ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Kwa Wimbi hili la Ushindi wa Vyama Mrengo wa Kulia Huko Ulaya Magharibi, Waislamu walioko Huko Wajiandae Kufunga Virago

    Kwa bahati mbaya sana Nchi za Magharibi kupitia mfumo wao wa Democracy, umejikuta katika miongo ya karibuni Serikali zao zikiangukia mikononi mwa Wasoshalisti/Wakomunisti. Huko Spain,UK, US, Netherlands, Germany Denmark, Malta,Greece nk. Mbaya zaidi wasoshalisti hawa ili waendelee kubaki...
  2. kavulata

    TFF tofautisheni ligi yetu na zile za Ulaya kwa mengi, mazingira ni tofauti

    Masaa 72 ya Ulaya na masaa 72 ya Tanzania ni tofauti kabisa. Think globally Act locally. Masaa 72 ya kucheza baina ya mechi yamezingatia vitu mbalimbali ambavyo Tanzania havipo. Baadhi ya vitu hivyo ni pamoja na: 1. Ubora wa viwanja vyao: Wachezaji hawaumii sana mara kwa mara kwasababu za...
  3. Traxtion

    Sababu kwa nini Ulaya ina tatizo dogo sana la ajira

    Hizi ndio sababu kwa nini tatizo la ajira sio kubwa sana Ulaya 1. Ulaya ina makampuni mengi sana Nchi nyingi za Ulaya kama Germany, United Kingdom, France nkzina makampuni mengi sana makubwa kama BMW, Siemens, Volkswagen nk Makampuni haya yanatoa mamilioni ya ajira, direct na indirect 2...
  4. X

    Kwa China kila goti litapigwa. Do nothing win

    Kadiri miaka inavyoenda ndivyo umuhimu wa China unazidi kuonekana duniani, Mchina ana soft power moja inayokua kwa kasi sana. China haihitaji kuanzisha unnecessary wars and conflicts duniani kama Marekani to prove how powerful it is. Chinese strategy; do nothing and win game theory. Tangu...
  5. Etwege

    Ziara za Rais Samia kuelekea Ulaya 2025- 2026

    Rais Samia na mwanao andaeni mlio Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu. 1. Kisiasa Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi...
  6. funaku

    Bunge la Tanzania lijadili kikundi cha wabunge wa Ulaya na marekani kinachotumiwa kuichafua Tanzania

    Ni vyema sasa na wabunge wetu wakapewa nafasi ya kuwajibu hawa mabeberu wenye kushirikiana na vibaraka wao ambao kazi yao ni kuchafua taswira ya Tanzania. Utashangaa kabunge kabinti hata ubwabwa wa shngo haujatoka kabasimama kuiongelea Tanzania vibaya
  7. Mshana Jr

    Bunge la ulaya laikemea vikali Tanzania

    Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Marekani, Chris Smith, amekemea vikali vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na mateso dhidi ya waumini wa dini mbalimbali duniani. Katika hotuba yake, Smith ameorodhesha nchi zinazokandamiza uhuru wa kidini kuwa ni China, Urusi, Nikaragua...
  8. B

    Tanzania yaiangukia EU/ Umoja wa Ulaya ibadilishe msimamo wa kuinyima misaada

    Brussels, Belgium Makao Makuu ya Umoja wa Ulaya / EU KOMBO ATUMWA BELGIUM KUOMBA WASIKILIZWE KUHUSU VIKWAZO, TANZANIA YAPIGA MAGOTI NA KUIANGUKIA MIGUUNI EU / UMOJA WA ULAYA, CHONDE CHONDE ... NYIE SIYO MABEBERU BALI NI WADAU WETU ... Picha : Waziri wa mambo ya nje Mahmoud Thabit Kombo...
  9. Dogoli kinyamkela

    Waarabu waliwapeleka wapi mababu zetu, mbona leo hatuwaoni uarabuni kama ilivyo Marekani na Ulaya

    Hili ni swali zito la kihistoria, na ni sawa kabisa kuliuliza au kulifikiria mwenyewe. ⚠️Katika uchambuzi wangu wa Leo Hakuna ubaguzi Wala hakuna chuki Bali ni kujifunza ukweli. ⚠️Nitachambua kwa uwazi, bila kuficha wala kuchochea chuki yoyote ili unielewe vizuri,fahamu Kuwa Kuna vitu viwili...
  10. M

    Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
  11. U

    Site ipi ni nzuri kwa kuangalia mechi za ulaya live

    Kama kichwa cha habari kinavoonesha hapo juu, ni site ipi nzuri kwa kuangalia mechi za ulaya live
  12. Lord Denning

    Wito rasmi kwa Marekani(USA)na Jumuiya ya Ulaya (EU): Hii ndo namna pekee mnaweza kutusaidia Watanzania dhidi ya Utawala mbovu wa CCM.

    Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada. Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na Nchi zote za Jumuiya ya Ulaya na Mataifa mengine ya Magharibi kama Uingereza na Canada kwa namna...
  13. G

    Historia inaonyesha wananchi wa ulaya waliwahi kuwanyonga watawala wakuu wawili Kwa sababu baadhi nazoziona kwenye taifa letu ikiwemo umaskini

    Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni Umaskini na njaa Kodi kubwa Kokosekana Kwa haki na usawa Kuupuuza matatizo ya wananchi Kwa upande wa kiongozi wa...
  14. MakinikiA

    Putin huwa anawakaribisha vizuri sana wajumbe wa Trump kuliko wa Ulaya

    The United States has been holding parallel discussions with Moscow, Kyiv and European leaders, reviewing multiple draft frameworks aimed at ending the war. Despite repeated assurances from Trump that an agreement was within reach, a final dea
  15. MakinikiA

    Trumpa na Greenland yake ,viongozi wa Ulaya kususia mashindano ya World cup yatakayofanyika Marekani.

    Baada ya Mataifa ya Ulaya kupigwa ushuru wa asilimia 10 kutokana na kumzuia bwana Trump kujitwalia kisiwa cha Greenland Mataifa yameungana na kuweka mipango kama Trump atajinyakulia kisiwa hicho basi na wao ,watasusia mashindano hayo ambayo yatafanyika nchini Marekani hapo july mwaka huu Hapa...
  16. R

    Kihongosi: Nimepokea ujumbe umoja wa ulaya imeiondolea Tanzania vikwazo leo

    Wakati akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa amepata taarifa kwamba umoja wa ulaya EU walikokuwa wameweka vikwazo dhidi ya Tanzania...
  17. DuaZaMama

    Tanzania Considers ICC Exit as Court Faces Accusations of Unfair Targeting of Africa and Western Bias

    Tanzania may soon consider leaving the Rome Statute of the International Criminal Court (ICC). This debate has grown stronger after recent calls on the court in The Hague from Lawyers for the victims, backed by groups like the World Jurists Association and the Madrid Bar Association to...
  18. Kijakazi

    Sylabus ilikuwa sawa na kwao ulaya, communists wametudanganya sana, yani!

    Kama ni kweli ''wakoloni '' walikuwa ni wabaya kiihivyo kama communists walivyotuminisha, how is that elimu ambayo ilitolewa kwetu ndiyo ile ile iliyotolewa ulaya kwao wazungu waliotutawala? i mean, tulikuwa tunafanya mtihani mmoja cambridge same sylabus, kwa maana nyingine high school graduate...
  19. Genius Man

    Tamko la waziri wa China ni la unafiki, nchi kuingiliwa na mataifa mengine ikiwa na wauwaji sio kosa huo ndio urafiki wa kweli

    Tamko la waziri wa China ni la unafki nchi kuingiliwa na mataifa mengine ikiwa na wauwaji sio kosa huo ndio urafiki wa kweli. Nchi kuingiliwa ikiwa na demokrasia na hakuna utekaji wala mauwaji hapo ndipo sasa tutasema haitakiwi kuingiliwa ni kosa. Lakini nchi yenye mauwaji na utekaji na hila...
  20. Akilindogosana

    Tume ya uchaguzi wa Tanzania iongozwe na watu wazito toka Marekani na Ulaya tu

    Tume ya uchaguzi wa Tanzania iwe na viongozi wote toka Marekani na Ulaya tu. Wasimamizi wa uchaguzi Kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge, kura za Urais viongozi wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo rasmi wawe wanatoka Marekani na Ulaya(Uk, Germany). Mkuu wa Tume ya uchaguzi awe mzungu...
Back
Top Bottom