FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,585
- 2,150
DELETED
SomaUmeandika manini mkuu?
Naunga hoja mkuu.MKUU KWA HIYO TUENDELEE NA MIZIMU YETU
Mshana Jr ni Catholic pureMshana jr followers
Nikajua ni Timu mantunguri Kumbe muda huu yupo kwaresma.
kweli kiongozi aiseeNaunga hoja mkuu.
Hawa kina St.Andrews, St. Michael, St. Valentine etc na wenyewe ni mizimu ya wazungu.
Kwanini tusiombe kwa mizimu yetu wenyewe tunang'ang'ania Mtakatifu Rita uniombee sijui mtakatifu nani huko.
Yaani unamuomba mtu ambaye hata hakujui na wala sio wa asili yako akuombeee, huo ni uduwanzi wa hali ya juu sana.
Kwani Huko Hakuna Mizimu mkuu. Si mnaiita Watakatifu. Mtu akifa Na Wewe ukawa bado unamtaja Taja Jua Unaiita hiyo Mizimu ije ikusikilizeMKUU KWA HIYO TUENDELEE NA MIZIMU YETU
NdioSijaona ulichoandika!!
Ila nitakuuliza swali moja tu...
Je Unaamini kuwa Mungu Yupo?
Nijibu hilo
Nenda kwenye hayo maKanisa Uone wenye Misongo ya Mawazo walivyo. Mimi hunioni wala Hunijui nipo wapiUna msongo wa mawazo bila shaka.