umeme

  1. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kwa sasa (Machi 2025), Mradi wa JNHPP unazalisha jumla ya Megawati 1880 ambazo zimeongezwa kwenye Gridi ya Umeme ya Taifa. Baada ya mashine zote tisa kukamilika, inatarajiwa kuzalisha umeme kiwango cha Megawati 2115 kwenye Gridi ya Taifa ifikapo mwezi Mei...
  2. Submita kata Umeme

    Tumia unit zako mwenyewe bila kushea na wengine. Je unaishi kwenye nyumba ya kupanga na kuna changamoto ya matumizi Umeme? Au wewe ni mmiliki wa Nyumba za kupangisha na kila siku watu wanagombana kwa sababu ya Umeme? Basi suluhisho limepatikana. Fungia kila mpqngaji Submita ya kisasa...
  3. Kwa nini bwawa la umeme la Nyerere na DP World havijasaidia bidhaa na huduma kushuka bei ?

    Uchumi wa bongo huwa unashangaza sana, kuna wakati watu walikuwa wanasema bwawa la umeme likikamilika na Waarabu wa DP World wakianza kuendesha bandari itasababisha gharama za uzalishaji na uingizaji mizigo kushuka na kupelekea bidhaa kuwa bei rahisi ila haijawaha hivyo mpaka sasa!
  4. Umeme wa jua kuongeza unafuu Shinyanga

    UMEME WA JUA KUONGEZA UNAFUU SHINYANGA Mradi wa umeme wa jua unatekelezwa katika Wilaya ya Kishapu Mkoani wa Shinyanga unaendelea ambapo kwa awamu ya kwanza mradi unatarajiwa kuzalisha Megawati 50 na baadae Megawati 100 kwa awamu ya pili zitakazoongezeka na kufanya jumla ya Megawati 150...
  5. Kuvuta umeme kwenye nguzo za transfoma

    Naomba ishauri kama inawezekana ,najua humu wapo wazoefu na mafundi wenyewe. Nimejenga kajumba kakuishi sasa nimeweka bajeti ya umeme sasa nilisikia kuna kununua nguzo hilo mimi sikujali maana hapa jirani yangu ng'ambo ya barabara kama mita 20 pana transfoma hii ndio inasambaza umeme mtaa huu...
  6. Sagini ameagiza TANESCO na REA kueleza vigezo vinavyotumika kuunganisha umeme kwa Sh 350,000/-

    Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini ameagiza watumishi wa Shirika la Umeme (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Wilaya ya Butiama kutoa elimu kwa wananchi wa Sirorisimba juu ya vigezo vilivyotumika mpaka kufikia kutoa huduma kwa shilingi...
  7. Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme

    Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme Mwaka 2021 (Machi) Kilomita 6423.53 Mwaka 2025 (Februari) Kilomita 8141.38 Ongezeko la Kilomita 1717.85. Sawa na ongezeko la asilimia 27
  8. PreGE2025 REA yakamilisha miradi ya umeme vijiji 5,259

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), Mhandisi Hassan Said ametangaza kukamilika kwa miradi minne mikubwa ya umeme inayolenga kuleta nishati katika vijiji 5,259, ikijumuisha vijiji 4,071 na vitongoji 188, katika awamu ya tatu, mzunguko wa pili. Miradi hii ni sehemu ya juhudi za...
  9. E

    KERO Kiluvya Kwa Sumaye Hakuna Umeme

    Yaani Kiluvya kwa Sumaye, 4km kutokea barabara ya Njia 6 kweli hakuna umeme?. Nguzo 17 kuwasaidia wananchi wapate Umeme imekuwa ni changamoto? Napata mashaka na seriousness wa Tanesco Kibaha.
  10. Namtafuta mgunduzi wa umeme wa sumaku KAWE!

