umaarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC hatutaki kuwa Bingwa wa Umaarufu Mitandaoni, bali tunataka Ubingwa wa NBC, CAFCC au CAFCL tu

    Leo Klabu ya Simba imekabidhiwa Tuzo ya Klabu Bora kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania ambayo imetolewa na kampuni ya Serengeti Bytes. Tumeshinda tuzo hii baada ya kuvishinda kura vilabu vya Azam FC, Mbeya City, Ruvu Shooting na Yanga SC. Chanzo: Simba SC Tanzania Mnatumia nguvu Kubwa kufanya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naungana na watanzania wengi wanaomlaani Dk. Kigwangalla kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa kumchafua Mo Dewji

  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga amzidi William Ruto kwa umaarufu kuelekea uchaguzi mkuu

    Umaarufu wa Mgombea Urais Nchini Kenya anayewakilisha Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga, umeongezeka mara baada ya kumchagua Martha Karua kuwa mgombea Mwenza. Odinga amepata kura 39% wakati mpinzani wake katika uchaguzi huo William Ruto ambaye alimtaja Rigathi Gachagua kuwa Mgombea...
  4. JamiiForums Tanzania Wewe ukifanya Kazi ya Polisi na TAKUKURU na Wao wafanye Kazi gani? Hebu tutafuteni Umaarufu kwa kufanya Mambo yenye Tija Kimantiki Kitaifa

    RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza mfanyabiashara (hakutaja jina) aliyechukua tumbaku za wakulima bila kuzilipia arejee Tabora mara moja kwa ajili ya kulipia tumbaku alizochukua kufuatia malalamiko kuwa wakulima hawajalipwa tangu mfanyabiashara huyo achukue tumbaku hiyo. Chanzo: habarileo_tz...
  5. JamiiForums Tanzania Mtaa wenu una umaarufu gani?

    Huu mtaa wetu mi nadhani Malaika hapa wanatembelea masaa 24,Maana nyumba za Ibada km zote zimepangana zinashindana vipaza sauti tu ... Vp huko kitaani kwako?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jafe na Kunze umaarufu wao unatokana na nini?

    Hawa madogo naona wanatrend sana umaarufu wao unatokana ja nini mpaka wanapewa vipindi na kupewa dili mbalimbali
  7. JamiiForums Tanzania Tukio gani ulifanya shuleni likakupatia umaarufu kipindi hicho

    Kwa wale wazee wa matukio shuleni ebu tupe tukio ambalo shuleni lilikupa umaarufu kipindi hicho ukiwa shuleni
  8. JamiiForums Tanzania Jionee umaarufu wa Mayele Simba

    Mayele style imeteka Soka la Tanzania. Nini maoni yako kuhusu hiki akifanyacho mchezaji huyu wa Simba?
  9. JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Mbowe wazidi kupanda. Sasa hivi watu wanamchukulia kama mpigania haki na ukombozi

    Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania. Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania. Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
  10. JamiiForums Tanzania Picha 10 maarufu zaidi duniani: nini kipo nyuma ya umaarufu huu?

    Ni picha zilizochorwa na wasanii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kisha kufanyiwa copy na kuuzwa sehemu mbalimbali duniani. Picha hizi kila mwaka zinaingiza mamilioni kwenye majumba ya maonyesho ya sanaa. Nini sababu hasa inayowavutia watu kote duniani 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9...
  11. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anatafuta umaarufu kupitia jina la hayati Magufuli. Watanzania walishampuuza kwa sababu hana msimamo

    Anajua akimchafua Magufuli labda atapata kiki maana sasa wapinzani na wanaCcm kwa ujumla walishamchukia na kumuona ni tapeli la kisiasa lenye kujali matumbo yake. Amejaribu kuonyesha na kuchambua juu ya namna Kabanga nikel ilivyouzea kwa hasara lakini amepuuzwa na wananchi. Zile zama zake za...
  12. JamiiForums Tanzania HATA DIAMOND KASHINDWA KUFIKISHA VIEWS MILION NDANI YA SIKU!! MABANDO YATAZIKA UMAARUFU WA SANAA YETU AFRICA.

