ulimbukeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Napomuona mtu na haka kabendera🇵🇸 kwenye bio yake kitu cha kwanza nachokiona kwake ni ulimbukeni

    Akili zenu zimepikwa kuchukia na kupenda kwa maagizo ila sio kwa utashi wenu Chuki yenu inakataa hata historia ya kweli kuwa ardhi ile ni asili ya wayahudi na ni haki yao. Nafsi zenu zimetapelika hata kuona unyama wa hamas ni wa kawaida kwa maana tu mna share nao itikadi.
  2. Damaso

    Ulimbukeni wa Mitandao: Mama Amina na Tafakuri ya Kijamii

    Mitandao ya kijamii imekuwa chombo kikuu cha mawasiliano, burudani na hata ajira duniani kote. Hata hivyo, kwa Afrika hususani Tanzania, mitandao hiyo mara nyingi inageuzwa uwanja wa vituko badala ya majukwaa ya kujifunza na kujenga jamii. Katika siku za hivi karibuni kuna binti anayejulikana...
  3. ndege JOHN

    Mtu kuagiza vinywaji kwa sifa Nni ulimbukeni na ushamba au ni normal?

    Eti ukienda bar hata ndio Una hela ila umeagiza mezani azam energy ya can,black and white,Serengeti lite 21.hivi kwa uelewa wako unahisije ukijipata NI lazima uweke bango kama hivo?
  4. Metronidazole 400mg

    Hivi kuna ulazima wa kutambulisha mchezaji mmoja mmoja au ni ulimbukeni tu.

    Unakuta mchezaji anatambuliwa kwa mbwembwe alafu uwanjani hamna kitu au analewa sifa mwisho anajiona bora kuliko wenzake mwisho wa siku kipaji kwishnei. Timu kubwa nyingi huwa hawana mbwembwe nyingi kama za bongo; wanasema tumesajili wachezaji watano wapya majina ni haya na haya ( wanataja list...
  5. The Father of All

    Kataa ulimbukeni na uzinzi linda na penda ndoa

    Nimekuwa nikisoma kampeni chafu na uchwara za kataa ndoa zinazosambazwa na kutangazwa humu. Sifichi msimo wangu. Nachukia wale wote wanaokataa ndoa na kutaka kulazimisha wengine. Kama wanazikataa tokana na matatizo yao fichi, ni haki yao. Lakini wasilazimishe wengine. Nami hapa silazimishi...
  6. M

    UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO.

    UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO. Matukio ya kushangaza kwenye mahusiano sio ya kusubiri bali karibu kila siku tunaamka na matukio yenye kushangaza kama sio kujinyonga basi ya mmoja kumuua mwingine au ubakaji wa watoto. Nimekuwa...
  7. R

    Ni ujinga kununua simu ya zaidi ya milioni kama haina cha ziada katika shughuli zako unless you are rich , simu nyingi ≤ milioni 1 zinajotosheleza.

    Na hii ipo zaidi kwa bongo, simu mpya nyingi zinatoka kwa kuongezewa features ambazo wabongo hawazitumii kabisa au nchi haina miundo mbinu yake. mashahidi ni nyie hata humu jamii forums jukwaa la tech lina wadau wachache, Matumizi ya simu ni kupiga simu, kuchati, kusikiliza muziki, kurushiana...
  8. ELI COHEN

    Nimegundua kuwa watu nafsini mwao wanaelea matendo ya mitume wa kileo yamekaa kitapeli ila ulimbukeni wao wa mambo ya kufikirika ndio unaojaza kiu yao

    Naelewa tabu zimekuwa nyingi, ILA, Kwa hio Mungu ametuma manabii wenye miujiza mikuu waende Dar tu? Kwa hio kutanguliza sadaka kabla hamjaombewa bado hamjaona kuwa ni shughuli ya kiuchumi ndio anafanya? Toa pesa, Pata huduma "Mungu wa mahala hapa ndio wa kweli" "Mungu wa nabii so and so" ...
  9. Mr Why

    Baadhi ya Kampuni za simu Tanzania nadhani zina shida, tabia ya kuzuia simu za wateja na kuwachatisha WhatsApp kupitia BOT ni ulimbukeni

    Baadhi ya Kampuni za simu Tanzania nadhani hazina akili timamu, tabia ya kuzuia simu za wateja na kuwachatisha WhatsApp kupitia BOT ni ulimbukeni Hii tabia ya baadhi ya kampuni za simu kuzuia huduma ya kuzungumza na wateja kupitia namba 100 sijui wametoa wapi TCRA wachukulieni hatua hawa watu...
  10. Kipenzi Changu

