Huwa nawaza sana hili jambo. Wananchi wanajitutumua kujijengea nyumba bora tena wengi wanafanya hivyo bila mikopo maana serikali haijatengeneza mifumo rasmi na rafiki ya kukopesha kwa ajili ya kujenga nyumba za makazi.
Wananchi hao hao wanalazimika kulipia gharama za kuvuta huduma za umeme na...
“Toka nimeingia Mtwara kila jimbo nasikia watu wanashukuru kwa maendeleo. Wale wanaosema hakuna maendeleo, elimu, afya, umeme na maji kwao si maendeleo kwa sababu wameshazoea. Lakini kwa sisi vijijini hayo mambo ni maendeleo tena makubwa. Hatuwezi kuyapuuza,” amesema Dkt. Samia.
Amesisitiza...
Ouagadougou, Burkina Faso – Serikali ya Burkina Faso Chini ya Rais Ibrahim Traore imetangaza kuwa wazee hawatalazimika tena kulipia huduma za umeme na maji. Tangazo hilo limetolewa na Kiongozi wa mpito wa nchi hiyo, Ibrahim Traore, ambaye amesema kuwa huduma hizo zitakuwa bure kwa wazee wote...
Ukimsikia mwana CCM yeyote akikwambia kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya halina mamlaka ya kutujadili au kutuambiwa chochote muangalie tu kwa kumsikitikia alafu mwambie kuwa, Bila Umoja wa Ulaya na Nchi zake hadi leo takribani nusu au zaidi ya nusu ya Watanzania tusingekuwa na huduma za Maji wala...
Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo)
Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree
0695252896
Changamoto hii imekua khbwa sana katika Maeneo mengi ya vijijini kutokana na ukosefu wa elimu na ujasiri kwa wananchi haswa waishio vijijini hata pale wanapofika viongozi wa kitaifa kwa kua huogopa kuchukuliwa hatua na viongozi wa ngazi ya mtaa na vijiji
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini upigaji na madudu yanayofanywa katika vituo mbalimbali vya mabasi hapa nchini.
Kupitia Ripoti Kuu ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyotoka hivi karibuni, pia amesema kuna uendeshaji...
Habari za muda huu ndugu zangu,
naombeni msaada wenu, nimenunua nyumba mwezi mmoja sasa hapa jijini dar es salaam, mita ya maji na lukuya umeme inasoma majina ya mwenye nyumba wa zamani (ambaye ameniuzia mimi), nilikuwa naomba utaratibu wa kufata ili niweze kubadili majina pamoja na namba ya...
TRA Tanzania hii hoja naiweka mezani kwenu.
Mnakusanya kodi kwa niaba yetu ili tuweze kuwekeza kwenye maendeleo ya nchi.
Lakini sasa, serikali inashindwa kuprovide umeme wa uhakika na kupelekea gharama za uzalishaji kuwa juu kwa sababu ya kutumia vyanzo mbadala vya nishati ya umeme.
Anguko la...
Je, bado kuna shida ya kukatika kwa umeme au maji!?
Je, mwenezi Maul Makonda amepita eneo lako!?
Je, shida zako zimetatuliwa!?
Umati huu ulimfananisha mwenezi Paul Makonda na hayati Rais Magufuli, je wewe una maoni gani!?
Je, umefarijika na ziara anazofanya mwenezi paul makonda kutatua...
Ni Aibu Sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame. Tuna week ya tatu sasa mvua kubwa zinanyesha kila mahali nchini halafu unashangaa Dar haina maji.
Nimepita mikoani mvua kubwa sana zinaendelea kunyesha lakini umeme unakatwa Tu. Huu ni Ujuha na kiwango kikubwa cha...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La
Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza...
ccm propaganda machine
januari makamba
kuhusu
kulaumu
mabwawa
maji
mgao
mgao wa umeme
mgawo
mvua
mvua za el nino
samia suluhu hassan
siasa na uongo
tanesco
umemeumemenamaji
Nakaa chini najiuliza kila Mara haya mambo mawili yatakwisha lini nchini mwetu?
Swala la umeme limekua sugu Sana huku Mwanza hazishiki siku mbili lazima mshinde masaa 12 Bila umeme na hii inachukuliwa kama sababu pia maji hayapatikani kabisa. Miaka 60 ya uhuru.
Hivi nikwanini huu umeme Kama...
Salaam Wakuu,
Nape Nnauye aliwahi kusema "Bahari imetulia, Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi".
Kuna utawala uligubikwa na Sintofahamu ya Watu kupotea, kufa, kubambikiziwa kesi.
Utawala uliteneza kundi la watu wasiojulikana ambao kazi yao ilikuwa kumshughulikia yoyote atakayekuwa na Mawazo mbadala...
UHABA WA MAJI KUPELEKEA MGAWO MPYA WA UMEME?
Kwa wale wasiofahamu, uhaba wa maji nchini unaodaiwa kutokana na ukame uliosababishwa na ukosefu wa mvua kwa muda mrefu (mabadiliko ya Tabia ya nchi), una madhara ya moja kwa moja kwenye upatikanaji wa umeme hapa nchini.
Hii ni kutokana na maji kuwa...
Hiki kinachoendelea kimyakimya ni mchakato wa kuturudisha kuleee miaka ilee ya 2005, 2006, 2007...... miaka ambayo Dar Es Salaam na Tanzania kwa ujumla ilikua imepambwa na mikokoteni ilishosheheni madumu ya korie yaliyobeba maji na magari yenye matank ya maji kila kona.
Kwa kasi ya ajabu...
Ningekuwa ni mpinzani wa kweli ningesema kweli daima kwamba wananchi hawahitaji katiba mpya sasa zaidi ya wanavyohitaji maji, umeme na huduma bora za afya na elimu.
Nikiwa kama mpigakura sihitaji mgombea anipe ahadi ya katiba mpya sasa, nitahitaji aniambie ni namna gani atapambana na hali yangu...
Habari za Leo ndugu jamaa na marafiki natumaini mko poa sana,
Suala lilionifanya kufungua uzi huu ni kujadiliana au Angela kurekebishana au kupeana elimu,
Hivi inawezekanaje kwa nchi iliopewa uhuru wake miaka 60 iliopita mpaka Leo umeme na maji ikawa kero kwa wananchi wake?
Tuchukulie hii...
Tunahitaji kubadilisha muonekano wa fedha zetu sasa, hizi zimesha chakaa na zimeshatuchosha.
Kwa miaka zaidi ya kumi tumekuwa na muonekano huo huo hii ni aibu ya taifa.zania Zinahitajika kubadilishwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.