    Mods tafadhalini msiwe mnaunganisha uganisha thread zetu kwenye nyuzi za zamani, Kiutani utani sanaa yetu naenda kufutika katika ramani ya Africa, Sanaa yetu ya muziki ilikuwa inapaa kwa kasi ila kwa sasa haya mabando yamekata mbawa. Hata hizo tuzo za bet, views zilikuwa na nafasi yake kumpa...
  13. JamiiForums Tanzania Tujifunze kushukuru! Zitto hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu tangia zamani

    Niwakumbushe nyinyi mlioingia kwenye siasa juzi, mjue kwamba Zitto kwa kumuomba rais amwachilie mbowe hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu wakati ambao hawa wanaopiga kelele wote hawapo. Zitto kabla ya Lissu alikuwepo na alikuwa maarufu, kabla ya mnyika, Kigaila Heche, Msigwa, Sugu na...
  14. JamiiForums Tanzania Niliwasha Moto mahali kwa bahati mbaya ukaunguza nyumba 300

    Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe. Sipendi ujinga. Kisa Cha kwanza. Meya wa mji x aliniita lofa mbele ya watu...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hili la wamachinga litawapa umaarufu wanasiasa waliopoteza mvuto. Watasema "umepiga mchache"

    Ndugu zangu wanaJF! Rais wangu SSH ninaona ugumu huko mbeleni kisiasa.Kumbuka kabla ya uchaguzi Mkuu mwaka 2015 wana-CCM tulikuwa hatuwezi kukatiza mitaa ya majiji makubwa tukiwa na sare au fulana kwani tulizomewa na baadhi waliambulia vipigo.Siasa za manispaa na majiji makubwa zilitekwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Nauona mwisho wa umaarufu wa Sunday Haji Manara

    Simba ni club kubwa Sana na yenye kila Aina ya ushawishi. Ukikosana na Simba tegemea nux na anguko vitakuandama. Toka Bugatti kahamia yanga ni mikosi tu inamuandama yeye na timu. 1.Kufungwa kwenye Yanga Day. 2. Aliyewafunga Ana jina baya. 3.Tukio la mama J. (Kashfa) 4. Kufungwa na Rivers ya...
  17. JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli aliwatumia wamachinga ili kujizolea umaarufu wa kisiasa, hakuwa na huruma na wamachinga

    Tuliyasema haya wakati akiwa hai na tutayasema wakati huu ambao hatunaye. Kwanza Wamachinga hawakuzi uchumi wa nchi hii kwa kiwango kikubwa bali wanaukuza uchumi wa China, India na Thailand maana huko ndiko zitokazo bidhaa wanazouza. Serikali ya Magufuli iliwatumia wanyonge kama mtaji wake...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anatafuta umaarufu wa kisiasa au kidini?

    Mnamo tarehe 29/08/2020 Askofu Josephat Gwajima aliwaeleza waumini wake kuwa ana ‘kitu’ ndani yake kilichomuambia asikalie kiti na kutumia kipaza sauti alichokuwa amepangiwa na mwenyekiti wa kamati ya wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge. Kwa tafsiri nyingine ni kuwa Kamati ya Bunge...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani: Umaarufu wa Biden washuka baada ya Mji wa Kabul kutekwa na Taliban

    Umaarufu wa rais wa Marekani Joe Biden umepungua kwa asilimia saba na kufikia kiwango chake cha chini baada ya Taliban kuchukua udhibiti wa Afghanistan, kulingana na uchunguzi wa Shirika la Habari la Reuters / Ipsos. Baada ya mahojiano yaliyofanywa na raia kadhaa wa Marekani siku ya Jumatatu...
  20. JamiiForums Tanzania Kama aliyepita alipigwa muhuri wa udikteta akaanguka, jina la Jezebel linaanza kupata umaarufu taratibu hiyo ni ishara mbaya

    Kama kawaida yetu sisi wapenda nchi hii kwa uzalendo usio na Shaka. Tunakuja Tena na maonyo ya kuonya na kuwakumbusha watawala. JINA LA UDIKTETA ALIWEKEWA NALO MUHURI ALIEPITA MPAKA AKAFA NALO. JINA LA JEZEBEL LINAANZA KUPATA UMAARUFU NA WASIOSOMA BIBLIA SASA WANAANZA KUMTAFUTA JEZEBEL ALIKUWA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…