ulinzi

  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania Inapofikia mahala vyombo vya ulinzi kushiriki "dirty jobs" za kisiasa ndani ya nchi. Ni dalili mbaya kwa Taifa

    Sheria yenye utata ya Usalama wa Taifa namba 2 ya mwaka 2023, ilitungwa mahususi kwa ajili ya kushughulikia wanasiasa wanaoipinga CCM. Sehemu kubwa ya sheria hiyo inakiuka weledi na misingi ya utawala bora. Waemepwa uwezo wa kukamata na haielezwi wakikamata wanamdetain wapi mtuhumiwa. Imetoa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya maridhiano nini kinafuata, uchaguzi unarudiwa au, Isije kuwa ni maridhiano ya kugawana vyeo maana kila baada ya uchaguzi maridhiano

    Kwa akili ya kawaida mnapokuwa na mgogoro mnatafuta sababu za mgogoro harafu ndo mnakubaliana kuutatua huo mgogoro , Hapo ili kupata suruhu huwa tunatafuta mtu watatu ambaye atakaa katikati kuhakikisha pande zote mbili zinaridhia yale yaliyojadiliwa na kuafikiwa yanatekelezwa. Kama sababu za...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaruhusiwe na yapewe ulinzi, yasije anzia kwenye viwanja vya maonyesho ya Sabasaba

    Hamjambo! Najua wahusika mpo humu na mnanisoma mara kwa Mara. Vitisho sio njia pekee ya kutuliza mambo. Njia nyingine ni kutoa mlango wa uani wa Faraja na matumaini. Faraja kwa maana yakuwa watu kwa mujibu wa Katiba na sheria wanayohaki ya kuandamana na kutoa maoni Yao, kutoa madai Yao, kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ wazalendo waungeni Wananchi 7/7, Viongozi wazalendo kumbukeni mafunzo yenu kutoka chuo cha Taifa cha Ulinzi, kuhusu usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira. Chadema kimekwisha kuwa chama cha kitaifa kutumia taasisi za serikali kama Jeshi, polisi na usalama kukizuia kufanya kazi ni...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ninaliona tatizo kubwa kwa kamati ya kuu ya ulinzi na usalama wa Taifa letu, HAYA matamko ya wanasiasa ni ushauri wao kweli? 29/10 mlikuwa wapi?

    Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz amuonya Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Iran, Esmail Qa’ani!!!

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz katika taarifa yake kwa Kiajemi: Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Iran, Esmail Qa’ani, hivi karibuni amekuwa akituma vitisho vingi dhidi ya Israeli. Inaonekana picha ya mshirika huyo ilimfaa zaidi kuliko mkao huu wa vitisho vya kipuuzi. Kwa vyovyote vile...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kibarua kigumu Sana Kwa Askari na Maafisa wa vyombo vya Ulinzi na salama

    Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani. Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama...
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Heche, kuwa makini na ulinzi wake, uchezi na jukwaa yeye anacheza na jukwaa wewe unasimama Kama mlingoti take care

    Mlinzi wa John Heche,take care,narudia yake care usidhanie unalinda jokeri Yeye jukwaani ananyumba akiwa anaongea wewe umesimama pahala pamoja tu, Take care kiapo chake ni either ufe au afe. Hivi Tundu Lissu wakati wa kupigwa risasi kwa Nini hakuwa na ulinzi ilihali alikuwa mnadhim mkuu wa...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya ulinzi ya viongozi

    1. Mfumo wa Almasi Diamond Formation ni mfumo thabiti wa ulinzi wa karibu unaotumiwa na makomando au walinzi binafsi kulinda usalama wa viongozi (VIPs) wanapotembea kwa miguu. Mfumo huu hupangwa kwa umbo la almasi ambapo kiongozi huwekwa katikati ili kumpatia ulinzi kamili wa nyuzi 360 dhidi...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Meja Jenerali Mbindi: Nguzo ya Sheria na Ulinzi

    👉 Meja Jenerali Francis Ronald Mbindi ni miongoni mwa maofisa waandamizi wenye uzoefu mkubwa katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Akiwa wakili kitaaluma na mwanajeshi mwenye taaluma ya muda mrefu, ametoa mchango mkubwa katika sekta ya sheria, ulinzi na usalama wa taifa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hii kauli hatari sana. Chalamila, kesho utawajibika kwa kauli hii. Kumbuka wewe ni M/kiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa. Kauli yako ni AMRI

