ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Kubwa la majamba wa ukweli.

    Moja ya villains bora kabisa katika cinema.
  2. M

    Serikali itwambie ukweli kuhusu inflation na thamani halisi ya pesa. Gharama za maisha zimepanda sana

    Siku hizi ukiwa na shilingi elfu 10, inayoyoma kama upepo, thsmani ya pesa haipo kabisa Maisha ya wananchi yanazidi kuwa juu na magumu. Wakati serikali haikuongeza stahiki za wafanyakazi kwa miaka Sita sasa, lakini imewazunguuka na kuwaongezea TOZO lukuki na kodi Lukuki na hivyo kuifanya...
  3. Upatikanaji wa dawa kwenye Zahanati na Hospitali za Serikali, ukweli ni upi?

    Awamu ya 5 tuliambiwa upatikanaji wa dawa kwenye maeneo hayo umefikia hadi 94% hii likuwa 2018 , lakini watu walewale kwenye awamu ya 6 mwaka 2021 tunaambiwa upatikanaji wa dawa kwenye Zahanati na Hospitali zilezile umepanda hadi 61% kutoka 21% ilivyokuwa awali . Anayeelewa hizi Takwimu...
  4. Pangua ya Baraza la Mawaziri yanukia

    Uteuzi wa Dk Stergomena Tax kuwa mbunge, unaibua hisia kama ni mwanzo wa Rais Samia Suluhu Hassan kupangua Baraza la Mawaziri. Dk Stergomena, mwanamke mwenye heshima kubwa kwenye uga wa kidiplomasia, anaingia bungeni kipindi ambacho Taifa halina Waziri wa Ulinzi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa...
  5. K

    Taarifa kwamba wapo wakuu wa wilaya wameomba kuacha kazi kwa ajili ya majukumu mengine binafsi zina ukweli?

    Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa karibu wa DC mmoja Kanda ya ziwa anaeleza kwamba rafiki yake ameshaomba na ametuma baadhi ya wazee...
  6. Imani Potofu na Ukweli Kuhusu Chanjo ya COVID19

    Chanjo ya COVID-19 inaweza kuathiri uzazi wa wanawake Chanjo ya COVID-19 haitaathiri uzazi. Ukweli ni kwamba chanjo ya COVID-19 inahimiza mwili kuunda nakala za protini ya spaiki inayopatikana kwenye uso wa coronavirus. Hii "inafundisha" kinga ya mwili kupambana na virusi ambavyo vina protini...
  7. Ukweli mchungu: Kama Serikali ingeamua kuongeza tozo hata kwa 100% hakuna Mtanzania angeweza kugoma

    Habari! Binafsi ningependa serikali isingepunguza tozo hata 0.1%, ingewezekana basi tozo zingeongezwa kwa 50-100% ili serikali itimize makusudi yake kwa haraka. Watanzania sio watu wa kuonewa huruma. Wengi ni wanafiki. Kazi yao kulaumu kidogo kisha maisha yanaendelea. Mtanzania akiwa na...
  8. Kuna ukweli wowote kuwa idara ya maji inabambika bili?

    Hivi eti kuna ukweli wowote kuwa mashirika ya maji yanabambika bili au maneno yetu kama kawaida kila kitu kulalamika mimi nataka nianze kufatilia bili yangu ya maji nione maana Léo nimeona jirani yangu kajaza watu anagombana na msoma mita ndio kuuliza anasema wanabambika Sana bili maji kwake...
  9. Rais Samia anakuza utalii wetu kupitia 'The Royal Tour’

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ● Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama...
  10. F

    Dkt. Tulia Ackson: Mshahara wa Mbunge ni Tsh milioni 4.6 na sio vinginevyo

    Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani. Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000. Ameendelea kudai...
  11. SoC01 Ukweli mchungu juu ya Nukta 3 za Kiuchambuzi kuhusu Mapinduzi ya Viwanda Tanzania

    UTANGULIZI Kila sifa njema anastahiki Mwenyezi. Ama baada, ningependa kuzibainisha nukta 03 zitakazo chambuliwa katika mnakasha huu. 01) Mapinduzi ya Viwanda kwa ujumla wake. 02) Hali ya Mapinduzi ya Viwanda Nchini Tanzania. 03) Mtazamo Juu ya Nini Kifanyike. 01) MAPINDUZI YA VIWANDA KWA...
  12. K

    Ukweli ambao mafeminist wengi hawa uzungumzii.

