umekuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Mradi wa REA umekuwa ukitukosha, Lakini iweje TANESCO wanatuuzia nguzo Tzs 500,000 Arusha Vijijini?

    Rais wetu, unastahiki kila aina ya pongezi kwa maono yako ya kuondoa giza kwenye kila kona ya nchi kwa miradi ya umeme vijijini. Lakini kwa sasa TANESCO Arusha wanatoza zaidi ya sh. 500.000 iwapo utahitaji nguzo moja, na hadi 600,000 kwa umbali wa nguzo mbili. Sasa huyu maskini anayeishi...
  2. L

    Mwaka 2022 umekuwa mwaka mgumu sana kuwahi kuushuhudia ndani ya miaka 40 iliyopita

    Gharma za bidhaa zilikuwa juu naona na mwaka huu bado zimeendelea kuwa juu. Bidhaa za muhimu sana zaidi ya mafuta zimekuwa bei ghali, CHAKULA. Sihitaji kutaja bei kwani kila anajione janga hili. Sasa najaribu kutafakari nini chakufanya ili hali hii isiendelee kuumiza watanzania hasa wa kipato...
  3. B

    Jana Nimevamiwa huku Qatar. Usalama wangu umekuwa hatarini. Wakiendelea hivi Nitaondoka kwa kweli

    Kwa kweli jana nlikuwa na hali ngumu sana. Haraka ilibidi niite walinzi wangu waliokuwa mapumziko Dubai. Nlipokuja Qatar sikupenda kabisa watu wanijue nina pesa. Ndo maana nlikuwa natembea na watu wachache tu. Secretary wangu, Katibu,Mwanasheria na Daktari wangu. Hawa watanzania of course sasa...
  4. R

    Rais Samia tafadhali iheshimu Katiba maana wewe umekuwa Rais by Default kwa Katiba kuheshimiwa na kupiganiwa, ipiganie Katiba

    1. Ruhusu mikutano ya Siasa iendelee maana iko Kikatiba na kisheria. 2. Heshimu Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo 3. Waondoe akina Halima na wenzake bungeni. hawana uhalali wa Kikatiba na Kisheria kuwa pale na wewe unajua fika...
  5. Mlalamikaji daily

    Mshahara Serikalini umekuwa wa Mgao, tunakwenda wapi?

    Inakuwaje Hadi Leo Kuna watu hawajapata mshahara wao? Inakuwaje mshahara unatoka Kwa mafungu? Angalu basi ingetofautiana dakika na masaa tu lakini sio sawa wengine Toka tar 22 wamepata mshahara na wengine Hadi Leo Kimya. Mwigulu hebu jitafakari
  6. Daktari wa Manchester

    Je umekuwa ukihangaika kuifahamu fedha ya kidijitali? Leo utaifahamu kwa undani zaidi

    Hebu fikiria Denis na Caroline wanataka kwenda jiji la Manchester kushuhudia mechi kati ya Chelsea na Arsenal ili waweze kuenda inabidi walipie nauli ya ndege ambayo Itasaidia kufika kule na itabidi walipie kupitia Mastercard ila kutokana na hitilafu inapelekea wote kushindwa kufanya malipo ila...
  7. Kulupango

    Mtandao wa Quora unawezekana ukawa sababu ya wakristo wengi wa Ulaya kusilimu na kuwa Waislamu

    Ikiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani, Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain...
  8. M

    Suala la Wakimbizi wa Ukraine: Ubaguzi wa rangi wa wazungu umekuwa dhahiri

    Tatizo la wakimbizi halijaanza Leo wala halijaanzia kwa wakimbizi wa Ukraine! Wanavyofanyiwa kwa uungwana wakimbizi wa Ukraine na mataifa ya ulaya ni jambo zuri sana! Swali ni je kwa nini wakimbizi wengine waliokuwa wanakimbilia ulaya toka nchi za mashariki ya kati na afrika ya kaskazini...
  9. M

    Rais Samia anasema Uchumi wa Tanzania umekuwa sana na Watanzania sasa wana hela nyingi na Miradi mikubwa ipo na mingine inakamilika

    Kumbe Watanzania wakiwa katika Mgawo wa Umeme, Maji ya shida, Tozo za kila aina Kuongezeka na Mfumuko wa Bei na hata wa Bidhaa nao Kukua, Ajira kutopatikana, Benki zikitoa Mikopo kwa Riba Kubwa na Kiwango cha 'the haves' and 'the haves not' nchini Tanzania kikiongezeka kwa Kasi ndiyo tafsiri...
  10. Tony254

    Uchumi wa Kenya in the first half of the year 2021 umekuwa by an average of 5.4 %

    In the first quarter, uchumi wa Kenya ulikuwa by 0.7%. In the second quarter, uchumi wa Kenya ulikuwa by 10.1%. Kwa hivyo average in the first half of the year inakuwa 5.4%. Officially Kenya is no longer in recession due to two consequtive quarters of growth. ====== Economy rebounds 10.1pc in...
Back
Top Bottom