Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Said Idd (katikati), Meneja wa Yas Kanda ya Kati Frank Anthony (kushoto), na Meneja wa Mixx by Yas Kanda ya Kati Charles Gasper (kulia) wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya kitaifa ya “Anzia Ulipo” iliyozinduliwa jijini Dodoma Julai 16 mwaka...
Kama we ni mwanaume mwenye kibamia na unajiona mnyonge kutokana na maumbile yako basi ondoa shaka
Tafiti zinaonyesha wanaume wenye uume mdogo(kibamia) ni vigumu sana kupata magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI pindi wanapofanya ngono na mwanamke kwasababu ni vigumu kupata michubuko wakati wa tendo...
Tunakujua toka ukiwa katika Tume ya Katiba na kabla ya hapo kuwa MTETEZI MKUBWA WA HAKI.
Baadaye ukaja kwa Magufuli ukawa sehemu ya KUZIMA HAKI /DHULUMA YA HAKI......
Magufuli kafa, ukakosa CHEO ULICHOKITEGEMEA, UKAANZISHA DARASA LA SIASA. Ukateuliwa kuwa balozi....ukaenda, ukabadilishwa...
KAMPUNI ya mawasiliano ya Yas, imezindua rasmi jukwaa la Anzia Ulipo Biashara Expo, katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba.
Lengo ni, kuwa jukwaa mahsusi kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali chipukizi kuonyesha biashara zao na kupata ujuzi wa kukuza shughuli zao...
Mwambao wa pwani, Hapa toka jana 24/6/2025 saa mbili USIKU ni mvua mpaka SASA HIVI leo. Usiku mzima ilikuwa ndogo ndogo. Since morning up to now, it has been raining cats and dogs
Habarin wakuu
Kwanza kabisa mimi ni mkatoliki pure, nimekulia na kulelewa katika misingi ya imani..
Kama ujuavyo tena sisi wakatoliki sio watu wa kusoma biblia, mara nyingi tunaskiliza tu mahubiri na kusomewa neno halafu ndo inakua imetoka hiyo.
Kuna mwaka fulani nilibahatika kukaa na watu...
Wadau Nina maswali machache hapa ningependa kufahamu:
1. Chanzo cha Dini: Ilianzia Wapi?
Je, dini ziliundwa na Mungu au binadamu? Je, zilitokea lini na kwa nini kila tamaduni ina dini yake? Kabla ya Uyahudi, Ukristo na Uislamu watu waliamini nini?
2. Kabla ya Yesu (na Mitume), Watu Waliamini...
Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ambaye alifariki wiki iliyopita akiwa nchini Afrika Kusini, imedai kuwa marehemu aliacha maelekezo mahsusi akitaka Rais wa sasa, Hakainde Hichilema, asijihusishe kwa namna yoyote na shughuli za msiba wake wala kuwa karibu na mwili wake.
Kwa...
edgar lungu
familia
hakainde hichilema
hayati
kizungumkuti
kuhudhuria
lungu
mazishi
msiba
mstaafu
mwili
rais
rais mstaafu
rais wa zambia
ulipo
wake
wosia
zambia
Mkurugenzi wa Yas Zanzibar, Ndugu Aziz Ali Said akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi uliofanyika jana Zanzibar.
Katika hatua nyingine ya kuimarisha na kuendeleza nafasi yake kama kinara wa mapinduzi ya kidijitali nchini, Kampuni ya Mawasiliano ya Yas imezindua rasmi kampeni ya “Anzia Ulipo”...
Kwa bahati mbaya kuna watu badala ya kuoa mke ila wanajikuta wanahudumia mke na familia nzima yaani hii ni utake hsitake.
Hasa ukiaa muoga kuaachana wanahamiavwote kwako.
Ni mwanamke ninayempenda sana. Nampenda Sylvia mwanamke aliyewahi kuvuma katika tasnia ya urembo nchini Tanzania.
Kwa sisi wanaume tunaojua mrembo ni nani huyu this woman is real, nampenda
Nilihudhuria mashindano yake mengi akiwa anagombea umiss Hadi akashinda, she is a Lady, a queen, a...
Bwana Marlow popote ulipo kama una mpango wa kurudi kwenye Bongo Fleva jaribu kufanya remix ya wimbo wa Bado Umenuna.
Huu wimbo watoto wa 2000 bado hawajausikiliza.
https://youtu.be/hV7ECjCPBbQ?si=_YJETZ1JYb4nOiUD
Hellow wakuu
Huu ni uzi wa namna ya kujikimu kimaisha kwa mwana JF, Mtanzania sehemu yeyote alipo
Ipo hivi..
Hapo hapo ulipo kuna watu wana njaa ila hawataki kupika, kuna watu wanahamu na makande wanayapenda ila hawana mahindi na mkaa
Kuna wachaga wengi ila hawana pa kujumuikia kupata mbege...
Wadau wa JamiiForums! ⚽️ Karibu Kariakoo! Tumeleta jezi za timu za Ulaya (Arsenal, Liverpool, Man United, n.k.) kwa bei za jumla! Hii ni fursa kwa kila mtu kupata jezi za timu pendwa kwa bei nafuu. Tunatuma mikoani na nchi jirani kama Congo, Zambia, na Malawi!
Bei ya jezi moja ni TZS 15,000 tu...
Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House
Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na Antonio Costa wanamhakikishia kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky uungwaji mkono usioyumba wa...
Ndugu jamaa na marafiki wa Mh Jumaa.
Huyu kijana wenu anamuangusha Rais, maji hakuna. Sio kwa walala hoi tu hata wanyama hawapati maji. Ndh Aweso unamuangusha huyu mama yetu.
Imagine watu wanatajabhata majina ya mitaa yao. Kimya . Hakuna ufumbuzi
Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata tone hakuna
1. Mwambao wote wa Bahari ya Hindi
Habari wanajamii forum kwa wale Wenye changamoto ya kiufundi kama TV,JBL SPEAKER, NA HOMETHETA unaweza nitafuta kwa namba 0655226738. Nafanya kazi kwa uaminifu mkubwa sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.