Waziri wa Ulinzi wa Nigeria, Mohammed Badaru Abubakar, amejiuzulu mara moja kutokana na sababu za kiafya, Ikulu ya nchi hiyo imethibitisha Jumatatu. Hatua hii imekuja wakati taifa hilo likikumbwa na msururu wa matukio ya utekaji wa watu, hasa wanafunzi, yaliyosababisha Rais Bola Tinubu kutangaza...