    Matumizi ya nguvu kupita kiasi mwisho wake ni KUUA WATU KAMA 29.10.2026. BADO HAMJAJUTA! HATA MKIWA KABURINI MTAWAJIBIKA! Soma Pia: RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi mchina ambaye ni mkongwe au HR wake anaweza kusema hawa ni wamasai wa ulinzi

    Tafakarini wenyewe kwa umakini na usije shangaa wachina wa marehemu waka wakataa kuwa sio hawa
  13. alpha walk

    JamiiForums Tanzania Huduma bora za ulinzi

    🔐 Je, unataka kuona kinachoendelea hata ukiwa mbali? 🔐 Epuka wizi na uharibifu wa mali zako. 🔐 Fuatilia biashara yako LIVE kupitia simu yako. Smart Eye Security Services tunakufungia: ✅ CCTV Camera Installation ✅ Electric Fence ✅ Gate Motor ✅ Alarm System ✅ Biometric Attendance ✅ Access Control...
  14. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ulinzi wa Nchimbi waimarishwa maradufu

    Hi Nimependa sana hii sinema na sio maigizo, je? Si ni tofauti kati ya sinema na maigizo Nimeona mgawanyiko huu unaenda kuwapoteza baadhi ya wananchi wengi wa kawaida ambao wachanga kwenye siasa na wasiojua lolote Tujiandae wakuu wa nchi wakimiliki vyama tofauti na kimoja tawala, na kumuweka...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakabidhiwa Boti ya Kisasa Mkoani Katavi itatumika kuboresha ulinzi Ziwa Tanganyika

    Makabidhiano ya boti ya kisasa kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kuimarisha shughuli za ulinzi na usalama katika mwambao wa Ziwa Tanganyika, hatua inayolenga kudhibiti vitendo vya uhalifu na kuongeza usalama wa wananchi wanaotegemea ziwa hilo kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Damu haikauki; Raul Castro (94), ashtakiwa kwa mauaji ya miaka 30 iliyopita akiwa Waziri wa Ulinzi

    Wakati kakaake Fidel akiwa Rais ye ndo kidume cha utekaji, utesaji, ufiraji, ubakaji na mauaji Lakini hizi jinai za damu huwa haziozi. Methali za mavi ya kale hayanuki ni uongo tulikaririshwa shule. Shule zetu zile zilikuwa mbovu, ndo maana tunaagiza viberiti Kenya. Charge sheet, hati ya...
  17. GoLC

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa - Ulinzi wa Taifa si kulinda mipaka pekee

    Ulinzi wa taifa si kulinda mipaka pekee. Ni pia kulinda misingi inayolifanya taifa libaki taifa. Taifa hulindwa si kwa bunduki tu, bali pia kwa: Taasisi imara,sheria zinazoheshimiwa, mahakama huru, bunge lenye uwezo wa kuisimamia serikali, uchaguzi unaoaminika, na wananchi wanaoamini kuwa haki...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi: Kutoka Kwenye Udhibiti wa Kisiasa Hadi Kwenye Ulinzi wa Nguvu Kazi na Mamlaka ya Kidijitali.

    KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika. KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa. Waheshimiwa Viongozi, Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Ulinzi ya Iran pamoja na bajeti ya Ulinzi ya Marekani kwa mwaka 2025

    Supapawa wa Dunia akishirikiana na supapawa wa Middle East Israel wakipigana na nchi iliyowekewa vikwazo na kutengwa na Dunia kwa miaka zaidi ya 40 Iran. Sasa tuangalie bajeti zao za ulinzi kwa mwaka 2025. Iran Iran's official military and security budget for the 2024–2025 period was set at...
  20. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Jacob Oboth-Oboth aapishwa kuwa Spika wa Bunge Uganda

    Aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Uganda Jacob Oboth-Oboth ameapishwa kuwa spika wa Bunge la 12 la nchi hiyo. Oboth aliteuliwa na chama tawala cha NRM, kuwania nafasi ya spika iliyokuwa na wagombea watatu na alipata kura nyingi kati ya kura 519 za wabunge waliopiga kura. Anachukua nafasi hiyo...
Back
Top Bottom