umeme

  1. JamiiForums Tanzania Responded HOJA Jirani zangu walikataa kuchangia nguzo ya umeme, sasa nimeileta mwenyewe wanalazimisha kuitumia na wao

    Naomba ushauri na kueleweshwa kutoka kwenu wana-JamiiForums wenye uzoefu au uelewa wa masuala ya umeme ukinunua nguzo (TANESCO). Ninaishi Katoro eneo ambalo naishi kwa muda mrefu halikuwa na umeme. Mwaka huu 2026 mradi wa umeme umefika, nguzo zimepandishwa na nyaya za msongo wa chini...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani na mnajua kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center

    Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini. Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO). Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani, ikizingatiwa sehemu hiyo kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center kinachotoa Huduma za...
  3. JamiiForums Tanzania KERO Kwa sasa ukiunganishiwa umeme Meter mpya zinakuja na deni la kodi ya ardhi la tangu mwezi Julai 2025

    Ni jambo linalofikirisha kidogo, wakuu salam sitatoa. Hali ya kutoheshimiana kati ya shirika la umeme Tanzania TANESCO na wateja wake imezidi kushamiri. Hivi inatokana na suala lisilo la kiungwana la shirika hilo kufunga mita mpya zikiwa na deni la pango la ardhi kwa miezi ya nyuma hata kama...
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi wanajitutumua kujijengea nyumba bora, kuvuta umeme na maji kwa gharama zao halafu Serikali inashindwa hata kuwajengea barabara tu

    Huwa nawaza sana hili jambo. Wananchi wanajitutumua kujijengea nyumba bora tena wengi wanafanya hivyo bila mikopo maana serikali haijatengeneza mifumo rasmi na rafiki ya kukopesha kwa ajili ya kujenga nyumba za makazi. Wananchi hao hao wanalazimika kulipia gharama za kuvuta huduma za umeme na...
  5. JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Tunduri umeme unakatika mara 20 kwa siku

  6. JamiiForums Tanzania TANESCO: Changamoto ya umeme kuisha haraka hakuna jibu la moja kwa moja bila kufanyika tathmini ya kitaalamu

    Wakati baadhi ya wateja wakilalama kuhusu kuisha haraka kwa umeme wanaonunua kupitia mfumo wa Luku, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema hakuna jibu la moja kwa moja bila kufanyika tathmini ya kitaalamu. Kwa mujibu wa waliotoa malalamiko, wamekuwa wakinunua umeme kiwango kilekile...
  7. JamiiForums Tanzania KERO TANESCO jamani kuzima umeme saa 9 usiku ndio nini sasa?

    Baadhi ya maeneo ya Dar usiku mkali wa leo TANESCO mmekata umeme. Ili joto + mbu ni mateso.
  8. JamiiForums Tanzania Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme

    Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi wa kutatua changamoto za usafiri hususani upande wa uchafuzi wa mazingira na unafuu wa gharama. Tafadhali serikali, najua vitu vingi mnaboronga lakini kuhusu hili la...
  9. JamiiForums Tanzania Tanesco sasa mnaleta matangazo pika kwa umeme unit ndogo mumeshindwa kupunguza bei za unit na kuboresha umeme.

    Sio mpenzi sana wa TV ,Leo tarehe 2 nipo nyumbani nikaona niangalie habari ITV. Sasa naona tangazo la Tanesco linaitwa pika kwa umeme,Yani wanajisifu majiko yana tumia unit ndogo yana uzwa tanesco. Ina maana Tanesco wameshindwa kutatua shida za umeme kufanya umeme kununulika kwa unit ndogo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bajaj za umeme kwa mikopo na cash

    BAJAJI ZA UMEME KWA MIKOPO NA CASH weka oda Yako sasa Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Nikiwa kama wakala wa mauzo Toka kampuni ya JAHA ELECTRIC VEHICLE INTERNATIONAL COMPANY LTD. Nspenda kuwatangazia kuwa kuna promotion ya bajaji au pikipiki za miguu mitatu zinazotumia...
  11. JamiiForums Tanzania TANESCO: Tunawashauri wateja wetu kununua umeme kupitia vituo vya mawakala wetu wa LUKU nchi nzima

    TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453. DODOMA, TANZANIA, SIMU 180 TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA MANUNUZI YA UMEME Jumamosi 27 Disemba, 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kumetokea changamoto ya manunuzi ya umeme (LUKU) hali inayosababisha wateja kushindwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tunafunga mfumo wa umeme kwenye magari bajaji na pikipiki