    Wakiwa mbele za watu na kamera wanakuwa wakali, ila usiku ukiingia wanakuwa wapweke. Asante mshana kwa hii picha.
  13. Rais Samia na wanasoka wa kike, ukweli utatuweka huru

    Ukweli ni kitu gani? Swali hili limedumu kwa umri sawa na kalenda inayotumika sasa duniani, yaani karne 21 au miaka elfu mbili na ishirini na moja. Tangu wakati huo ukweli umekuwa mhanga wa karibu kila jambo, hasa inapotokea ukweli huo haupendezi sana masikioni mwetu, watu hujikuta...
  14. Inakuwaje kila anayeusema ukweli kuwa Bunge ni dhaifu, itafsiriwe kuwa amelidhalilisha Bunge na kuitwa kwenye Kamati ya Maadili?

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemuhoji mbunge Jerry Slaa, mbunge wa Ukonga, kwa tiketi ya CCM, kutokana na amri iliyotolewa na Spika wa Bunge hilo, Job Ndugai, kwa madai kuwa amesema uongo na kulidhalilisha Bunge hilo! Ikumbukwe kuwa mbunge Jerry Slaa, siku chache zilizopita...
  15. Manara alikuwa jipu Simba, ukweli umejitenga

    Tulijiuliza sana kwanini Yanga wanamtetea Manara humu? Mtu avunje miiko ya kazi halafu kundi la wahuni linamtetea. Uongozi wa Simba sio wajinga, leo manara anatangaza tamasha la Yanga kuonyesha hadharani usaliti aliokuwa anafanya. Unajua siku zote ukisingiziwa kama huhusiki haikuumi, Manara...
  16. Maneno haya ya Winston Churchill kuhusu kodi na maendeleo yana ukweli wowote?

    Tafsiri isiyo rasmi Kwa kiswahili anasema, "Nchi inayojaribu kuendelea kwa kutoza watu wake kodi ni sawa na mtu aliye ndani ya ndoo kisha akajaribu kujinyanyua." Yana ukweli wowote haya maneno? Kama yana ukweli, ni njia gani mbadala wa kodi nchi itumie?
  17. Serikali watuambie ukweli wa hizi tozo

    Walisema wameongeza shilingi 100 kwenye mafuta kwa ajili ya barabara, wakaanzisha makato kwenye miamala wakadai ni kwa ajili ya barabara, wakakopa trilioni 2.7 kwa ajili ya barabara. Kwa nini wasituambie ukweli wasingizie barabara? Hii ni mbali na 1200 kwa kila lita moja ya mafuta ya kula...
  18. N

    Waziri Gwajima Achana na mambo ya chanjo, Serikali nzima imekuangushia mzigo peke yako

    Kipindi hayati JPM anapinga chanjo alisimama kidete haswa haswa, akapiga marufuku na fumigation na akaagiza mtu yyte atakayefanya fumigation eneo lolote akamatwe. JPM kafariki Amekuja mama Samia yeye kaagiza chanjo sasa hapo kuna kazi kubwa ya kuwaamisha wananchi kutoka kwenye idea za...
  19. Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

    "Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi" Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.! My Take Hii imevuka mipaka. Lakini mambo...
  20. G

    Hongera Sabaya kwa kufunua ukweli, pengine wasiojulikana watajulikana

    Kwa kifupi Sabaya amefunua ukweli ambao wengi tusingeweza kuufahamu kirahisi. Kwanza ni ujasiri mkubwa kuwataja viongozi wakubwa kwenye kesi ambayo inaonyesha Kuna uhalifu, Kukiri kwamba alitumwa na mamlaka ya uteuzi ni dhahiri kwamba kuna uwezekano kwamba nayo ilihusika. Wengi tunafamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…