    Najivunia ushamba na ulimbukeni huu ulinipitia mbali

    Baadhi ya mambo ambayo yakizidi sana huwa nayaona ushamba na ulimbukeni. Haya mambo mimi yamenipita mbali kabisa. 1. Kujipost WhatsApp status Hata kama nitafanya jambo gani, hata kama nimepata nini cha mafanikio huwezi kukikuta status. Mwaka jana nimegraduate taaluma mbili tofauti lakini huwezi...
  11. Rorscharch

    Tunatumbukiza Mamilioni Kwenye Harusi, Lakini tunashindwa changia matibabu ya wagonjwa na tunashindwa kujichanga kwa shughuli za maendeleo ya pamoja

    Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba michango sasa umepanuka kiasi cha kutisha. Leo hii, mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba...
  12. Mshana Jr

    Huu ni ushamba na ulimbukeni

    Mzee huko Facebook alipost Uzi wa wanawake ambao amewahi kulala nao, kama 30 na zaidi
  13. Engager

    Naona si sahihi mtu kuweka plate namba ya Jina lake

    Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa namuona huyo mtu ni limbukeni mshamba mmoja tu. Hata hivyo hata wao ulimbukeni ukiwaisha uwa...
  14. ELI COHEN

    Wabongo kwa kujiita C.E.O mitandaoni utafikiri hata wanajua maana na kirefu cha herufi hizi. Sio mbaya kujiinua ila huu ni ulimbukeni.

    Mara utasoma " The cute baby mama" C.E.O wa Ze Cute Outfits za warembo Mara "Juma aka Simba mkali" C.E.O wa simba fanicha kunduchi" Maana halisi na ya kawaida ya C.EO ni mtu mkuu mwenye jukumu la kusimamia kampuni, ambaye wakati mwingine pia ni rais wa kampuni au mwenyekiti wa bodi. Tena hapo...
  15. M

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Habari za jioni Wana JF, Nimegundua watumiaji wa iPhone asilimia kubwa Wana ushamba na ulimbukeni. Yani akiwa nayo atataka watu waione wajue kama ana iPhone, ulimbukeni wenyewe ni huu huwa wanaona iPhone ndo simu Bora kuliko simu zingine na kuzidharau hizi brand nyingine za simu. Mimi si...
  16. Mganguzi

    Wachezaji kudai posho na malupulupu yao huo sio utovu wa nidhamu kama mmewaahidi pesa alafu mnageuka na kuwasimamisha ni ulimbukeni

    Nachojua ni msimamo wa chama kuhusu posho na ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kabla ya mechi na wydad! Wachezaji hawajapewa posho yoyote ,chama aliamua kuufuata uongozi ili kudai haki ya posho ambazo waliahidiwa ndipo akaonekana kama mtovu wa nidhamu ,kiongozi mmoja alimtolea chama lugha chafu...
  17. sky soldier

    Rasmi naenda kuacha ajira, Wasomi tumegeuka kituko kwa uoga wa kutegemea matone ya mshahara huku wageni na std 7 wakitajirika kwa rasilimali zilizojaa

    Biashara nilizonazo nilizianza huku nipo kazini, hadi hapa nilipo biashara zinanilipa lakini haikuwa rahisi, uzoefu nimeupata kwa maumivu kadhaa ikiwemo kuambulia maumivu ya biashara kufilisika, kupigwa na vijana wa dukani, kupigwa faini na tra kwa kuchukulia poa mambo ya kodi, n.k. kupitia haya...
  18. Zanzibar-ASP

    Ni utoto, ujinga, ushamba na ulimbukeni kwa vijana kushindana kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani

    Kuna mtindo wa kitoto, kijinga, kishamba na ulimbukeni unaokuwa kwa kasi miongoni mwa vijana wa sasa kujivunia kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani, yaani kuanzisha ligi na mtu yoyote wanayemkuta barabarani hususani safarini maeneo ya high way, akiwa anaendesha gari yake, basi ghafla hupambana...
  19. M

    Peter Madeleka: Kutishia watu kuwapeleka Magereza ili wateseke ni Ushamba na ulimbukeni. Kuuza bandari za Watanganyika ni ufisadi

    Kwa mujibu wa RIPOTI ya CAG ya mwaka 2020/2021, ni kwamba, MAGEREZA yote Tanzania, YAKIJAA, yanauwezo wa KUBEBA watu 35,000 tu. Uwanja wa MKAPA-DSM, UKIJAA, unaweza KUBEBA watu 60,000. Tanzania ina watu 60 MILIONI. Kwa hiyo, KUTISHIA watu MAGEREZA, ni USHAMBA na ULIMBUKENI.
Back
Top Bottom