    Habari Kampuni mpya Toka china JAHA inapenda kuwatangazia watanzania wote wenye vyombo vya usafiri kuwa WANAOTAKA huduma ya kufunga mfumo wa umeme kwenye magari bajaji na pikipiki na kuwezeaha gari bajaji na pikipiki kuweza kutembea Kwa nishati ya umeme. Huduma ya kufunga mfumo wa umeme...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Kero ya umeme Kitongoji cha Kiharaka kata ya Mapinga, Bagamoyo

    Wananchi wa Kiharaka Mikocheni, Mapinga ambapo tatizo hilo ni kubwa sana, wanaitaka TANESCO kufanya marekebisho ikiwemo kuondoa watendaji wote waliopo sasa ili kuepukana na uzembe wa kukatikakatika kwa umeme katika kitongoji chao cha Kiharaka sambamba na shida ya kupata umeme mdogo(low Voltage)...
  14. JamiiForums Tanzania Gibson Kawago: “Dongfen eπ 008 kwa umeme wa Tsh 21,000/= unatoka Dar hadi Njombe!”

    Hayo amesema Mwanzilishi wa kampuni WAGA Motion inayohihusisha na kutengeneza miundombinu ya kuchaji magari ya umeme majumbani na kwenye makampuni. Hiyo Donfen ni kampuni ya Kichina inayotengeneza magari, na hii model eπ 008 ni REEV (ina engine na battery). Juzi kati kijana alileta Tesla...
  15. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Raddy Energy ya Tanzania kununua mitambo ya uzalishaji umeme kutoka Uswidi kwa Dola Milioni 320

    Kampuni ya Raddy Energy Solution Limited ya Tanzania imeingia makubaliano ya kununua mitambo minne ya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia wa jumla ya megawati 177 kutoka kampuni ya Siemens Energy ya Uswidi (Sweden) kwa thamani ya dola za Marekani milioni 320. Ununuzi wa mitambo hiyo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Maji na umeme umekushinda umebaki na mdomo “ Who are You” !

    Huyu Mama na Chama cha Mafisadi hadi leo watu hawana maji mji mkubwa watu wana nunua maji na mgao wa umeme. Tusishangae hawashindi mpaka kuiba kura maana ni nani mwenye akili zake atawapigia kura watu ambao hawawezi kuleta maji na kutegemea mvua kwa miaka 60! Walisema tutauza umeme nje leo kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kuanza ndani ya siku 100 maji yamekuwa tatizo sugu na umeme nao taratibu unaenda kuwa tatizo

    Je, hii ni dalili ya failed state? Kuanza na kuanza ndani ya siku 100 maji yameanza kuwa tatizo, nauli za mwendokasi zimeanza kupanda, umeme nao soon utakuwa changamoto. Dalili ya mvua mawingu, tutarajie makubwa zaidi ya haya.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Promotion ya Bajaji za umeme kwa mkopo na cash

    Habari Kampuni mpya ya jaha kutoka china imeleta bajaji mpya zinazotumia umeme, bajaji hizi ni bajaji za abiria na mizigo Bajaji ya abiria Bajaji za abiria zipo za aina mbili kuna kubwa na ndogo Bajaji kubwa Ina uwezo wa kubeba abiria saba na dereva wa nane Inachajiwa Kwa masaa manane Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Umeme muda sio mrefu utaanza kusumbua hivyo raia watalazimika kununua majenereta

    Kuna tetesi chini ya kapeti ,umeme utaanza kusumbua sumbua mara kwa mara na lengo kuu kwa walioshika mpini ni kufanya biashara ya majenereta. Hivyo basi, inasemekana pia hata hayo majenereta nayo yatapandishwa bei. Ngoja tuone, acha tutunze akiba ya maneno.
  20. P

    JamiiForums Tanzania KERO Teknolojia mpya ya LUKU (ya TANESCO) inakula sana umeme kuliko kawaida

    Kwa wale ambao mmefungiwa hizi mita mpya za digital ambazo wanazibadilisha kipindi mtakua mnajua kuhusu suala la UNIT kwenda speed kuliko zile mita za awali. Mfano mimi natumia umeme wa 50,000/ mwezi mzima na unit zinabaki kidogo. Lakini kwa sasa kwenye hizi mita mpya umeme huo wa 50,000...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…