ulipo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ragin

    Popote ulipo Flaviana Matata

    Toka post yako ya mwisho nov 2022 umepoa sana tumemiss harakati zako.. mwenye anajua aliko atujuze huyu cerebrity.
  2. saidoo25

    Chongolo umewasahau waliokufisha ulipo unaanza kuwadhalilisha

    Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo amekunuliwa akionyesha kutoridhishwa na utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi. Kwa ambao hamfahamu masuala ya CCM Bashe ndani ya Chama ni Kiongozi mkubwa kuliko Chongolo na...
  3. Prakatatumba abaabaabaa

    Huko ulipo mashineni mchele shingapi?

    Target yangu kubwa ni maeneo ya mpanda nataka nianze kufanya hii biashara kusafirisha kuleta huku nilipo (niwauzie wafanyabiashara wa huku jumla).. Naomba kujua bei ya mashineni ikoje? Au bei ya mpunga ikoje?
  4. Akabi kemanya

    Mke mwema popote ulipo

    Mimi ni kijana umri 37, dini ni Rc. Niko mwanza natafuta mke wa kuishi naye umri 22 mpaka 30, awe mrefu kidogo mwenye chura, sichagui dini wa kabila. Asinipende sana bali aipende sana ndoa yake🙏.
  5. BARD AI

    'Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote 2022'. Je, unapata Huduma za Afya zenye Ubora?

    Kila Desemba 12 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote ambayo inalenga kutoa wito kwa Viongozi kufanya Uwekezaji wenye Tija na kuharakisha juhudi za kuelekea katika mpango wa 'Afya kwa Wote' Katika kujenga 'Dunia Tunayoitaka', kila Mtu kila Mahali anaweza kupata Huduma...
  6. tujuemoja

    SoC02 Sababu 5 za wewe kuwepo ulipo sasa

    Wengi tunaamini kwamba kila kitu kilichopo hapa duniani kina sababu ya hicho kitu kuwepo. Na hii Ikanipelekea kutafiti sababu zinazotufanya tuwepo katika hali tulionayo kwa sasa. ZIFAHAMU SABABU (5)ZA WEWE KUWEPO ULIPO SASA. 01. UFAHAMU NA TAARIFA TULIZONAZO JUU YA MALENGO YAKO. Ufahamu ni...
  7. GENTAMYCINE

    Haji Manara popote ulipo au ukisaidiwa na Yanga SC Wenzako mkinijibu haya Maswali yangu Muhimu nitashukuru

    " Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021. Baada ya Nukuu ( Kumbukizi ) hii sasa Maswali Kuntu ya GENTAMYCINE...
  8. Akabi kemanya

    Mke mwema popote ulipo

    Naitaji mke wa kuishi naye umri wangu miaka 37 Sifa Awe mcha Mungu Mwenye chura japo kidogo Umri wake 30 mpak 34 Asinipende mimi sana ila aipende sana ndoa yake na awe tayari kuilinda kwa ghalama yoyote Aliye tayari njoo nbox
  9. L

    Natafuta mke wa kuoa (Eva ulietoka ubavuni mwangu Bado nakusubiria)

    Habari Wana JF. Naitwa parson, Nina umri wa miaka 35, pombe na sigara situmii, Kazi mjasiriamali (mdogomdogo) mwenye malengo makubwa. Sifa ya mke nimtakaye. Umri kuanzia 30-36 Kabila -lolote Dini- yeyote Rangi -Natural (asiwe wadukani) Elimu- kuanzia kidato Cha nne mpaka chuo kikuu. N:B Eva...
  10. Shy land

    Masai dada popote ulipo nakutafuta sana SHY LAND

    Ukiona thread hii au mtu wa karibu naye anisaidie sana. Asante.
  11. Artzio

    Naomba kujuzwa bei za kusafirisha mazao

    Bei za kusafirisha mazao kutoka sokoni (mikoani) mpaka sokoni Dar/ Masasi mwezi May 2022 zikoje hapo ulipo
  12. Beah

    INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

    Tunauza mbuzi wakubwa sana na kondoo wazuri. Shamba letu lipo Bunju sema ulipo tukufikishie mzigo wapo mbuzi wa kutosha. Mawasiliano 0652746359
  13. MK254

    Wabongo bana, yaani mtu maarufu (celebrity) hajui ulipo mlima Kilimanjaro, halafu mnatupigia makelele

    Ndivyo walivyo, asilimia kubwa ya Watanzania wakiwemo wasanii na watu maarufu wengi hawajui vivutio vya kitalii kwao viko wapi, wao wapo wapo tu siku ziende, hawaitalii nchi yao kabisa, hawana desturi kama ilivyo kwetu sisi Wakenya ambapo tumegeuza kibao kabisa, tunaitalii nchi yetu kote, vijana...
  14. L

    Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
  15. dongbei

    Bei za vyakula vya kuku mikoa mbalimbali Tanzania!

    Habari wadau, Naomba kama una taarifa ya bei (prices) za vyakula vya kuku maeneo ulipo. Unaweza kutueleza pia bei hizo ni kwa kipimo gani, labda gunia, debe au hata kilo. Lengo ni hasa kutambua wapi kuna fursa za kununua vyakula hivyo na kuuza. Mfano: Kwa Arusha bei ya gunia moja la Pumba...
  16. RWANTANG

    Tubadilishane uzoefu: Unawasaidiaje vibaka wa maeneo ulipo kuwa raia wema?

    Kama kichwa cha mada kinavyo jieleza tubadilishane uzoefu kuhusu hilo. Kwa upande wangu hujichanganya nao na kupiga nao stori mbili tatu lengo ni kujua misimamo yako na maisha yao ya baadae pia kutambua ambao hawapendi ukibaka bali kuna msukumo unao wapelekea kuwa hivyo Kisha huwaweka pamoja...
  17. Manofu

    Kumbukumbu: Siku Mtandao wa Intaneti ulipokatwa kwa Wiki nzima kisa Matokeo ya Uchaguzi

    Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha...
  18. Equation x

    Pata fremu za maduka popote pale ulipo

    Tutumie uzi huu kuweka picha za fremu za maduka yanayopangishwa sehemu yoyote ile,tutaje pia mikoa zilizopo pamoja na bei zake. Picha ni muhimu zaidi ili kuweza kumvutia muhitaji. Karibuni......
  19. GRAMAA

    John Mnyika popote ulipoitisha press conference haraka sana

    Kutokana na hukumu ya kesi ndogo iliyotolewa leo dhidi ya kesi ya kina Mbowe hawa jamaa inaonesha wamejipanga kufanya jambo ambalo litashangaza dunia nzima. Katibu mkuu Mnyika itisha press leo leo ili kutoa muongozo kwa wapenda haki wote nchini. Katika press yako njoo na approach nzuri...
Back
Top Bottom