    Habari za waseee. Kama title inavyojielezea hapo juu, kuna mshua nilimuona youtube ametengeneza machine ya kufua umeme kwa kutumia sumaku , nimekuwa exicited kwakwel kuonana nae . Mwenye namba yake ya simu naomba , kwa maelezo ya kwenye video anaishi kawe. Youtube video...
  11. Mashine (ya kisasa )ya juice ya miwa inatumia umeme

    Specification zake 1.size 48*38*78 2 voltage 220/50hz 3. Three crushing rollers 4.material (Stainless) 4. Ipo na 3HP electric motors. 5. Uwezo 300kg kwa saa.bei 1,400,00 Ipo mtoni kijichi, mashine ni mpya kabisa
  12. Dkt. Doto Biteko: Bwawa la Mwalimu Nyerere lina uwezo wa kuilisha Nchi hii umeme peke yake

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Mashine ya tisa ya mtambo wa kuzalisha umeme katika Bwawa la Julius Nyerere Machi 22, 2025 imekabidhiwa na kuunganishwa kwenye Grid ya Taifa. Amesisitiza kuwa kutokana na ongezeko hilo la megawati za umeme Bwawa la Kuzalisha...
  13. Ofisi ya ya Serikali ya 'HUDUMA PAMOJA CENTER' haina jenereta? Umeme ukikatika huduma zinasimama

    Katika kuhakikisha wananchi wanapatiwa huduma za haraka bila usumbufu hasa kuepuka kutumia muda mwingi kwenye ofisi za umma, Serikali iliamua kuanzisha Kituo jumuishi cha huduma (HUDUMA PAMOJA CENTER) ambacho kina ofisi za taasisi mbalimbali za Serikali eneo moja. Miongoni mwa ofisi zinazotoa...
  14. PreGE2025 Serikali imesema mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 Iringa hadi Sumbawanga (TAZA) mbioni kukamilika

    Serikali imethibitisha kuwa mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 kutoka Iringa hadi Sumbawanga (TAZA) upo mbioni kukamilika, ukilenga kuunganisha Mkoa wa Rukwa na gridi ya Taifa. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa mradi huo utamaliza utegemezi wa umeme wa diseli katika...
  15. Unit moja ya umeme inatakiwa iuzwe sh 50 huku viwanda vikinunua kwa sh 20

    Kama Tanzania inataka kuachana na umaskini basi ni wazi unit moja ya umeme inatakiwa iuzwe sh 50 kwa matumizi ya wananchi na sh 20 kwa matumizi ya viwanda Faida ya unit kuwa bei ndogo Ukuaji na kuongezeka maradufu kwa shughuli za viwanda Ukiajia wa biashara Kuongezeka mapato serikali Mfano...
  16. Wananchi Njombe waomba kasi kuongezwa katika Usambazaji wa Umeme Vijijini (REA)

    WANANCHI wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme wameiomba serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme katika kaya zao ili waweze kuutumia kwa shughuli za kiuchumi na kijamii. Hayo yameelezwa...
  17. PreGE2025 MIZANIA Usambazaji wa Umeme umefikia asilimia 100 ya vijiji vya Tanzania

    Wakuu Salama? Katika pitapita zangu mtandao wa X nimekutana na Post hii ambayo inadai usambazaji wa umeme kwa vijiji vya Tanzania ni asilimia 100, na nimkekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema hilo. JamiiCheck mtusaidie hapa ni upi uhalisia?
  18. Umeme wa Bwawa la Nyumba ya Mungu

    Hivi lile Bwawa la Nyumba ya Mungu halizalishi tena umeme? Kama linazalisha kwa nini umeme wake usitumike huko Kaskazini kujazia huo unao pungua? Naona kama TANESCO wanakuja na miradi mipya miingi kuliko kipindi kile tukiwa na tatizo kubwa la umeme kama vile wana justify matumizi ya hela...
  19. Tanzania inauwezo wa kuzalisha megawatts 100,000 na zaidi za umeme

    Tanzania inauwezo wa kuzalisha umeme wa megawatts zaidi ya 100,000 hii inatokana na vyanzo vya umeme vilivyopo kama vifuatavyo Uwepo wa gesi asilia Uwepo wa makaa ya mate Uwepo wa upepo singida na same Uwepo wa jua (solar power) Hivyo vyanzo vinne vinauwezo wa kuzalisha megawatts zaidi ya laki...
  20. Tanzania kununua umeme kwene nchi masikini zaidi duniani Ethiopia?? Nawaza sipati jibu

    Nchi yetu tulipaswa tutawaliwe miaka 200 tena. Bado kabisa yaan
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…