umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Umewahi kujifunza ujuzi gani kupitia Filamu?

    Tuongelee filamu kidogo.. Inasadikika kuwa baadhi ya movies (Filamu) ukitazama zinaweza kukufundisha ujuzi au masuala ambayo hukuwahi kuyafahamu kwa urahisi kabisa. Mfano movies zinazohusu masuala ya sheria/kesi zinapendwa na wengi sababu zinatoa elimu ya Sheria na mienendo ya haki huku...
  2. JamiiForums Tanzania Share hapa ushuhuda kama uliwahi kufikiria / kujaribu kujiua na ulichojifunza kinachoweza kusaidia wengine

    Miaka 10 iliyopita kuna kipindi nilikuwa nimejiandaa kujiua, nilipanga kabisa muda na siku, nilishaandika hadi barua. Sintosahau 2013 nilivyotaka kujiua nikiwa nimeshamaliza form 4 matokeo yametoka na nimefeli, nyumbani nipo nipo tu kama zigo, wazazi walilalamika kachoma pesa kunisomesha kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Umewahi kumpa makavu / kumchenchia bosi wako pale alipovuka mipaka

    Wahanga wengi wa manynyaso ya mabosi ni kwenye kampuni binafsi, biashara za watu binafsi, kuajiriwa kwa baadhi ya wahindi na wachina, n.k Mkasa wangu Kuna kipindi fulani nikiwa mtaani baada ya kumaliza chuo nilipewa connection sehemu ya kujishikiza kampuni binafsi mshahara laki 2, yani...
  4. JamiiForums Tanzania Kama umewahi kutumia haya majani ya chai na bado upo kwenu unagombea rimoti ya tv na wadogo zako jitafakari

    Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini. Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi...
  5. JamiiForums Tanzania Umewahi kula kitu gani ambacho hukuwahi kufikiria pale njaa ilipokukamata kisawa sawa

    Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa chuoni hela yangu ya matumizi kwa mwezi ndani ya siku 10 hivi, nlimpigia simu mhusika aliekuwa akinutumia pesa jibu nlilopewa ni "mbona mapema sana subiri mwisho wa mwezi". Hapo tayari nlikuwa na madeni kadhaa yani kukopa ilikuwa tabu. Basi ikifika mchana nlikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Umewahi kusumbuliwa na polisi kwenye biashara yako? ulipitia tabu zipi na kama uliweza kujinasua uliwezaje?

    Mapolisi wasio na weledi wakiamua kuingia kwenye biashara zako huwa ni wakorofi sana na ni hatari sana. Je uliwahi kukutana na usumbufu wao kwenye biashara yako. Kuna muuza laptops flani yaliwahi kumkuta alipoanza kununua laptops kwa watu wanaohitaji kuziuza, siku ya siku akauziwa laptop...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuona machinjio ya Nguruwe?

    Nyama ya nguruwe, ambayo inajulikana zaidi kama “kiti motó” inaliwa na kupendwa na watu wengi, lakini wanaweza kuwa hawajawahi kujiuliza machinjio ya wanyama hao yako wapi. Si machinjio tu, nguruwe hawaonekani kwenye minada ya kawaida ya mifugo. Huuzwa wapi? Kwa watu wanaoishi nje ya miji...
  8. JamiiForums Tanzania Umewahi kumkimbia mtu mliyejuana mtandaoni ile siku ya kukutana, umewahi kum-block baada ya kukutana, tupe mkasa!

    Nakumbuka enzi hizo nilijenga yrafiki na binti mkali acha tu, ilikuwa ni mtandao wa facebook, tulikuwa marafiki, alafu tukaja kupeana namba, hapo ndipo nilitupia ndoano na ndipo tukaingia rasmi kwenye mahusiano. Sio siri mtoto alikuwa na kisauti flani hivi cha upole mixer aibu, akiniita mpenzi...
  9. JamiiForums Tanzania Utofauti upi umewahi kuushuhudia kati ya anaepata ajira inayolipa vizuri akiwa bado kijana na yule ambae umri umeenda kidogo?

    Kuwahi kumaliza chuo sio kuwahi kuajiriwa achilia mbali kuajiriwa sehem inayolipa mshahara safi na marupu rupu kibao. Kuna wengine wanamaliza vyuo wana 22, ajira wanaingia taasisi kubwa wakiwa na 23, wengi wao niliowashuhudia pesa nyingi ilitumika zaidi kwenye magari. Wengine wanamaliza wana...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza vitu hivi

    SOMO: PARADISO, KUZIMU, JEHANUM/ZIWA LA MOTO, MBINGU MPYA, NCHI MPYA, MIAKA 1000, YERUSALEM MPYA Bwana Yesu Asifiwe karibu tujifunze tena, Tumaini la mkristo yeyote yule ni siku moja aende mbinguni, leo tujifunze vyitu hivyi ambavyo ni mhimu sana kuvijua KWA NINI MWANADAMU ANAKUFA? mwanadamu...
  11. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kutumia calculator ya tsh 370,000 -tsh 600,000?

    Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania, Nikiwa nimetua Tanzania kutoka urusi, kumalizia mambo yangu ya propaganda za kichumi za hapa na pale! nkakutana na maoligarchy wenzangu flani wa kibongo. sasa mmoja akanitonya kwamba kuna mchongo flani anataka kunipe kitengo mahali nikisimamie sema...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi umewahi kuhisi kuna upendeleo wa baadhi ya watoto kwenye familia yenu?

    Amen, T.G.I.F, wale wenzangu na Mimi wapenda weekend tunaijua ile feeling ya Ijumaa, Natumaini mpo salama, nimejikuta najiuliza hichi kitu maana ni situation ambayo nimekutana nayo sana kwa watu wengi, kuna ile namna unahisi kabisa kwamba kwenye familia yetu yenye watoto kadhaa, kuna kipenzi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Umewahi jiuliza kwanini tunapalilia mazao yakiwa bado ni madogo?

    Habari zenu wapendwa natumai mnaendelea vizuri na mimi pia sijambo Kwasababu kilimo pia ni sayansi basi hata mambo yanayofanywa kwenye kilimo huzingatia sana mambo pia yakisayansi Kupalilia ni sehemu muhimu sana katika kusaidia mazao yako kukua na kama usipo inzingatia hii stage basi na...
  14. JamiiForums Tanzania Umewahi develop software ama kufanya chochote na window subsystem linux/WSL kama mbadala wa VM na dual boot?

    Huwa siwezi kutumia linux completely kwenye mashine yangu haiwezekani, hivyo huwa nafanya dual boot Kwa Linux na window 10, baada ya kuona mapungufu kadhaa ya VM, ila kuna kipindi Microsoft walitoa WSL ambayo ina version kadhaa nadhani zimefika mbili mpaka sasa. Hii inasifika kwa kuwa na uwezo...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo gani ya fedheha umewahi kufanya kwasababu ya kufulia (kukosa Hela)?

    Pesa ni muhimu aisee, pesa hainunui Kila kitu ila inakamilisha mambo mengi sana, ikose ujue namaanisha nini. Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa sina pesa nlikuwa nashindia kiazi utamu kilichochomwa, nashushia maji ya bombani, hicho kiazi ndio msosi wa siku nzima. Nimewahi kukaa na chaja ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza, ikiwa ni CCM wanawatumia Polisi, au ni Polisi wanawatumia CCM?

    Hili suala la Hamza limenifanya nijiulize swali hili, hasa niliposikiliza kauli za viongozi wa Polisi kama IGP Sirro na viongozi wa CCM kama Mkuu wa Mkoa wa Dar Amos Makala. Je, inawezekana kwamba tofauti na tunavyofikiria, kwamba CCM wanawatumia Polisi, ukweli ni kwamba ni Polisi wanaowatumia...
  17. JamiiForums Tanzania Je umewahi kuuona mwandiko ya Jakaya Kiwete?, kama bado basi pitia hapa uuone

    Sio kila mtu amewahi kuuona mwandiko wa rais wake, ila kwa sisi wachache ambao kwa wakati fulani tumepata kuwasiliana na rais mstaafu Kikwete kwa njia ya maandishi basi tunaufahamu fika mwadiko wa JK. Hapa chini ni mwandiko wa JK alipomwandikia rais wa Uganda ndugu Yoweri Museveni. Muda sio...
  18. JamiiForums Tanzania Umewahi kukaa hoteli au sehemu na Kivulana cha tabia hii?

    Nipo Restaurant moja maarufu katikati ya Jiji. Mbele yangu kimekaa kivulana (ingawa anaonekana kuwa na umri wa kuitwa Mwanaume) kipumbavu. Toka kimefika kinapiga kelele kwenye simu kuonesha kinatukana wafanyakazi wake, kina ongea deals kubwa kubwa za millions of money na mizigo mingi iliyopo...
  19. JamiiForums Tanzania Umewahi kupigwa roba mtaani? Weka kisa chako

    Nakumbuka nikiwa Arusha nasoma chuo cha uhasibu miaka ya 2013 kama sijakosea, kuna siku nlishuka kituo cha SDA pale Njiro ili niende ghetto. Basi nimetembea kama mita kumi hivi njia nzima nipo peke yangu mara nasikia kuna mtu kama anatembeaa ila kwa vishindo kidogo sana, kucheki nyuma kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Je umewahi kupatwa na wivu uliokufanya ulie, usononeke au kuwa na stress kisa mapenzi, tiririka?

    Binafs nakumbuka kulikuwa na mtoto flani wa kipare alikuwa kanizikimikia sana yani, ilikuwa ni chuoni miaka kama 8 iliyopita. Basi mimi nnikavimba sana kichwa nikawa namletea mapozi flan ivi ili nioneka kidume ambacho ni ndoto ya wanawake, si mnajua tena vijana wadogo kwa kupenda sifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…