Miaka 60 ya uhuru lakini umeme na maji bado ni changamoto kubwa

mswele

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
687
413
Habari za Leo ndugu jamaa na marafiki natumaini mko poa sana,

Suala lilionifanya kufungua uzi huu ni kujadiliana au Angela kurekebishana au kupeana elimu,

Hivi inawezekanaje kwa nchi iliopewa uhuru wake miaka 60 iliopita mpaka Leo umeme na maji ikawa kero kwa wananchi wake?
Tuchukulie hii nchi wangepewa wahindi,warabu,wazungu au wachina miaka 60 iliopita na rasilimali zake wangekua wanakero mpk Leo kama hivi sisi au??
 
Back
Top Bottom