ujumbe huu muhimu kwa walimu

    Jiandae kuwa mjasiria mapema kabla ya kustaafu. Manyanyaso na majungu ya watumishi wenzako iwe chachu ya wewe kujiandaa kustaafu ili uweze kuwa huru. Sina la nyongeza. Ila Walimu zingatieni huu ujumbe.
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakuu wa vyuo vikuu vya umma Tanzania huwa ni wanasiasa, viongozi wa serikali au majaji wastaafu wazee?

    UDSM-Rais mstaafu, JK Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein SUA- Jaji Joseph Warioba UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma Ardhi University- Jaji Mohamed Chande Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda MUST- Abeid Amani Karume
  10. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Mwamficha hadi lini. Siye Tuna hamu kumwona mbele ya umma

    Tumemmisi walahi. Sio ahutubie mafichoni wala. Siye twataka ajitokeze kama afanyavyo Waziri wake. Nye nye nye tutafurahia nye. Wajua twampenda. Naye ajua. Sasa yanini kumvundika mafichoni Nye. Miye nawajuza leo. Twamhusudu kweli. Tumechoka kummisi kipenzi chetu. Atokemo hadhalani ahutubie...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ole wenu Magaidi na Mamluki mnaopanga kuvuruga amani na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi Dec.25.2025

    Hapatakua na huruma, aibu wala haya katika kuwadhibiti na kuwasambaratisha katika harakati zenu za kujaribu kuvuruga amani na utulivu miongoni mwa waTanzania. Binafsi nawatakia vijana na waTanzania wote sherehe njema za Christmass na heri ya mwaka mpya2026. Nawatakia matumizi mema na sahihi ya...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu: Watendaji na Watumishi wa umma acheni tabia ya kuzoea matatizo

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya watendaji na watumishi wa umma waache tabia ya kuzoea matatizo hasa katika sehemu zinazotoa huduma kwa wananchi. Ametoa onyo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza na wagonjwa na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea mkoani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kizazi hiki kinachosoma kwa kutumia Artificial inteligent lazima mabumunda yajazane kwenye ofisi za umma

    Yaani upuuzi mtupu. Unakuta kijana anapewa swali na mwalimu wake. Anatumia simu kwa akili mnemba ili kupata majibu. Taifa linazalisha mabumunda. Ndio maana uwezo wa kuperfom umepungua sana. Ofisi zimejaza mabumunda tupu.
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hizi zilizopack kwenye maofisi ya umma, yamelala taili, wanasubilia minada wajiuzie?

    Makonda aliwai endesha ZOEZI LA KUKAGUA vituo vyote vya polisi na kuamua kutengeneza magari yote yaliyokuwa vituoni kupitia. Sheria za private. Na alifanikiwa kwa kiasi kikubwa mnoo! Swali langu la msingi haya magari ambayo yamelala mataili mkayapaki hapo maofisini MWENU mwasubilia mjiuzie kwa...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii hawaadhibiwi, wanawajibishwa kwa kupuuza maslahi ya umma

    Kwa takribani kipindi cha miezi miwili sasa, nchini Tanzania kumeshuhudiwa kampeni za kimtandao zinazoendeshwa na baadhi ya watu maarufu na wanaharakati, zikihamasisha umma kusitisha kuzipa sapoti kazi za wasanii wa Tanzania. Kampeni hizi zimehusisha kutosikiliza nyimbo zao, kutohudhuria...
  16. Ze Heby

    JamiiForums Tanzania Mikopo isiyo na Riba kwa watumishi wa umma

    Habari ndugu watumishi wa sasa na wale watarajiwa Serikali huwa inatenga kiasi cha pesa kwa ajili ya kuwakopesha watumishi wake. Mikopo hii haina riba kabisa (ukiacha gharama kidogo sana za kuprocess). Lengo la mikopo hii ni kuwasaidia watumishi kupata fedha za kujenga nyumba, kununua usafiri...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika nimewakatia tamaa kwenye uongozi na maendeleo ya umma, Bado tuna damu za kutawala kichifu

    Muafrika ni mwanaharakati mzuri sana anapokuwa chini lakini akishapewa mamlaka ghafla mizimu ya kichofu humpanda. Mara ya mwisho kuona kunweza kuwa na matumaini ni kwa Raisi wa Zambia Hichilema nikasema hapa kuna matumaini ila kwa yanayoendelea nae kaanza kusulubu wanaompnga, Hapa kwetu siwezi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiliba: Lazima umma ijulishwe waanzilishi wa matukio batili Oktoba 29 ni wanaharakati

    Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 14, 2025 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amesema lazima umma kujulishwa wahusika na waanzilishi wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuata ambao ni wanaharakati "lazima umma ujue tutakuwa ni...
  19. mager6

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kutotoka nje D9 kwa tamko kwa Umma sio ushindi wa dola ni kashfa kwa serikali

    Wale waliotaka kuandamana Gz waliomba waandamane Kwa amani. Wangeruhusiwa ingesaidia kujua wanataka Nini. Kwa namna walivyo nificha siku Ile ni sahihi kusema watatafuta Plan C. Ikumbukwe walikuwa na kundi nyuma yao tuliite anonymous mbinu zote za kuchoma miundombinu na Mali za waliowahisi...
  20. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa umma ukipatikana mtupe taarifa

    Katika hali isiyokawaida, jana baada ya kumuona Simbachawene akiongea, sikutegemea usiku wa kuamkia leo ningerudi kwa taabu nyumbani. Nimefika Buguruni nikakuta watu wanakimbizwa na wanajeshi, wanawaambia wasitembee. Ilipofika saa saba usiku, mambo yalikuwa hivyo. Leo asubuhi natoka barabarani...
Back
Top Bottom