Kutangulia mauaji ya halaiki nchini Rwanda mwaka 1994, katika mitaa yote ya Rwanda kila mara kulikuwa kukifanyika mazoezi ya pamoja na utayari yaliyojumuisha vikosi vya majeshi ya serikali ya Rwanda na wanamgambo wa Kihutu, walioitwa Intarahamwe (kama green guards wa CCM).
Baada ya kupita...
Serikali iliyoshinda kwa 98% inatembea mitaani na ulinzi mkali tena baada ya doria kali inazidi hadi ulinzi wa trump aliyeshinda kwa asilimia ndogo.
Tukutane #D9 wakati ambao watakimbia hii nchi. kuthibitisha wizi wao
Kuna vijana wangapi wamekamatwa hovyo kabla ya ziara ya mwigulu mitaani ...
Watanzania wanalia baada ya mauaji ya kikatili ya wananchi mnamo tarehe 29 Oktoba 2025, na siku hiyo hiyo uchaguzi wa kiguni ulitokea ambapo viongozi wengine walichaguliwa bila kupigiwa kura na watanzania. Watanzania milioni sitini na sita (66) wanaendelea kuteseka, huku haki yao ya msingi...
Akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kutokana na matukio yaliyotokea kwa hali ya usalama wa nchi shwari na kuwa Vyombo vya ulinzi vinaendelea kuhakikisha wananchi pamoja na mali zao wanabakia kuwa salama na matishio yote ya...
Mpango wa pamoja kati ya China, Tanzania na Urusi wa kurusha satelaiti mpya ya kufuatilia masuala ya mawasiliano unaripotiwa kukamilika, na maandalizi ya hatua ya mwisho yanatarajiwa kufanyika mwaka 2026 katika Chamwino, Dodoma. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa Tanzania katika...
"Tunatoa wito kwa serikali na taasisi za ulinzi na usalama
kutumia utaalamu busara na weledi katika kudhibiti misuguano kuepuka matumizi ya nguvu kupita kiasi, kushughulikia sababu badala ya dalili.
Kujihusisha na mazungumzo ya kujenga nchi badala ya vitisho na matumizi ya nguvu. Katika taifa...
Magari mapya ya VVIP aina ya Range Rover SUVs huja na teknolojia ya kisasa yenye ulinzi wa juu unaojumuisha ballistic protection ya B6+ hadi B7, vioo vinavyostahimili risasi, run-flat tires zinazoruhusu gari kuendelea na safari hata likipigwa risasi, kinga dhidi ya milipuko, pamoja na mfumo...
Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana.
Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani.
Kwenye...
Habari kwenu majeshi ya ulinzi na usalama nchini (Tanzania)?
Tangu uchaguzi upite Leo ni siku ya 9! Lakini cha ajabu hatuoni tena mkifanya mazoezi ya utayari kwa umoja wenu mtaani.
Tulipowaambia mnatumika kisiasa kutisha raia mlitoka hadharani na kusema mnafanya mazoezi ya utayari huo utayari...
Mwenyezi Mungu atusamehe watanganyika,
Nimeshindwa kulala ndugu zangu, najuta sana kwanini nimeangalia hizi video za mauaji ya watanzania wenzetu.
Je kama mimi nashindwa kulala vipi aliyetoa amri ya haya mauaji ya halaiki au aliyeshiriki?
Kama huko walipo wanaamani hakika watakua wasaidizi wa...
Jeshi la Misri walimshughulikia Anwar Saddat kwa kuingia makubaliano na Israel baada ya vita vilivyoua raia wengi wa nchi yao.
Israel walimshughulikia Isaac Rabin kwa kuingia makubaliano baada ya vita vilivyoua raia wao wengi
Tanganyia Rais asiye Mtanganyika ameua mamia Watanganyika tena kwa...
Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataletwa na mandamano wamefeli vibaya sana
Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana
Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa
Wangemweka Nyerere...
Kila baada ya miaka kama 8 kuwe kuna swap, idara iliyoongozwa na Mzanzibar awekwe wa Bara na vice versa.
Mfano
UPANDE A
Jeshi la wananchi wa Tanzania
Jeshi la Magereza
Idara ya Uhamiaji
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)
UPANDE B
Jeshi la Polisi Tanzania
Usalama wa Taifa...
Tovuti ya Yemeni "Defense Line," ambayo inapinga Houthis, iliripoti usiku kucha ikinukuu vyanzo vyake kwamba Waziri wa Ulinzi wa Houthi, Mohammed Nasser al-Atifi, amelazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya sana baada ya kujeruhiwa katika shambulizi la Israeli mwishoni mwa Agosti uliolenga...
https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19
"Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ".
Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
Haya majeshi sijui yaliundwa kwa ajiki ya kuitetea CCM na kuilinda serikali? Wametekwa watu mchana kweupe, Mzee Ally Kibao, na sasa Humphrey
Polepole, kisa wamezungumza na wametoa maoni yao ya wazi na yenye nia njema na nchi, ila wanatekwa na majeshi yetu yapo tu! Kazi yao kufanya jogging na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.